January Makamba threatens Lisa Rockeffeller

Status
Not open for further replies.
Lisa ana uhuru wa kutoa mawazo yake, isitoshe yana ukweli mwingi kuliko uongo kama upo, kwani hatujui kama prezidaa wetu hana quality za leadership

nimesoma na wamerikani baadhi hawako wazuri ktk spelling
 
am now wondering if the Lisa woman is real or some smear campaign. Why facebook for such why not better media where they'll be held accountable. This is a Tanzanian and not who the person claims to be all made up.
 
Whoever s/he is this was stooping so low:

KTY: Soma 'tishio' hili kama linavyojadiliwa hapo chini ama kwenye FaceBook ya mtoa 'angalizo' na fuatilia mijadala yake kwenye JamiiForum:

Angalizo:Tayari waraka huu uko mezani mwa DCI,Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
by Ernesto Sheka on Tuesday, October 26, 2010 at 9:23pm
On 10/25/10, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:Salaam! Maandalizi ya ule mkesha wa wapiga kura wa Jimbo la Ubungohususan walewa maeneo ya Sinza umekamilika. Tutakutana New Ice Park Bar and GuestHouse. Eneo hili linatazamana na nembo za Shoprite na Game zilizopo MlimaniCity upande wa pili wa Barabara ya Sam Nujoma. Wapiga kura watarajiwamnategemewa kuwasili eneo hilo kuanzia saa nne kamili usiku, Jumamosi, 30Oktoba2010. Baada ya bar kufungwa kwa mujibu wa agizo la wakuu wa sasa wa nchihii basi tutajongea pamoja kwenye eneo la 'Dar es Salaam Commune' kuanziasaasita usiku, Jumapili, 31 Oktoba 2010. Kukianza kupambazuka (kati ya saa kuminasaa kumi na moja alfajiri) tutaanza kuelekea kwenye vituo vyetu vya kupigakurakwa miguu na/au bajaji zitakazoandaliwa mahsusi kwa ajili ya tukio hili.Kamauna usafiri wako unaweza kuja nao mkeshani, kuna usalama wa kutosha.
Mnashauriwa kuja na vinywaji vyenu kwenye 'Dar Commune' ila vileo vyaku-kilitime ni marufuku katika eneo hilo. Pia mnaruhusiwa kuja na vitu vyakufupishaama kuharakisha muda kama vile karata, drafti, sataranji (chess), scrabblenahata ule mchezo tete wa kibepari ujulikanao kama monopoly.
Thibitisha uwepo wako kwa sms kupitia 0718953273 au kwa barua pepe hii - piasiku ya tukio namba hii itatumika kutoa maelekezo ya namna ya kufika kwenye'Komuni ya Darisalama'. Hakikisha unatunza kadi yako ya mpiga kura naunahakikikituo chako tovutini hapa http://www.nec.go.tz/
Fanyeni yote katika yeye awatiaye nguvu ya kuvunja amani na sheria za nchi yetu mkijua wananchi wote tuko macho tukiwatazama.Muwe na mkesha mwema.
Richard Kasesela Mhh 13 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
Mohamed Al Nadabi Wanachemsha...poor guys.13 hours ago · LikeUnlike
Ernesto Sheka Ona lugha zao za kihuni,"..ila vileo vyaku-kilitime...".I just wanted them to know that we are awake,we love this country and we also love them. 12 hours ago · LikeUnlike
Kaka Gano Ernesto, ni jambo jema kuripoti uhalifu ila mpaka sasa sijaona tukio au dhamira yeyote ya kihalifu kwenye huo waraka.
Sema weye hujakulia uswahilini ndo maana slang unasema ni lugha za kihuni. Pole sana 17 minutes ago · Like
 
huyu mtoto wa kozungu naye kuna mambo mengi naona kama anachemsha. Anataka tuamini kwamba kwa sababu tu yeye ni mkoloni mweupe basi anaweza kufanya maamuzi ya kiserikali hihg level. Januwari naye aache akili za kisultani fisadi

I can't believe people have failed to figure who ernesto sheka is!!

Nitawaambia ukweli daima, sitajali affliations mtakazotoa kuhusu mimi,najua kesho mtasema,no,si huyu,ni yule.

Lisa inboxed me, na kwa taarifa yenu ni mswahili, mnazi wa hapa jf, na jf imepitisha hiyo thread bila kwenda kwenye ile profile yake kujua ukweli; kaandika kasoma Harvard, nimechukua mwaka na nimehakikisha kwamba hayuko katika list ya hilo darasa analosema kamaliza.

Nikipata muda nitamuweka wazi na ujumbe aliokuwa akinitumia facebook. (Ikibidi)

Aibu.
 
@Companero nisaidie kuelewa bandiko lako. Huyo chachage ndo aliweka huo waraka face book? akiwalenga chama gani?
 
i can't believe people have failed to figure out who is ernesto sheka!!
Nitawaambia ukweli daima,sitajali affliations,najua kesho mtasema,no,si huyu,ni yule.
Lisa inboxed me,na kwa taarifa yenu ni mswahili,mnazi wa hapa jf,na jf imepitisha hiyo thread bila kwenda kwenye ile profile yake kujua ukweli.kaandika kasoma harvard,nimechukua mwaka na nimehakikisha kwamba hayuko katika list ya hilo darasa analosema kamaliza.

Nikipata muda nitamuweka wazi na ujumbe aliokuwa akinitumia facebook.
Jf aibu yenu.

Wewe ulikuwa Harvard??
 
I can't believe people have failed to figure who ernesto sheka is!!

Nitawaambia ukweli daima, sitajali affliations mtakazotoa kuhusu mimi,najua kesho mtasema,no,si huyu,ni yule.

Lisa inboxed me, na kwa taarifa yenu ni mswahili, mnazi wa hapa jf, na jf imepitisha hiyo thread bila kwenda kwenye ile profile yake kujua ukweli; kaandika kasoma Harvard, nimechukua mwaka na nimehakikisha kwamba hayuko katika list ya hilo darasa analosema kamaliza.

Nikipata muda nitamuweka wazi na ujumbe aliokuwa akinitumia facebook. (Ikibidi)

Aibu.
Muda upi zaidi ya huu ulopata kubofya haya yote na ukashindwa kutukopia tu na kubandika alichoku Inbox?
Wewe nawe bana.
 
bht hilo tangazo lilichakachuliwa na huyo Ernest Sheka kwa kuongezea hicho kitisho hapo, ukisoma huo mjadala wao utaelewa zaidi!
 
Nimekusoma kiongozi wangu, maana chachage na hilo tangazo visingewiva chungu kimoja.
Asante.
 
Mafisadi wana njia nyingi sana za vitisho!

Ona MKAPA jana alivyotisha na kutukana watu, eti wapinzani ni KOKOTO!...how rude!
Hakuna upendo wowote kwa Taifa pale, nia kuu ni "wapumbaze kisha uwanyonye"..na wajinga ndio waliwao!

Mafisadi wanamwona Lisa Rockeffeller kama Mwiba kwao, maana anawapa kitu na box!...Yupo fisadi-mtoto kule kwenye thread kuu analalama kweli kutetea matapishi ya sera ya baba zake...huh!

Tushawagundua, na tunawafuta kazi soon, hata uwe January au August, u r gone!

HAHAHAHAHA! UMEMUONA KUMBE PIA MKUU?? ETI MARA OOH! TUWAACHIE WATANZANIA WENYEWE TUAMUE!! WAPI UNAFIKI TU! FAMILIA ZAO ZAZIDI KUNEEMEKA WAKATI WENGINE WAFA NA KUDHOOFU KWA TAABU! halafu bora hata angeficha jina sbb nalo limekaa kifisadi haihitaji fikra sana kutambua ni nini anachokitetea pale!! TUPOKEE TU USHAURI TOKA KWA MTU YEYOTE BILA KUJALISHA RANGI YAKE ALIMRADI TU ANACHOSHAURI NI CHA MANUFAA KWA TAIFA LETU.
 
Whoever s/he is this was stooping so low:

KTY: Soma 'tishio' hili kama linavyojadiliwa hapo chini ama kwenye FaceBook ya mtoa 'angalizo' na fuatilia mijadala yake kwenye JamiiForum:

Angalizo:Tayari waraka huu uko mezani mwa DCI,Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
by Ernesto Sheka on Tuesday, October 26, 2010 at 9:23pm
On 10/25/10, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:Salaam! Maandalizi ya ule mkesha wa wapiga kura wa Jimbo la Ubungohususan walewa maeneo ya Sinza umekamilika. Tutakutana New Ice Park Bar and GuestHouse. Eneo hili linatazamana na nembo za Shoprite na Game zilizopo MlimaniCity upande wa pili wa Barabara ya Sam Nujoma. Wapiga kura watarajiwamnategemewa kuwasili eneo hilo kuanzia saa nne kamili usiku, Jumamosi, 30Oktoba2010. Baada ya bar kufungwa kwa mujibu wa agizo la wakuu wa sasa wa nchihii basi tutajongea pamoja kwenye eneo la 'Dar es Salaam Commune' kuanziasaasita usiku, Jumapili, 31 Oktoba 2010. Kukianza kupambazuka (kati ya saa kuminasaa kumi na moja alfajiri) tutaanza kuelekea kwenye vituo vyetu vya kupigakurakwa miguu na/au bajaji zitakazoandaliwa mahsusi kwa ajili ya tukio hili.Kamauna usafiri wako unaweza kuja nao mkeshani, kuna usalama wa kutosha.
Mnashauriwa kuja na vinywaji vyenu kwenye 'Dar Commune' ila vileo vyaku-kilitime ni marufuku katika eneo hilo. Pia mnaruhusiwa kuja na vitu vyakufupishaama kuharakisha muda kama vile karata, drafti, sataranji (chess), scrabblenahata ule mchezo tete wa kibepari ujulikanao kama monopoly.
Thibitisha uwepo wako kwa sms kupitia 0718953273 au kwa barua pepe hii - piasiku ya tukio namba hii itatumika kutoa maelekezo ya namna ya kufika kwenye'Komuni ya Darisalama'. Hakikisha unatunza kadi yako ya mpiga kura naunahakikikituo chako tovutini hapa http://www.nec.go.tz/
Fanyeni yote katika yeye awatiaye nguvu ya kuvunja amani na sheria za nchi yetu mkijua wananchi wote tuko macho tukiwatazama.Muwe na mkesha mwema.
Richard Kasesela Mhh 13 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
Mohamed Al Nadabi Wanachemsha...poor guys.13 hours ago · LikeUnlike
Ernesto Sheka Ona lugha zao za kihuni,"..ila vileo vyaku-kilitime...".I just wanted them to know that we are awake,we love this country and we also love them. 12 hours ago · LikeUnlike
Kaka Gano Ernesto, ni jambo jema kuripoti uhalifu ila mpaka sasa sijaona tukio au dhamira yeyote ya kihalifu kwenye huo waraka.
Sema weye hujakulia uswahilini ndo maana slang unasema ni lugha za kihuni. Pole sana 17 minutes ago · Like

Synic
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom