January Makamba atoswa uwaziri

Naona ataandika barua nyingine ili izidi kumuweka juu tena kwenda wizara ya nishati na madini. Sitashangaa akipigwa chini.

hata mi ningekua mbunge ningetaka hii wizara. hamna wizara yenye pesa ka hii, ngeleja ni billionea kwa sababu ya hii wizara.:pizza:
 
Hi serkari kwani ya ukoo kwa sababu baba mtu kakwapua vyake na mtoto atumalizie tupa kule kwnza hana huruma na wananchi ana huruma na chama ushahidi juzi mjengoni kikwete fur*** him....
 
Wampe tu! Tena ile iliyomshinda Ngereja. Kijana yuko vizuri bwana tuache wivu usiokuwa wa maendeleo!
 
Kumchagua januari ni sawa na kutwangwa maji kwenye kinu yatazidi kuchafuka,mara zote watz hawajui ufisadi unaotendeka huko migodi,januari ni mshiriki mkubwa kwenye huo ufisadi alikuwepo huko kwa interest za wakuu yeye kuchaguliwa waziri ni fadhila.Wabunge wanaharakati walipokuwa wanaeleza uozo uliopo kwenye mawizara baadhi ya waccm walisema cdm wanapika majungu,evidence zilikaletwa cag na baadhi ya wabunge,serikali ilipigwa na butwaa na kuangalia chini kama fisi.
Wewe unayeema january anaonewa wivu huna UTU
 
huyu mkuu alikuwa na imani 100% kuwa atakuwepo lakini katoswa na kupigwa chini,inasemekana amefananishwa mambo yake na naibu waziri wa Nishati na madini!!taarifa kutoka jikoni

kwani ww ndiye rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeteua mawaziri? punguza kiherehere
 
Jamaa ni ana uwezo wa uongozi sijawahi ona, hata kama atatoswa sasa hivi, lakini jamaa atakuwa msaada sana huko mbele.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Mfuasi yoyote wa cceM lazima awe na akili kama hiyo unayoionyesha kwa uelewa wangu na utafiti nilioufanya kwenye vyuo vikuu ambako ndiko waliko wasomi wengi hata mtaani, wafuasi wote wa CHADEMA ni vichwa vikali ila wa upande wa pili upeo wao upo chini kupita maelezo
 
**** mambo ya jikoni yako kwa jikoni sio humu kwenye jf, rais akisha tangaza baraza lake ndo utuwekee ili tujadili kama kakosa au hajakosa,kwa sasa unataka tuchangie nini, hata huyo makamba akiteuliwa au akikosa wewe utapata nini,tuwekee vitu vya msingi humu,watu wengine sijui mkoje mtu akifanya kazi vizuri mnamsema asipofanya kazi mnamsema tuwaweke upande gani

Acha kutoa povu kaka'nchi ilishaharibiwa siku nyingi na hao hao'lazima tuwajadili bana
 
maskini..na ilivokuwa anajipendekeza twitter!!kama vile ccm ya kwake..
 
ana uwezo wa kukuongoza wewe na mkeo chumbani pmbaf zako.JANUARY ndo wale wale oppotunist warithi wanaotaka kutafuna nchi kama wazazi wao.ALINIUDHI JUZI MJENGONI NIKAONA HUYU HATUFAI.jamii ya january na william malicela ni ya kuitokomeza mara moja isiinfluence kisiasa 4 the future of our generation
Excellent comment na kuna lile swali alilomuuliza yule mama wa nccr wa UDSM wakati wa ubunge wa EAC ndio nilipomfuta kabisaa kwa watu kama mimi he is finished......
 
huyu dogo inaonekana kaupania haswa huo uwaziri, na mimi naomba kwa nguvu zote ashindwe.

Ana deni la $ millioni moja toka kwa shemeji yake alizozitumia kuhonga ili apate ubunge hivyo akibahatika kupata uwaziri jambo la kwanza ni kutuibia kama wenzie wakina Ngeleja na Maige ili alipe deni!!
 
Apewe Uwaziri au asipewe, wewe inakuhusu nini?

Katika umri wake na mambo ambayo amefanya/anafanya amejitahidi sana, wewe umefanya nini so far kiasi cha kuwa na chuki na mtima nyongo kwa kijana mwenzako?

Wivu haujengi kaka, fanya kazi na omba Mungu

You are right! You are Correct and Perfect as well!

We As Youth we have been drown by the wind of Rumours,Gossiping and so many grudges based perceptions to the extent that we tend to cook stories based on our thoughts and NOT FACTS!

Me I just sometimes find this stupidity na Ujinga if we as youth we don't give ourselves times to build an Attitude of looking things in a Positive way then we will the lost generation ...

Yani kuna watu this Forum imekua kijiwe tu chakupotezea muda na kuleta ujinga the facts he knows to read and write...basi balaa....

Jamani... Tunatambua uhuru wa kila Mtu kutoa maoni ila nadhani kuchagua kua msomaji it makes a lot of sence kuliko kuandika ujinga tu..

Mimi nadhani tuwe na Tabia ya kuelimishana badala ya kuangalia kizazi kikiangamia! We are not serious in life ! We are not committed to our own future ! Our attitude towards Jobs and any other crucial issues ni ujinga tu...

We have developed a Carrier out of criticizing! We tend to criticize whatever comes up this is very bad for ourselves as individual and Nation at large!

Sasa tujiangalie binafsi kabla hujakosoa mwenzakowa
wewe mchango wako kwa Taifa ni nini hapo sehemu yako ya kazi Kama umeajiriwa au pia Kama umejiajiri..

Makamba anajitahidi apate uwaziri au asipate ni sawa na tuchukue kma muda wake bado na katika maisha sio kila unavyofikiria kiwe basi kiwe hapana ndio tatizo letu waafrika mwisho wake vurugu...

Hata akiwa Waziri anaweza asifanikiwe sana kuliko MB Kwani atakua limited with the Nation resources to fulfill his plans tatizo ni Uwezo wa nchi sio Mawaziri.
 
kiujumla kijana hafai kuwa waziri ,kwa kumwangalia tu, anaonekna ni fisadi mamilioni aliochukua kule barriki ameshindwa kueleza umma, pia ameshindwa kumshauri rais katika mika aliokaa ikulu kama mwandishi na mshauri wa hotuba. So kwa upande wa uwaziri baaado sana, hana focus ,hqana cv ya kumfanya awe kiongozi wa kitaifa zaidi y aubunge wa kupewa na babaye. Kwa kwli asingekuwa babaye ubunge angeusikia kwenye radio tu. Kwa hiyo kweli akichaguliwa waziri itakuwa afadhali baraza hili. Naomba sana chone mnaomshauri mkuu pale magogoni mmshauri asije akampa cheo huyu kibaraka wa mafisadi. A boy is so ambitious , very power monger and rud. Samahani kw languege lakini ni hasira za kutomtakahuyu kijana, kwa vile hana uwezo zaidi ya kuwa penda tu vyeo. Naungana na wasamariana wapenda nchi kuwa asipewe wapwew wengine wenye uwezo mbona wapo , wapo wengi tu. Ahnsante

Hiyo story niliwahi kuisikia mtu mmoja anasema kuwa kuna boss mmoja wa barrick anatoka na dada yake huyu anayefanya voda kwahiyo yeye kala ki ushemeji tu. ndo maana unaona mwamvita kashusha bonge la kasri kama uliwahi kuliona kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom