January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

Makamba kawaambia siri toka NEC kwamba CCM haita achia madaraka mwaka 2015 ina maana wamejiandaa kukataan kushindwa ? Makamba kasema neno tata mno hili .CCM wana plan nini ?
 
Tatizo watu wamenyanyua sana huyu mtu wakati ni mediocre. Hizi kauli zale zinanikumbusha waziri wa mawasiliano wa Irak. Hivi ajamsikia Sumaye juzi alikuwa analalamika nini?
 
hivi mnamjadili fisadi ambaye ana hofu juu ya ccm kuachia madaraka 2015 jambo liko wazi ccm 2015 wanaachia nchi hii iwe kwa vita mabomu, ngumi maandamano, lazima waachie akuna ujanja Mungu akishaamua kitu akuna jinsi dalili ziko wazi akuna watakaye msimamisha atakaye kubalika kwa wananchi, wote wameoza
 
inawezekana kweli hawawezi kuachia dola kwa vile wamezoea kuiba kura
wasubiri cha mtema kuni na ole wao waibe kura
haki ya watu haidhulumiwi siku zote.
 
Nami nimestuka sana na kauli yake nzito sana sana!!aulizwe ili afafanue maana nasikia ameandaliwa for 2025 awe President

Hajaandaliwa kuw rais juzi akiojiwa alikataa kuwa u-rais hataki huyu kunatetesi ameandaliwa awe mgombea mweza yaani makamu wa rais ..kigezo etiu mgombeaji ku balance dini...mnalo mtaliwa sana wadanganyika
 
Kuna mtu alikuwa anapenda sana kuosha vikombe kwa nje huku ndani pakiwa pachafu na kuwaambia watu kikombe changu ni kisafi hii ni sawa na kaburi ambalo kwa nje limejengwa vizuri,limepambwa ila ndani ni uozo mtupu CCM iko katika hizi hali na mwisho hupasuka

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huyu jamaa utadhani ana mkataba wa milele na hilo jimbo lake pia anadhani kwa vile baba yake fisadi aliweza kutudhulumu haki zetu basi hata watoto wao watafanya hivyo. Mwisho wenu unakaribia kwani mungu hawezi kuvumilia mazambi yenu...
 
CCM ni kama gari lililozeeka , halina salvage value hivyo ni la kulipeleka likayeyushwe kama chuma chakavu!! January na mzee Makamba mnajifurahisha nafsi zenu ccm imekwisha!!
 
CCM inaweza kurudisha MATUMAINI ya kuwa katika taswira ya siasa iwapo;

1.Kupitia mwenyekiti wao(Mh. JK) kutimiza angalau nusu ya ahadi walizotoa.

2. Kufanya angalau kauli mbiu "Maisha bora kwa kila mtanzania" iwe na maana kwa kuyaboresha kweli hayo maisha.

3. Kuwawajibisha(kuchukua hatua za kinidhamu) kwa wanachama wake(regardless of their power, position, etc)

4. Kukubali kuwa wamewakosea wanachama wake kwa upuuzi(upuuzwaji wa mambo ya msingi)

5. Kujizatiti katika mipango ya maendeleo na kuacha kupiga kelele kupitia baadhi ya watu(tunaowafahamu), yaani Utekelezaji

6.....

7.....
 
Baba yake alimwachia yeye atawaachia wanae sasa sisi ambao hatuna majina ya Makamba kwisha habari yetu!!!! Vijana wengi wanakimbia usultani na wizi uliokidhiri ndani ya ccm
ccm haiwezi kupona kwa yeye kuwa na ubunge wa 'kupita bila kupingwa/kuchaguliwa' kwenye nchi iliyo na mfumo wa kupigiana kura.
ananikumbusha mzee Ghadafi akiwaita vijana panya lakini matokeo yake move yake ya mwisho yeye ndiye alijificha kwenye mtalo kama panya!

 
Muacheni ajidanganye nafsi yake! ana fikra mgando! Amelewa madaraka! CCM imeshaanza kufa au yeye anasubili siku ya mazishi ndio ajue??
 
Tunaona jamani hizi kauli ndio zitakazo leta vita tz hapa,haiachii dola kwa lipi hasa,nyinyi wenyewe tu kwenye chama mmepoteana sana tu nawala c lakubeza,hau kwavile unakula unashiba unaenda chooni,watu tumechoka na utawala wakijinga mimi nina uita na raisi tozi mgum wa maamuzi magum,mawaziri bunge wanaotoa jibu jepesi kwenye maswali magum.
 
January kama na wewe unaogopa kivuli cha vijana ,kaa usubiri moto,hao hao vijana ndio watawang'oa CCM yenu!labda mtumie dola kuwarudisha madarakani maana usemi wako unatisha kidogo,hamuwezi kuachia dola?kivipi?kama kura zenu hazijatosha mtafanyaje??hiyo ndio siri ya CC yenu?basi mmeshaua demokrasia!

Anafikiri kuchakachua tu kama ilivyo jadi yao. Lakini waelewe kuwa mambo yamebadilika hata vyombo vya dola havitawasaidia kitu,
 
Back
Top Bottom