January Makamba: Mbunge wa aina yake

Status
Not open for further replies.
Hii skendo ya Juzi ya mwamvita, January awaulize Ridhiwani Kikwete na William Ngeleja. nina uhakika 100%. Wamewania kumporomosha jamaa au kupunguza kasi yake. January take notes here. Adui zako wakubwa waliotumia dada yako ni Ngeleja na Ridhiwani. Kuwa mwangalifu jamaa watakumaliza, na wala usimtafute mchawi mwingine. Hawa ndio wachawi wanaopania kukumalia. Ridhiwani bifu binafsi, Ngeleja wewe kuingilia kazi yake.

Pole mkuu ndo utu uzima na siasa uchwara za Bongo

Riz1 syo baba yako, hacha kuropoka. Riz ni maji marefu hacheni majungu yenu. Kwa lipi amfanyie majungu kilaza January na dada yake. Tafuten ya maana kusema, mbuzi nyie. Mmeajiriwa na nyie nini? Wanakamba wanafaa kutoswa baharini hawafai
 
Nilishasema tangu awali kwamba January is a visionary that Tanzania need. Tunamfahamu tangu kule YoungAfrica mpaka hapa Jambo Forum kabla ya jamii forum tulikuwa tunaona why he is different compare to others. Tatizo lake ni kuazaliwa na mzee makamba labda? But other than that the guy is executor and visionary. He forecast things which are beyond normal eyes.

Tunachoendeleza humu ni chuki na majungu na roho mbaya. Wengine humu hatujui hata what this guy is stand for lakini sababu ana jina Makamba in the end of January basi tuna shoot it. We need everybody who is for change, Tanzania need a visionaries, Tanzania need many Zitto and many January.

unachoongea ni sawa vipi kuhusu hii kashfa aliyoipata sasa hivi ya kuhongwo,kiukweli nilikuwa na mkubali sana huyu dogo lakini now days huyo ni nyoka
 
If only you could have known his shit in the darkness and how he is equally reducing Kikwete government into ashes slowly from the inside for a group out there!!!

Dogo kifaa bana, inabidi tumkubali. Tukumbuke hata baba yake alivyokuwa mkuu wa mkoa DSM alipendwa sana.

Alivyoteuliwa tu kwa katibu mkuu wa CCM ndiyo chuki ikaanza.
Nilichoona hapa, hawa watu ni watendaji wazuri, tatizo watu wamewachukia kwasababu ya kuwepo kwao CCM
 
Inashangaza kweli kuona jinsi watu wawili watatu humu wenye IDs zaidi ya mbili kila mmoja wako bize kutumia nguvu nyingi mno kumsafisha Makamba na kashfa ya 'A MILLION DOLLAR EMAIL', sasa ngoja mkija kumwagiwa ya dola 10 mlioni kutoka NASDAQ mtaongea nini???

This guy is an opportunist.

[h=2][/h]

Written by Mange
Thursday, 20 October 2011 17:58
Phony/fake email circulating about the makambas

Recently kuna email ambayo allegedly inatoka kwa Mwamvita kwenda kwa kibopa wa barrick ,Email inahusu Mwamvita kumuombea kaka yake rushwa.
Huu ni uongo na unyama usiokua na kipimo. Hivi mtu unakua na akili gani ukakaa ukatumia muda wako kutengeneza uongo kama huu?? Unafanya hivi ili iweje? Ni wivu? Chuki binafsi au ushetani??

Ni ngumu kufikiri kwamba watanzania wamefikia kiwango hiki cha kukosa utu. Ukweli siku zote unaonekana kuzidi uongo. Janaury ni msema kweli, mchapa kazi na mtu msafi. Kama hamna cha kuonyesha ndio mtengeneze?? Nimeguswa sana na jambo hili, na naomba wale wapenda haki waniunge Mkono kukumea vitendo vya kizindaki na vya kishenzi katika nchi yetu.

Nahakika, aliefanya jambo hili atajulikana na atawekwa hadhari in a very near future. Na kama ni wewe, be very scared.

I mean really hili jambo limenisikitisha sana. Mwamvita is a young woman that many young Tanzanian women are looking up to. Kwa nini mtu aamue tu kumchafua dada wa watu? Hivi kwani Mwanamke hawezi kushika nafasi nzuri nchi hii kwa kutumia usomi wake na ushapu wake? Kwa nini mwanamke akisha fika juu basi aanze kuchafulia na kuambiwa kafuka pale kwa sababu zisizo za msingi au anatumia nafasi yake vibaya?

