January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.

THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.

Kwa mobile users,


Date: Wed, 17 Mar 2010 18:33:19 -0700
From: mmakamba@vodacom.co.tz
Subject: THANK YOU BABY
To: ****@barrick.com

Hello handsome,

Thank you for such a wonderful time during your visit. It was indeed exciting to be under your care and arms. I felt my worth again, and can't wait to see your handsome face; really can't wait and see you. I see each passing day seems as another year, I guess I owe you a visit, Smile.. By the way your gift was awesome; I could not believe it and only said OMG when I opened the package. What a wonderful man, really? I should feel a special woman in the entire world for having you. Following our conversation, I can assure you that arrangements have been made for you and your team to meet his Excellency the President, Prime Minister and other high ranking officials. Thank you to Mr. January and hon. Rostam. These two guys are the greatest, and infarct January is the most trusted president's right hand man. I also believe that, you will be following through with the promise to wire the pledged funds Mr. January needs for his upcoming campaign to win his, and the president's support in your operations in the country. I will be managing his funds, so trut the money will be well spent. He really needs the help... this is investment, remember...lol. You must do that for me baby, remember you are investing in your future minister of MINERALS and brother in law... We will be providing the bank account in which the half of the funds ($1ml) will be deposited as well as the other half at a later date.
Love
Mwammy


jp79tx.jpg
 
Mkuu document haisomeki vizuri sana,fanya maarifa tuipate barabara...
 
tigopesa badili heading ili iwe na sifa inayoendana na email yenyewe
 
Duuuuuu, kweli ni laana kuwa mtanzania...

Haya mambo yanaendelea ndani ya nchi hii wakati wagonjwa hospitalini wanalala watano per kitanda wengine wanapewa bilioni kufanyia kampeni za kuiteka nchi. Tena huyu jamaa ndio mwenyekiti wenu wa nishati na madini, utajiri wa nchi ulipolala.

January unauza nchi yako ukiwa kijana mdogo hivyo, tena wewe ni mjumbe wa secretariat ya chama na ulishuka Igunga na helicopter ukiwa na magufuli, kumbe ndio mambo yenu hayo... What a laaana
 
OMG tumekwisha. Huyu January kujifanya mkali kumbe bado anafukuzia hii wizara ili alipe fadhila kwa mtu anayemstarehesha dada yake. Hii nchi inakwenda wapi? 1ml USD, jamaa alipledge, atalipwaje hizi jamani.
 
Wala sishangai huyu anauza nyapu ku-raise hela kwa ajili ya kaka yake. Wajibu hoja sasa ushahidi huu hapa. Sijui mganga wao ataaambia nini? Tanzania imekwisha
Haya mambo hata Mafia gang/mob wameyafanya sana kule Italy. Ngono, muaji, wizi, uporaji na rushwa. No shame kuona Makamba family wanafanya kama mafia.

Kuendelea kuiweka CCM madarakani ni kuendeleza haya kwani hakuna aliye msafi humo
 
Watu walikuwa na mashaka sana January Makamba na kupata mavyeo mengi kwa kipindi kifupi. Kulikoni?
Nitarudi baadae
 
Ndiyo maana hakuna kodi tunayopata katika madini! Pesa yote inaenda mifukoni kwa RA, Makamba, JK family.

Binti Mwamvita ndiyo maana hakosekani ikulu kumbe ana lake jambo!!!
 
Lakini huyu dogo si alipita bila kupingwa jamani au huu Mchuzi ndio ameutumia Kupita bila Kupingwa

Ila ana Moyo kudadadeki ya Dadaangu auze K ili mimi niwe Mbunge? LoL bure nife na umaskini wangu
 
Hii haimpotezei January sifa ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya madini na nishati? Wachilia mbali hiyo imminent ministerial post!
 
Hii haimpotezei January sifa ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya madini na nishati? Wachilia mbali hiyo imminent ministerial post!
Kwa Tanzania hiyo inamuongezea sifa, si anajua kucheza michezo michafu.
 
Back
Top Bottom