January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

Ndy shida ya watoto wa nje a.k.a watoto wa offside!!! tunajua wanajianda kuja kuanzisha vurugu endapo watashindwa, naomba huyo manyuzi aelewe mungu huwa hapingwi , na nguvu ya uma inapoamua kufanya mabadiliko yatakuwa tu angalia misri, angalia tunisia na kma anabisha asubiri, nchi hii haiendeshwi kifalme au kichifu. CCM chini chini chini zaidi
 
Kama vipi mkulu aangalie anapataje ubunge tena kuliko kuwaza CCM itabakije madarakani
 
Niwe wa kwanza kumuunga mkono kijana January Yusuph Makamba kuwa katika upinzani hakuna anayefanana na urais.

Namuunga mkono kwa sababu ya mawazo mgando yaliyopo katika vichwa vya watoto wa watawala kwani katika akili ya January hamwoni mtu anayefanana na kuhongwa suti katika upinzani,haoni mtu ambaye mke wake atafungua taasisi ya kukusanya mabilioni ya misaada kwa taasisi yake na baada ya kustaafu mume wake akabaki na hayo mamilioni.

Makamba haoni rais aliyekaa kifalme ndani ya upinzani,haoni rais mwenye watoto watakaokuja kuwa ma prince na kumiliki vituo vya mafuta na malori.

January ana roll model wake walio katika ndoto zake ambao akitizama usingizini anaona wanafaa kuwa marais,haoni watu kama Samora Machel,Thomas Sankara,Patrick Lumumba wala Mwalimu Nyerere.

Anaona kama ukivaa nguo zaidi ya suti za kimagharibi hufanani na urais.

Anataka rais anayepanda miti ya kumbukumbu ya miradi akiwa kapiga magoti katika capert.

Haoni ni kwa jinsi gani profesa Safari anaweza kuwa waziri kwani hajui kuvaa suti,hafanani na Membe,Mnyika hafanani na Kigoda,Machali ni tofauti na Jumanne Maghenbe.

Kwa January ni ndoto za kifalme zimemjaa kichwani.

Nakuunga mkono January lakini nikutahadharishe kuwa ndoto umeziweka ulaya mwili ukauacha Tanzania.

Baba yako ameshatangaza kuwa yupo kambi ya Lowassa, nakuomba na wewe ujipambanue ili niweze kukuunga mkono.
 
Hako kajamaa huwa kanajiona kako smart sana!

Nadhani kanajidanganya kwa sababu kana followers wengi Twitter!

Mtu ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale anapata wapi uhalali wa kudai hawatashindwa??

Nilimsikia akiwa Bukoba anadai upinzani hakuna sura ya waziri au naibu waziri au Rais!

Haka kajinga kanatumia kipimo gani kupima uwezo wa watu wengingine??

Jinga kabisa!
 
Niwe wa kwanza kumuunga mkono kijana January Yusuph Makamba kuwa katika upinzani hakuna anayefanana na urais.

Namuunga mkono kwa sababu ya mawazo mgando yaliyopo katika vichwa vya watoto wa watawala kwani katika akili ya January hamwoni mtu anayefanana na kuhongwa suti katika upinzani,haoni mtu ambaye mke wake atafungua taasisi ya kukusanya mabilioni ya misaada kwa taasisi yake na baada ya kustaafu mume wake akabaki na hayo mamilioni.

Makamba haoni rais aliyekaa kifalme ndani ya upinzani,haoni rais mwenye watoto watakaokuja kuwa ma prince na kumiliki vituo vya mafuta na malori.

January ana roll model wake walio katika ndoto zake ambao akitizama usingizini anaona wanafaa kuwa marais,haoni watu kama Samora Machel,Thomas Sankara,Patrick Lumumba wala Mwalimu Nyerere.

Anaona kama ukivaa nguo zaidi ya suti za kimagharibi hufanani na urais.

Anataka rais anayepanda miti ya kumbukumbu ya miradi akiwa kapiga magoti katika capert.

Haoni ni kwa jinsi gani profesa Safari anaweza kuwa waziri kwani hajui kuvaa suti,hafanani na Membe,Mnyika hafanani na Kigoda,Machali ni tofauti na Jumanne Maghenbe.

Kwa January ni ndoto za kifalme zimemjaa kichwani.

Nakuunga mkono January lakini nikutahadharishe kuwa ndoto umeziweka ulaya mwili ukauacha Tanzania.

Baba yako ameshatangaza kuwa yupo kambi ya Lowassa, nakuomba na wewe ujipambanue ili niweze kukuunga mkono.

- Maneno mazito sana haya, Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Le Mutuz
 
Hata wale abiria waliokuwa ndani ya Titanic hawakuamini kuwa inaweza siku moja kugonga mwamba wa barafu na kuzama.

wewe ndio uliamini hivyo, unaitaji ":help:" uwelewa wa ziada ili ukitaka kulinganisha vitu vyenyeusawa. naamini ulijua ata babu Mugabe atashindwa. kwaiyo unaamini mzee kama Dr. za jadi ataongoza nnchi hii? kapitwa na wakati
 
Back
Top Bottom