Roho imeniuma sana juu ya hili jambo. Bora hata wangetengeza email wakamsema kaka yake January kaomba rushwa labda kidogo ingeeleweka ni yale yale mambo ya siasa za kishenzi za nchi hii. Sasa msichana wa watu hata sio mwana siasa nchini kwa nini atumike kumchafua kaka yake?

Alafu vitu vingine vinahitaji common sense tu kujua kama is this true or not. I mean kweli where in this world umewahi kuona mtu anaomba rushwa kupitia email ya kazini kwake jamani? Tena sio kuomba rushwa tu, na kuweka mapenzi humo humo. Really? Na email address ya ofisini kwako?

Anyways, Mwamvita would like to thank wengi wenu mliompigia simu na kumtumia email kumpa pole kwa hili jambo la kishetani lililofanya na walemavu wa akili na utu.

And shewould like all of you to know that, vita vya kipuuzi kama hivi against her and her family will never hold her back. And she would like all the other women to know that, we have to be strong in this men dominated world, na tusikubali kurudishwa nyuma na kitu chochote kile. Na anawashukuru mno kwa support yenu katika kipindi hiki kigumu kwake na familia yake.

And she would like to assure you that, the email was 100% percent fabricated na sababu kubwa ikiwa ni kumuharibia kaka yake kazi.

Anyways, mimi kama rafiki yake pia nimeumia sana. Kwa kweli its hard kuona ndugu yako au rafiki yako anakuwa bullied bila sababu. Tena ukizingatia hajamkosea mtu chochote. Dada wa watu sio mwanasiasa, anaamka zake asubuhi anaenda kazini,usiku anarudi nyumbani kulala hana shida na mtu. Sasa kwanini wanataka kumwaribia image yake? Au ni kwasababu ni mwanamke mwenye umri mdogo na kafika hapo alipofika?

SASA NAULIZA TANZANIA KWA SIASA ZA KISHEZI HIZI TUTAFIKA KWELI???

MANGE KIMAMBI

PS: Ka email kenyewe kame fojiwa na mtu ambae hata hajui photoshop/kufoji vizuri. hajui hata chini ya email za mwammy huwa kuna headers za kampuni zinatokeaga. Also any email ikiwa printed out inatokea na headersAny IT professional would look at that stupid email and laugh.hata wewe ukitaka unaweka kukaa kwenye word document yako and create it yani thats how poorely done it was.
alafu bora hata angeenda kutafuta mtu anaejua kiingereza lol...kaweka ma broken english humo ili mradi tu. Mwam haongei english kama hiyo,try harder next time.... and soon nakuumbua humu, be ready.....

kapata ubunge kwa rushwa ya $1m

FAKE EMAIL CIRCULATING ABOUT THE MAKAMBAS......

And she would like all of you to know that, vita vya kipuuzi kama hivi against her and her family will never hold her back. And she would like all the other women to know that, we have to be strong in this men dominated world, na tusikubali kurudishwa nyuma na kitu chochote kile. Na anawashukuru mno kwa support yenu katika kipindi hiki kigumu kwake na familia yake.

And she would like to assure you that, the email was 100% percent fabricated na sababu kubwa ikiwa ni kumuharibia kaka yake kazi.

Anyways, mimi kama rafiki yake pia nimeumia sana. Kwa kweli its hard kuona ndugu yako au rafiki yako anakuwa bullied bila sababu. Tena ukizingatia hajamkosea mtu chochote. Dada wa watu sio mwanasiasa, anaamka zake asubuhi anaenda kazini,usiku anarudi nyumbani kulala hana shida na mtu. Sasa kwanini wanataka kumwaribia image yake? Au ni kwasababu ni mwanamke mwenye umri mdogo na kafika hapo alipofika?

SASA NAULIZA TANZANIA KWA SIASA ZA KISHEZI HIZI TUTAFIKA KWELI???

MANGE KIMAMBI

PS: Ka email kenyewe kame fojiwa na mtu ambae hata hajui photoshop/kufoji vizuri. hajui hata chini ya email za mwammy huwa kuna headers za kampuni zinatokeaga. Also any email ikiwa printed out inatokea na headersAny IT professional would look at that stupid email and laugh.hata wewe ukitaka unaweka kukaa kwenye word document yako and create it yani thats how poorely done it was.
alafu bora hata angeenda kutafuta mtu anaejua kiingereza lol...kaweka ma broken english humo ili mradi tu. Mwam haongei english kama hiyo,try harder next time.... and soon nakuumbua humu, be ready.....

If only you could have known his shit in the darkness and how he is equally reducing Kikwete government into ashes slowly from the inside for a group out there!!!

Nenda kamuulize Riz1 na Ngeleja nani kaandika hiyo email. You still want to know?
 
