January Makamba ndani ya ITV asubuhi hii

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
Hakika huyu dogo ni kichwa
anafaa kuwa muwakilishi wa watu.ameamua kuchukua majukumu ya vyama vya ushirika vilivyokufa.ameamuabkuamzisha shirika la maendeleo bumbuli ambapo anasema shirika litakuwa linanunua mazao kwa wakulima kwa bei ndogo na kuhifadhi mazao hayo na badae bei ikipanda shirika litayauza na kuwagawia tena hela wakulima.

anazungumzia tena hoja binafsi yake ya upangaji wa nyumba.pia anatazamia kuleta hoja binafsi kutetea wakopaji wa mikopo hasa kwenye taasisi zisizo pokea deposits Za wateja isipokuwa wao wanakopesha tu.

naendelea kumsikiliza
 
Amekiri pia katika ununuzi wa mafuta ya kutengezea umeme wa dharura kuna ufisadi sana
 
Hakika huyu dogo ni kichwa
anafaa kuwa muwakilishi wa watu.ameamua kuchukua majukumu ya vyama vya ushirika vilivyokufa.ameamuabkuamzisha shirika la maendeleo bumbuli ambapo anasema shirika litakuwa linanunua mazao kwa wakulima kwa bei ndogo na kuhifadhi mazao hayo na badae bei ikipanda shirika litayauza na kuwagawia tena hela wakulima.

anazungumzia tena hoja binafsi yake ya upangaji wa nyumba.pia anatazamia kuleta hoja binafsi kutetea wakopaji wa mikopo hasa kwenye taasisi zisizo pokea deposits Za wateja isipokuwa wao wanakopesha tu.

naendelea kumsikiliza

Ni mjasiliamali, yupo pale kwa ajili ya kutengeneza profit!
 
Haka si kafisadi tu? Wewe unadhani katarudishaje hela kalikokopeshwa ana shemeji yake kwa ajili campaign za ubunge, lazima kaanzishe miradi kwa kisingizio cha kuwanufaisha wananchi. Kalijua katakuwa waziri wa madini kapige deal kurudisha pesa za shemeji.Sikaamini tena haka kiafisadi. Ila jamani JK ni msanii...inawezekana kabisa kaliahidiwa uwaziri wa nishati na madini, lakini baadaye kakatosa!
 
mwambie aende jimboni mwake wapiga kura wanasubiri ahadi alizotoa wakati wa kampeni,pili mwambie huenda asirudi bungeni 2015
 
Kama baba yake ni tunda la ufisadi nchini mwetu hawezi kuleta maendeleo kwa wanyonge!!
 
Back
Top Bottom