January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

Nadhani mtoa kauli hajui anaishi zama zipi za kisiasa. Atakapong'amua hilo itakua too late kwake.
 
Makamba kawaambia siri toka NEC kwamba CCM haita achia madaraka mwaka 2015 ina maana wamejiandaa kukataan kushindwa ? Makamba kasema neno tata mno hili .CCM wana plan nini ?


ujue kwenye demokrasia za kishenzi kama zetu hizi, wapinzani ili "washinde" na kukabidhiwa madaraka wanahitaji an overwhelming majority yaani angalau 70+% ya vote. hapa inakua hamna ujanja wa kuiba, kwani itakua too much hata kwa wezi wenyewe kuonekana na mamcho ya dunia nzima wanaiba.

Ila wapinzani wakiscore 50+% CCM wanahamisha tu hicho kidogo bila ya kelele nyingi toka pande zote za dunia. na hapo CCM haitaondoka madarakani.
 
Alert, Alert!, maturity needed!......This's gonna be Nastyyyyyyyyyy!
 
CCM wana hati miliki ya kutawala?? Mwambien hata "Roman empire" ilianguka lakin wakati inaanguka hakuna kiongoz alieliona! Ccm ipo madarakan kiiman zaidi, na imani ni mbaya sana. Tatizo langu ni hao vijana wenye matatizo lukuki wanavyofanya "tp" na ccm kwa sababu ya njaa zao!! Who the hell is January? Eti ccm haitoki, ndo maana mpepanga kuchelewesha katiba ili mshinde??!! Patachimbika we mgosi!
 
Nilijua labda atakua msomi alieelimika, unaposema KAMWE ina maana uko tayari kwa lolote kulinda kauli yako. Kuiba kura, kutumia pesa na hata vita ili kua madarakani. Foolish
 
ktk somo la alama za nyakat huyu bw ameambulia 0, hata Gaddafi asingekubali siku 1 atajificha kwenye mtaro wa maji machafu . Tawala za Misri, Yemen, Syria, Algeria.nk hawakuwa tayar kukir udhaifu tuna mifano migine ya DAUD na GOLIAT ktk bible. Vilevile anaweza kurejea kwa majirani zetu Kenya, Malawi nk
 
"Naye Bw. Yusuph Makamba aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, alitumia fursa hiyo kutangaza kujiuzulu nafasi ya Kamanda wa UVCCM, mkoani hapa na kutaka uchaguzi huo utumike kuwaweka viongozi wenye mvuto ili chama hicho kiweze kuibuka na ushindi mnono katika Uchaguzi Mkuu 2015. " amekubali kuwa yeye hana mvuto...... taratibu wataanza kujitambua
 
January Makamba amerudia ile kauli yake ya kuudhi kuwa eti ni Ndoto kwa CCM kuondoka madarakani 2015! Inamaana yeye anawaamulia watanzania au? Hiki kiburi cha viongozi wa CCM lazima kikomeshwe! Amesema hayo leo Bungeni jioni, bado anaendelea kubwabwaja TBC1
 
January Makamba amerudia ile kauli yake ya kuudhi kuwa eti ni Ndoto kwa CCM kuondoka madarakani 2015! Inamaana yeye anawaamulia watanzania au? Hiki kiburi cha viongozi wa CCM lazima kikomeshwe! Amesema hayo leo Bungeni jioni, bado anaendelea kubwabwaja TBC1
 
Hivi akisema CCM itaondoka madarakani 2015, si tutaandika hapa kuwa Makamba atabiri kifo cha CCM?

Guess, what next??
 
January Makamba amerudia ile kauli yake ya kuudhi kuwa eti ni Ndoto kwa CCM kuondoka madarakani 2015! Inamaana yeye anawaamulia watanzania au? Hiki kiburi cha viongozi wa CCM lazima kikomeshwe! Amesema hayo leo Bungeni jioni, bado anaendelea kubwabwaja TBC1

hivi ww na akili zako unafikiria kweli ccm 2015 itaondoka madarakani? km mwajifikiria hivyo mnaota ndoto za mchana, watanzania hawako tayari kukabidhi nchi kwa vyama vya kidini na kikabila, mtaumia sana na ukweli huu ila ndio hali halisi
 
Ndugu wadanganyika mbele yenu ni kampuni ambayo juzi bungeni mh.ben membe amesema imefanya kazi nzuri sana[refer sunday citizen 12 nov page i and 2]

Ndio ndugu zangu ni kazi nzuri ambayo hadi sasa imewawezesha kulipwa kiasi kidogo tu cha pesa za wadanganyika 40millions usd..kutokana na mkataba walioingia na hazina wa ku audit mining firms,kumbukeni mkataba wetu na migodi inatulipa mradaba [royality] ya 3% ya mapato ya madini na hawa waheshimiwa serikali inawalipa 1.7% ya mapato tunayopata kwenye madini kutoka na kazi yao nzuri ya ku audit madini yetu.

ofisi za hawa jamaa zipo masaki ,na wapo kama 7 hivi wanapiga mzigo,so unaweza ukaangalia na kiasi wanachoingiza....what a fortune?? lazima bongo kwao wanaiona ni new york.

Naona wabunge kwenye kikao last friday wamewashukia kama mwewe,wanatuzuga au hawakujua au ndio siasa za bongo.wajameni hawa alex stewart ni kina nani?

Unawaongelea watanzania wapi hao?
 
Back
Top Bottom