January Makamba ajifananisha na Sokoine na Mrema, anafanana nao?

Mwambieni Sokoine na Mrema, Dada zao hawakuchukua hela za Barrick $ 1 Mil kwa ajili ya uchaguzi
 
WanaJF, kwenye gazeti la Guardian la jana Mh. January Makamba aliandika makala yake ya kujitetea dhidi ya mtazamo wa mwandishi wa habari aliyesema si vizuri kwa yeye kuingilia TCRA.

Katika kuhitimisha makala yake akajiweka kundi moja na Hayati Moringe Sokoine na Mh. Mrema katika utendaji wao serikalini.

Swali ni je anafanana na watu hao kiutendaji au ndoo yale ya kutaka kujua watu wanamfikiriaje yeye?

Kwa nini watu wanaona Sokoine na Mrema walikuwa viongozi wazuri?
 
jaman mnajiumiza vichwa na mtu hata kwenye mikutno ba baraza la mawaziri haingii kikatba
 
CCM ni CCM haikosi gamba, hataukiwa mzuri hukosi gamba, hata ukiwa Magufuli hukosi gamba, Hata ukiwa Mwakyembe hukosi Gamba hata ukiwa J.Makamba hukosi gamba kwakuwe wewe ni CCM na CCM ni magamba na kamwe hawawezi kuyavua kwani ukiyavua sio CCM tena kwa maana CCM ni gamba. Ili asiwe gamba ahamie Chadema au asiwe na chama chochote
 
Back
Top Bottom