Zulqarnayn
Senior Member
- Oct 17, 2011
- 107
- 50
Naona kuna wengi tu miongoni mwa wabunge vijana wanaotumia mtandao vizuri...wengi wana mablogu (Zitto Kabwe Zuberi, Hon. DR. Hamis Kigwangala, Hon. Dr. Faustine Ndugulile na kuna Hon. JJ Mnyika naye anakurasa yake kwenye FB inayopasha watu habari za nini kinachoendelea jimboni kwake.
Labda kama JMagamba amekupa kazi ya kumpromotey hapa jamvini, hana lolote la ajabu 'gamba' huyo, alipata ubunge kwa jitihada za dada Mwamvita Magamba aliyekubali kum-seduce mzungu ili tu wapewe USD 1m kwa ajili ya kampeni[
Ndiyo maana waliliangusha jembe letu Shelukindo

Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.
Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).
Na hivi karibuni pia nimeona website yake, januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.
Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...
Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.
Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.