January Makamba kutua Igunga Jmosi hii

Nipe tano

Senior Member
Jun 16, 2011
100
27
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
 
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
acha uongo wewe.Umetumwa kupima upepo? Vikao vya vikuu vya ccm vinaanza jumamosi.
 
Hivi CCM hawana Baniani huko...................... Maana watu wa Igunga inaelekea wanachagua mfuko wa mtu!
 
Kaka karibu sana Igunga tunakusubiri utueleze kwanini mmetuondolea bahati yetu ya Mbunge aliyekuwa anatuweka town.Utajiharibia sana kaka nakukubali sana tangu Galanos ila hii utatumia nguvu nyng sana na sisi tumekusudia kukiadhibu chama.
 
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
Japokua jhujatoa source ya hii habari,Lakini yule mtoto yuko makini sana,tuache chuki binafsi,January Makamba is one of the coming up Generation ambayo tunaihitaji,yeye na mwenzake Nchemba,ukweli ni kwamba ingawa Rostam watu wanamlaumu,Igunga amewafanyia mambo mengi sana,kuwapa watu bima ya afya na miundombinu sio jambo dogo,CCM wana kazi kubwa kuwashawishi wale watu,tena wajitahidi sana Nape asikanyage kule,ila kwa staili ya CCM kwa sasa naona chama lazima kitakufa,wale watu walikua wanampenda sana Rostam tusidanganyane eti walinunuliwa walie,huo ni upuuzi mtupu,huyu mtu aliwasaidioa sana wana Igunga,Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Bravo January umetulia tunakukubali,litumikie taifa kwa umakini huo.
 
NDUGU ZANGU GREAT THINKERS, MIE NIKO IGUNGA NINAPOAANDIKA HII THREAD, UPEPO KWA CHADEMA NI MKUBWA SANA LABDA WAJICHANGANYE WENYEWE TU KWA KUWEKA MGOMBEA AMBAYE NI PANDIKIZI I MEAN ASIYE MWANAIGUNGA, WAKIFANYA HIVYO WAMEUWAWA, LAKINI WAKICHUKUWA KIJANA WA HAPA ANAYEKUBALIKA USHINDI NI 80%,
nITURUD BAADAYE KIDOGO
NAWASILISHA
 
Kabla ya kwenda Igunga aeleze kwanza zile dola milioni tano alizohongwa na Barrick Gold ameziweka kwenye benk za nje au kasha zihamishia kwenye benki za kibongo?
 
NDUGU ZANGU GREAT THINKERS, MIE NIKO IGUNGA NINAPOAANDIKA HII THREAD, UPEPO KWA CHADEMA NI MKUBWA SANA LABDA WAJICHANGANYE WENYEWE TU KWA KUWEKA MGOMBEA AMBAYE NI PANDIKIZI I MEAN ASIYE MWANAIGUNGA, WAKIFANYA HIVYO WAMEUWAWA, LAKINI WAKICHUKUWA KIJANA WA HAPA ANAYEKUBALIKA USHINDI NI 80%,
nITURUD BAADAYE KIDOGO
NAWASILISHA

Rostam mlimchaguwa vipi?
 
Nina amini wana igunga wana akili za kutosha kutambua kwamba ccm ni 'chama cha magamba' kina sumu ndani ya mwili wake kama walivyo nyoka, nje magamba ndani sumu (hata wakivua magamba sumu ni ileile)
 
Unaetathimi moto wa chadema kwa sasa igunga umetoa ball possession ya timu kwa mechi ambayo hata timu hazijaingia uwanjani, chadema wamepita huko ccm hata hawajafika uwanjani unasema possession ni 80 yaani wako pekee yao wana 80 percent subiri timu ziingie uwanjani. Najua itawaudhi ila ni kwamba CCM itashinda kwa sababu hii, inamtaji wa madiwani, vijiji mitaa na vitongoji naombeni radhi niwakumbushe tarime ccm haikuwa na madiwani pamoja na ugomvi uliokwepo kati ya mbowe na marehemu wangwe ulioleta hisia bado wananchi walichagua chadema, kwa sasa ni kweli wananchi wanahasira na majonzi ila naamini kwa alili ya utendeji wa kazi baada ya uchaguzi atachaguliwa mgombea wa ccm. Siwalazimishi kukubali ila this is how I see it and let us wait.n
o
 
Sasa mlitaka aende nani? Nape anaogopa hawezi kwenda, atawajibuje wana igunga dhambi ya rostam, sasa naona wanategeana nani aanze!!! Duh!!!!!! Labda januari kajitosa subirini
 
Mh January kwenda Igunga Tabora co mbaya, mwacha akapime upepo huko.
Am not sure, kama pametokea member wa CC ya CCM ambaye ameshakwenda huko baada Rostam kujiuzulu nafasi zake toka CCM na Bunge..?
Labda katumwa na JK...!

Wana Igunga Mpoo??
Haya kazi kwenu, maana Watanzania wote tupo nyuma yenu.
Tunawaomba sana Wana Igunga wakati ukifika, mfanye maamuzi bora na yenye manufaa kwa Watanzania wote.

Wana Igunga msigope kufanya maamuzi magumu, msiwaogope kwa vitisho vyao, mwisho wao unakaribia!

Wana Igunga Wakati ukifika fanyeni vitu vyenu!
 
Back
Top Bottom