Pia kawaachia wananchi contact za maswahiba wafuatao: Rostam, EL, Vijisenti, Yusufu Manji, Makamba Sr., Mwamvita, Serukamba, Komba, Millya,Makongoro na Mama Januari. Kwa kweli anafaa sana!

Pamoja na ufisadi wake, kosa kubwa alofanya ni kumuingilia mtoto wa mfalme na shemeji yake ngeleja. hawa jamaa watammaliza. amechokoza nyuki...shauli yake. Eti wanatafuta sijui nani kamchafua january, kama wanataka Riz1 asiwachafue kwa nini wanaingiza pua zao kwenye shuguli za wakina Ngeleja. Pole zao lakini ndo siasa
 
FAKE EMAIL CIRCULATING ABOUT THE MAKAMBAS......

Written by Mange
Thursday, 20 October 2011 17:58
Phony/fake email circulating about the makambas

Recently kuna email ambayo allegedly inatoka kwa Mwamvita kwenda kwa kibopa wa barrick ,Email inahusu Mwamvita kumuombea kaka yake rushwa.
Huu ni uongo na unyama usiokua na kipimo. Hivi mtu unakua na akili gani ukakaa ukatumia muda wako kutengeneza uongo kama huu?? Unafanya hivi ili iweje? Ni wivu? Chuki binafsi au ushetani??

Ni ngumu kufikiri kwamba watanzania wamefikia kiwango hiki cha kukosa utu. Ukweli siku zote unaonekana kuzidi uongo. Janaury ni msema kweli, mchapa kazi na mtu msafi. Kama hamna cha kuonyesha ndio mtengeneze?? Nimeguswa sana na jambo hili, na naomba wale wapenda haki waniunge Mkono kukumea vitendo vya kizindaki na vya kishenzi katika nchi yetu.

Nahakika, aliefanya jambo hili atajulikana na atawekwa hadhari in a very near future. Na kama ni wewe, be very scared.

I mean really hili jambo limenisikitisha sana. Mwamvita is a young woman that many young Tanzanian women are looking up to. Kwa nini mtu aamue tu kumchafua dada wa watu? Hivi kwani Mwanamke hawezi kushika nafasi nzuri nchi hii kwa kutumia usomi wake na ushapu wake? Kwa nini mwanamke akisha fika juu basi aanze kuchafulia na kuambiwa kafuka pale kwa sababu zisizo za msingi au anatumia nafasi yake vibaya?

Roho imeniuma sana juu ya hili jambo. Bora hata wangetengeza email wakamsema kaka yake January kaomba rushwa labda kidogo ingeeleweka ni yale yale mambo ya siasa za kishenzi za nchi hii. Sasa msichana wa watu hata sio mwana siasa nchini kwa nini atumike kumchafua kaka yake?

Alafu vitu vingine vinahitaji common sense tu kujua kama is this true or not. I mean kweli where in this world umewahi kuona mtu anaomba rushwa kupitia email ya kazini kwake jamani? Tena sio kuomba rushwa tu, na kuweka mapenzi humo humo. Really? Na email address ya ofisini kwako?

Anyways, Mwamvita would like to thank wengi wenu mliompigia simu na kumtumia email kumpa pole kwa hili jambo la kishetani lililofanya na walemavu wa akili na utu.

And shewould like all of you to know that, vita vya kipuuzi kama hivi against her and her family will never hold her back. And she would like all the other women to know that, we have to be strong in this men dominated world, na tusikubali kurudishwa nyuma na kitu chochote kile. Na anawashukuru mno kwa support yenu katika kipindi hiki kigumu kwake na familia yake.

And she would like to assure you that, the email was 100% percent fabricated na sababu kubwa ikiwa ni kumuharibia kaka yake kazi.

Anyways, mimi kama rafiki yake pia nimeumia sana. Kwa kweli its hard kuona ndugu yako au rafiki yako anakuwa bullied bila sababu. Tena ukizingatia hajamkosea mtu chochote. Dada wa watu sio mwanasiasa, anaamka zake asubuhi anaenda kazini,usiku anarudi nyumbani kulala hana shida na mtu. Sasa kwanini wanataka kumwaribia image yake? Au ni kwasababu ni mwanamke mwenye umri mdogo na kafika hapo alipofika?

SASA NAULIZA TANZANIA KWA SIASA ZA KISHEZI HIZI TUTAFIKA KWELI???

MANGE KIMAMBI

PS: Ka email kenyewe kame fojiwa na mtu ambae hata hajui photoshop/kufoji vizuri. hajui hata chini ya email za mwammy huwa kuna headers za kampuni zinatokeaga. Also any email ikiwa printed out inatokea na headersAny IT professional would look at that stupid email and laugh.hata wewe ukitaka unaweka kukaa kwenye word document yako and create it yani thats how poorely done it was.
alafu bora hata angeenda kutafuta mtu anaejua kiingereza lol...kaweka ma broken english humo ili mradi tu. Mwam haongei english kama hiyo,try harder next time.... and soon nakuumbua humu, be ready.....

tatizo la huyu mange ni kimbelembele na kujifanya mjuaji. watu wanamsoma sana, achunge sana atafanyiwa kitu mbaya anatazamwa na jicho upande. tatizo la january ni zito sana na linachunguzwa na wakubwa ndani ya ccm, iweje anataka kuwamwagia wengine mchanga ndani ya ubwabwa? kuna mawaziri na watoto wa wakubwa kama alivyo yeye mtoto wa makamba. ni msaliti na mwenye huchu wa madaraka ndo maana watu wamemchoka. Mange naye nimesikia kaweka jina la Riz1 na Ngeleja kwenye blog yake, aangalie sana, tena namsisitizia ajichunge ataungua kutokana na tabia zake. mwanamke gani anatoa vitisho kwa wanaume kwa sababu ana blog ya kuchafua watu??
 
Hii skendo ya Juzi ya mwamvita, January awaulize Ridhiwani Kikwete na William Ngeleja. nina uhakika 100%. Wamewania kumporomosha jamaa au kupunguza kasi yake. January take notes here. Adui zako wakubwa waliotumia dada yako ni Ngeleja na Ridhiwani. Kuwa mwangalifu jamaa watakumaliza, na wala usimtafute mchawi mwingine. Hawa ndio wachawi wanaopania kukumalia. Ridhiwani bifu binafsi, Ngeleja wewe kuingilia kazi yake.

Pole mkuu ndo utu uzima na siasa uchwara za Bongo

mijitu mingine sasa kama hii scandal ni ya kweli isiwekwe wananchi tukajua eti kwa sababu ni kijana makini, umakini wake wa mashaka kwa kuingia kwa pupa kwenye mfumo wa kifisadi unaotaka kuwarithisha watu wa aina yake nafasi kubwa za kiuongozi ili uwalinde waliomtangulia na mapatron wake akina RA, EL..mfumo wa kifisadi ili ukue na kuendelee ni lazima uzalishe hawa akina January Makamba na nyie wajinga ndiyo mnaodanganywa na "umakini" wa kijana huyu kiongozi mzalendo wa taifa la kesho. Hata Gobbel wa NAZI hakua na propaganda za kijinga namna hii
 
Mimi hapa naona safi kabisa, January ni mtu wa majungu sana. anajaribu kuwaaribia wenzake kazi, mashambulizi yakimrudia analalamika. Kamuaribia Jairo. Sasa hivi anataka kumuharibia ngeleja na Ridhiwani. Kwa hiyo mimi naona ngoma drooo for sure. Ikulu mjungu yake yalikuwa babu kubwa. Kamfanyia mbelwa majungu, lakini ya Mungu mengi, mbelwa kaja kupata kazi yake. Wasijifanye watakatifu. madhambi yao ndo yanawarudia wasilaumu watu na bado. Unadhni mzee makamba alikuwa safi? huyo mzee kafanya ushenzi CCM na hayo ndo matunda wakina january na mwamvita wanavuna. Mimi nampongeza Ridhiwani, Ngeleja na Jairo kumkomoa january na mwamvita. Sasa sakata la CITADEL bado
 
tatizo la huyu mange ni kimbelembele na kujifanya mjuaji. watu wanamsoma sana, achunge sana atafanyiwa kitu mbaya anatazamwa na jicho upande. tatizo la january ni zito sana na linachunguzwa na wakubwa ndani ya ccm, iweje anataka kuwamwagia wengine mchanga ndani ya ubwabwa? kuna mawaziri na watoto wa wakubwa kama alivyo yeye mtoto wa makamba. ni msaliti na mwenye huchu wa madaraka ndo maana watu wamemchoka. Mange naye nimesikia kaweka jina la Riz1 na Ngeleja kwenye blog yake, aangalie sana, tena namsisitizia ajichunge ataungua kutokana na tabia zake. mwanamke gani anatoa vitisho kwa wanaume kwa sababu ana blog ya kuchafua watu??

mange anajifanya mjanja. kafika kwa Riz1 kanywea anajua atafanyiwa umafya. kusema Riz1 na Ngeleja ndio chanzo cha barua pepe anaogopa safi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom