January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

1. sasa anawaomba wasichukue au anawaamuru? Yeye kama mwenyekiti hawezi kuwakataza au kuzirudisha hizo hela? Mbona siasa bado nyingi?
Atoe tamko la kuwakataza...end of story. Na wakikataa je?

2. Ina maana Tanesco walikuwa wanawalipa wabunge katika trip za kwenda kuwakagua? Je na hizo kamati nyingine vipi?
Mbona naanza kukosa imani na wabunge wengine including Zitto na Slaa waliokuwa wakiongoza kamati!!
 
wabunge na mawaziri ndio wanaitia umaskini hii nchi hii kwa vijimambo kama hivi.
 
scientist nakuomba tumpe mtu benefit of a doubt, huyu kijana jamani yuko makini jamani sijatumwa naye bali ningeomba jamani tuhold judgement na sisi kama vijana wenzie tumtie moyo jamani. Kuna msemo unasema kwamba donot trust anybody but sometimes there is a need to have a little trust. Plse guys lets see what he is going to do, he is very capable i am telling you guys. Narudia tena mimi sijatumwa bali najaribu tu kushauri tu kwani kwa kijana mdogo kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa KAMATI YA BUNGE wizara ya nishati na madini ni hatua kubwa sana.
Kuna mchezo wa kuigiza unachezwa... ukimhusisha January Makamba kama mhusika mkuu. Hizi zote ni movie za kisanii. Tusubiri kwani darubini zetu zipo zinawafuatilia popote wanapokwenda. Mchezo rasmi ulianza alipojifanya kumwandikia barua fisadi mwenzake.... Ngeleja... ukaendelea na yeye kupewa uenyekiti wa kamati.... na bado unaendelea... usanii usanii wa mafisadi....
 
Ukimsifia January huenda hujaelewa siasa za Tanzania. Kama angekuwa kwenye timu ya ukombozi asingeingia kwenye kinyanganyiro cha kumtoa Shelukindo kwa pesa za Rostam. Kama mnahitaji ukombozi wa kweli acheni kughilibiwa, jitahidi kutofautisha kati ya mchele na pumba

Imenigusa mno mwanangu nilipopataka ndipo hapo;
JANJA YA PAKA KWISA TAMBUA

Kama mtoto wa yusuf umechukia na una uchungu kweli ni wakati wako mzuri wa kutubu kisha uje CDM.
Hatuhitaji bla bla za kujiosha! mmetuzuru sana nchi hii.
TAKE CARE!
 
Du hivi hizi kamati zina hela hivi ndo maana mzee wa mapesa aliwaka sana Tundu Lisu alipokuwa anaongea Takukuru sijui wanafanya ninihii nchi kwa kweli unaweza ukalia Tanesc wanasema wanahasara kubwa last year 5 bil kumbr ni kwa kutoa bahasha na kugaramia safari:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
safi kwa kijana huyu kuonyesha mfano, lakini ingependeza zaidi kama atagombea next time akiwa nje ya chama cha mafisadi

Swala la msingi ni mtu kuweka mbele maslahi ya Taifa badala ya chama chake. Unaweza ukawa nje ya CCM lakini ukawa fisadi pia na unaweza ukawa CCM usiwe fisadi. Afterall, wanaonufaika na ufisadi ni kikundi kidogo ndani ya CCM, wakati majority wanavuja tu jasho! Rai yangu ni kwamba tuungane, wana CCM na tusio wana CCM kukipinga kikundi hiki kidogo (kinacho ongozwa na Kikwete na Rostam Aziz) kinacholiibia taifa bila huruma.
 
Huu ndio ufisadi wenyewe bahasha za lunch 1,000,000 hatujui wanapewa mara ngapi katika kikao hicho, vikao vingapi vinafanyika kila mwaka.
 
Mambo ya Tz mtu unashindwa kuamini. BAHATI MBAYA TZ HATUNA ANTI -CORRUPTION TUNGEWAPA WALIFUATILIE.
 
nitamuona wa maana pale atakapowachukulia hatua waliotoa hizo bahasha..otherwise ni mpambaji magazeti tu.
 
mgosi mwenzake Mzee William Shelukindo

Now I can undestand, ukimua nyoka lizima uponde kichwa nu kukikata, ya wezekana ndicho kilichokuwa kinafanyika. Hii posho ilikuwa si ya kipindi chote walichokaa bungeni cha miaka mitano hakuna tatizo kubwa.
 
Ukimsifia January huenda hujaelewa siasa za Tanzania. Kama angekuwa kwenye timu ya ukombozi asingeingia kwenye kinyanganyiro cha kumtoa Shelukindo kwa pesa za Rostam. Kama mnahitaji ukombozi wa kweli acheni kughilibiwa, jitahidi kutofautisha kati ya mchele na pumba

Nakubaliana na wewe......let's not buy these January's antics blindly.

I suspect haya ni mambo ya CCM.... "nitoke vipi?" wanasema watoto wa mjini!

Nadhani kijana yuko kwenye mission (ametumwa kwa vile ni mpya) ya ku-attempt kukisafisha chama chake.
 
Matamshi haya aliyoyatoa dhidi ya wabunge wenzake ni mazito sana, yanaivunjia hadhi kamati iliyopita. Ingekuwa vema atoe vithibitisho,la sivyo aombe radhi!
 
The goodthing is amethubutu, the bad thing ni kutaka kuonyesha kwamba hakukuwa na kitu kimefanyika kuhusu kutatua tatizo la umeme kabla.

Umeme ni swala la wataalamu wanasiasa wakae nalo mbali wameshatughalimu sana tu mainjinia wapewe nafasi ya kumaliza tatizo hili. leave tanesco alone kama PE.
 
Huu ni mkakati wa kulivuhjia heshima bunge lililopita, wabunge na spika wake, mh mtaalamu wa milipuko (kulipua mabomo) aliiover look hii au vipi? Nimeaza kumuelewa Rais kwanini hawa fahamu dowans maana hata hili hakulifahamu, angejua asingesita angechukua hatua.
 
january lazima azikatae,ametoka ikulu ndio ofisi yake ilikokua,kule una saini kiasi chochote utakacho pasipo maelezo yakutosha.hongera pia,si mbaya sana kwani umeeleweka.hizo dhambi mwisho wake ni mbaya,watu wanapiga lanchi ya M ,wakati wanachuo buku tano unaambiwa maliza matatizo yako yote kwa siku,wakiandamana mmnasema slaa kawatuma.duh ! kweli wadanganyika tumerogwa na aliyeturoga kafa.
 
January alisema baada ya kupitia taarifa zilizopita za kamati hiyo, aligundua kuwepo kwa bahasha za mlo wa mchana kwa kila mjumbe wa kamati ambazo ndani yake kunakuwa na shilingi milioni moja hivyo aliwaomba wajumbe wa kamati yake kuzikataa.
Kijana ameshasoma kwamba Watanzania sio wa kudanganya tena; akatubu kwanza kwa Sherukindo ndo aanze upya na hizi conspiracies!!

Very very cheeaaaaap!
 
January hana chochote bali anatafuta umaarufu tu. Anatuhadaa ili wananchi tukudanganyika kuwa yeye ni mtu wa maana basi ataanza kututosa kwenye mikono ya Rostam. Tangu lini tuvune mchungwa toka kwenye mlimau?

Alipokataa hizo posho za chakula alichukua hatua gani? isije kwamba anatafuta mgawo wake yeye peke yake. Chama chake cha kifisadi na waliomweka mafisadi, atatoa wapi ujasiri wa kuwakomoa mafisadi?
 
wee January acha kuzubaa huko mjengoni,ukipewa hela ikubali afu itumie kuleta mabadiliko jimboni kwako!kama vifaa mahospitalini au shule....ukisusa MAFISADI ya CCM yatakula....nani kakwambia nyani anasusiwa shamba???????:twitch::twitch::twitch::twitch:
 
Back
Top Bottom