January Makamba: A New Generation Leader!

makamba.jpg

He is nerdy looking and the chicks in here are swooning over him? Wow! Amazing
 
NN don't kid yrself the chicks dig the looks, it's all about the power of the high rollers.

Remember biggie, "black and ugly as ever, however coogi down to the socks".

It's all about your power money and respect, you can be the ugliest most nerdy looking guy in the room, as long as you have money power and respect the chicks will run to you.

Thats whats up in here.
 
I hear you....and I can't knock him for that.
 
William acha ujuaji wa usivyovijua!

Boston imekujaje? Jamaa amesoma (CSB St. John's) Minnesota na George Mason (Virginia). Soma hapa. Kwa nini unapenda kujikaribisha kwa kila asiyekujua, huoni unajiabisha?

- Anayependa kujiabisha ni wewe mkuu kwa sababu hiyo web, ina makosa mkuu sana, kama ukienda kwenye web yenye CV ya Mzee Malecela, ina makosa mengi sana, kwa hiyo mkuu sio kila kinachowekwa kwenye web ndio ukweli, niliposema kuhusu elimu ya Januari wala sikuenda huko kwenye web, kwa sababu ninajua amemaliza shule lini, aliomba kazi kwanza NY nimemuona na ni kazi aliyoitaka NY ndiyo iliyompelekea kuishia kwenda Foreign.

- Naomba nikusaidie tena kuelewa, kwa nini ninamfahamu Januari ni kwa sababu mtoto wa dada wa baba yangu ameoa ndugu wa Januari, je ninaweza kuwa nimekusaidia mkuu? Sijawahi kujikweza sina sababu na ndio maana kuepusha uongo na majungu ninaingia kwa jina langu kamili hapa JF.

Halafu usiseme Foreign wanafuata merits kwenye ajira. UN office ya hapo New York, kwa mfano, wamejaa Malecela's na relations wa Mongella. Na unajua, ukibisha ni kwa sababu inakugusa.
- Pole sana mkuu, New york kuna mtoto mmoja wa Malecela ambaye ni Legal Officer wa ubalozi anayetokea makao makuu kwa muda wa miaka minne, kama maofisa wengine wote wa balozi zetu, pia kuna mtoto wa Makamu wa Mwenyekiti wa Chadema muanzilishi, ambaye ni local staff si mtoto wa Malecela ingawa ana mahusiano ya karibu na Malecela, eti mtoto mmoja wa Malecela kuwepo ubalozini inafanya ofisi kujaa Malecela's?. Kwa maoni yako huyu alitakiwa kufanya kazi wapi ili ofisi isijae the Malecelas? this is a joke or what mtoto mmoja anfanya kujaa ofisi nzima?

Pole sana mkuu, na Mungu akubariki.

William.
 
Last edited:

Pole sana mkuu, New york kuna mtoto mmoja wa Malecela ambaye ni Legal Officer wa ubalozi anayetokea makao makuu kwa muda wa miaka minne, kama maofisa wengine wote wa balozi zetu, pia kuna mtoto wa Makamu wa Mwenyekiti wa Chadema muanzilishi, ambaye ni local staff si mtoto wa Malecela.

William.
Alichosema Blueray hakipingiki. Unataka kubisha, William, kwamba kuna multiple Malecela's hapo ubalozini New York? Hakuna Mrs. Malecela na Ms. Malecela hapo UN?

Na huyo Ms. Malecela ambaye unasema ni legal officer hilo litakuwa skandali la mwaka manake hakuwa amesomea sheria aliporudi nyumbani kutoka India miaka minne iliyopita. Ana experience gani huyo mtoto right out of school kupewa uofisa hapo ubalozini, tena medani ambayo hajasomea ya sheria, kama sio u-Malecela?
Sema kama naongopa!

Halafu zaidi ya huyo, kuna huyu Mrs. Malecela pia. Si kweli?
 
Mkuu Icadon,
Nakuunga mkono kabisa. Kitila Mkumbo ni kichwa kizuri sana. Nafikiri sasa atakuwa amemaliza PhD yake kama hayuko kwenye hatua za mwisho huko UK. Huyu jamaa nakumbuka akiwa rais wa DARUSO miaka ya 90 uongozi wake ulikuwa ni wa mfano. Ana misimamo katika mambo ya msingi na hayumbishwi na mtu. Naomba asijekuwa kama mzee wa Dowans (Zitto). Aendelee na huo msimamo hope oneday anatakuwa rais wa hii yetu iliyobarikiwa sana na MUNGU.

Usiseme hivyo bana. Kitila alisaliti mgomo wetu, usiache watu tuseme bana. Kama anabisha aseme mwenyewe hapa mie nimwage dataz.
 
Alichosema Blueray hakipingiki. Unataka kubisha, William, kwamba kuna multiple Malecela's hapo ubalozini New York? Hakuna Mrs. Malecela na Ms. Malecela hapo UN?

- Wapo mmoja amekuwepo pale kama local staff kwa miaka karibu 10, na alihamia tu pale akitokea Ubalozi wetu Belgium baada ya kuolewa, otherwise mpaka leo angekuwepo kule Belgium kama mtoto wa Makamu wa Chadema, eti unaamini serikali yetu inaweza kuajiri kwa upendeleo mtoto wa kiongoZi wa Chadema?

Na huyo Ms. Malecela ambaye unasema ni legal officer hilo litakuwa skandali la mwaka manake hakuwa amesomea sheria aliporudi nyumbani kutoka India miaka minne iliyopita. Ana experience gani huyo mtoto right out of school kupewa uofisa hapo ubalozini, tena medani ambayo hajasomea ya sheria, kama sio u-Malecela? Sema kama naongopa!

Halafu kuna huyo Mrs. Malecela hapo. Si kweli?

- Pole sana ndugu yangu, haya ndio yanaitwa majungu ya ajabu na yanaweza kutengenezwa na shetani tu sio binadam, huyo msichana amesoma bongo, akasoma UK, akarudi bongo na kusoma Diplomasia Temeke, akaenda India Bangalore five years na kupata Degree ya sheria, akarudi bongo na kufanya kazi kwenye NGO kwa miaka miwili, kabla ya kuomba kazi Foreign ambako alishinda the test na kuajiriwa kama ofisa wa tatu, amefanya kazi pale for two years, amesafiri sana na rais kama mshauri wa sheria za kimataifa, kama kawaida ya foreign baada ya miaka miwili pale unakuwa kwenye line ya kwenda nje yaani ubalozini,

- foreign kuna kamati maalum ambayo huamua nani anafaa kituo kipi, NY ni kituo muhimu sana kwa taifa letu, ndio maaana maofisa wengi wanaotokea huko huishia kupewa nafasi kubwa sana kwa taifa, leo unaamini foreign wanaweza kupeleka huyo incompetent sijui nani unayemsema?

- Pole sana mkuu kama umeambiwa na mtu, basi alikdanganya sana maana haya ni more than majungu, sijui hata jina la kuyapa, utaamua mwenyewe!

Respect.

FMEs!
 
Unataka kubisha, William, kwamba kuna multiple Malecela's hapo ubalozini New York? Hakuna Mrs. Malecela na Ms. Malecela hapo UN? ...Si kweli?

Okay, then. Thank you. Hilo tumelinyoosha, lilikuwa too obvious kulibishia hilo.

Sasa kwenye ubalozi wa staff ya 8, 10, ukajaza Malecela's wengi na Mkapa's haipendezi.

Ila hapa simlaumu Mahiga, yeye anatumiwa tu appointees na Foreign/Ikulu, afanyeje?

By the way, umepindisha career trajectory ya Ms. Malecela. Alienda Ikulu right out of school kabla ya kwenda foreign na soon after afisa ubalozini UN. Talk about fast-track nepotism. Lakini yana mwisho, kwani huko nyuma tulikuwa na msamiati "ufisadi" bana? Karibuni tutapata msamiati wa "nepotism."

Last edited by a moderator:
January has the stars aligned, which could be a blessing and a curse.

1. To start with he has the "right" surname, not to tarnish his brightness, lakini tuna watu bright wangapi Tanzania na hawapati hata nafasi za kutoa michango yao? Let's face it, January is relatively bright, some would even say brilliant by Tanzanian standards, lakini kuna personal connection kati ya Kikwete na Makamba ina play part. Undoubtedly rais anataka ku appoint aides atakao waamini, kwa hiyo mara nyingine ni vigumu kuchukua watu wa mbali. Kikwete na Yusuf Makamba wanajuana tangu siku zao za propaganda za chama katika jeshi. Sitashangaa kama January anaandaliwa kwa ubalozi au ataenda kugombea ubunge sometimes and pull a "Mizengo Pinda" of sorts.

Interesting lakini usisahau kuwa Tanzania used to be governed by the Establishment, a network of people who knew each other (often through family) and largely shared the same social background, education and values. These values were pre-eminently colonial: their best qualities were public service and incorruptibility, their worst were amateurism and snobbery. Their values were very strongly enforced - the former PM bwana SOKOINE who rejected them, was left to dry at the Establishment's behest na hilo halna ubishi hata kidogo.

Pua tunajua kuwa for about a 30 years tangu tupate uhuru this Establishment and its values dominated the governance of Tanzania through its grip on its major institutions, the home and overseas civil service, the armed forces, the judiciary and the Dar es salaam city (before deregulation). They were buttressed by the Nyerere's presidency, the churches, and most of the state owned media.

Although they dominated the political system, they regarded politics as a duty, rather than a career: indeed kila mmoja wetu anajua kuwa for most of the twentieth century it was almost impossible to make a living out of politics alone. People went into politics to represent their class or their locality, and they kept strong personal links with the interests in civil society which they represented....they are many the Mwinyi's, The SYKES,the KARUMES, the MALECELAS and so on...so its not January's fault to be born a Makamba and i am sure January is a million times better than Salva and the other mediocre bunch ambao wako pale lakini wanachokifanya hakieleweki.

2. January has academic credentials, he went to some allright schools - I believe Minnesota and George Mason. So no one can say he is unqualified, which is a good thing. It is one thing to show favoritism to a qualified candidate, and quite another to do the same to an unqualified candidate. Although favoritism is still favoritism by any tother name.His conflict resolution training, stints with refugees (UNHCR?) in Kigoma and fellowship at the Carter Presidential Center should have equipped him with a much needed global outlook, especially in the Kikwete Ikulu.

He has the academic credentials even though he didn't go to those red brick institutions. Can you enlight what you really mean by allright schools..and certainly January doesn't have a MICKEY MOUSE DEGREE like the other lot at Magogoni.

3. This guy used to be very progressive in his outlook, but as with all "revolutionaries" who start out with a brilliant vision to implement, he has cooled off and is continually surrendering his passion to the status quo. Indeed he is becoming part of the status quo. In any case I believe JK is better off with a young mind like January's if only to utilize his voracious leadership and hence benefit from sound advise on current affairs and international relations. JK is an airhead and just as he needed Dim to show him the ropes at MOFA, he needs January to advice him in this internet age at Ikulu.
Interesting...but surely katika Ikulu iliyojaa watu wanao damage presidency ya JK na zaidi by certain top figures who i can rightly state are the most most stupid government officials ever to breathe, In fact i am talking about Luhanjo who is a Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character.

so its its obvious the main glimmer of HOME mle ndani ni January Makamba
4. The one downside of January is that he fancy himself a policy wonk and as a result he comes off as arrogant. Just recently when he was with JK he almost created a diplomatic row by badmouthing Nigeria's export of oil while Nigerians lack oil, in an attempt to caution Kikwete and say openly that however the deal will unfold Tanzania will not tolerate leaving it's people hungry while exporting food. This statement is both good and bad, it is good to know that at least he was thinking this way and he got to air this concern at a time where Kikwete was probably giggling and smiling ready to sign all documents without laying down serious policy positions.It is bad because it was very undiplomatic and had it been made in an environment where the press was active it could have escalated matters to the level of a public apology.Apart from his experience January showed that he is still a rookie by trusting a "journalist friend" with his private views, only to read them on the papers the next day. A simple "Tanzania will not export food while it's people are lacking" without badmouthing Nigeria and creating a potential row would have sufficed.

At least January had some guts. Hell, to me January thinks like Leo Mc Garry, decides like Sam Seaborne,acts like Tobby Ziegler,sharp as Will Bailey and could probably hoop like Charlie Young and actually fits well with Jakaya Kikwete as his chief of staff.

Mpaka inafikia January Kusema aliyosema its because of those DINOSAURS waliojazana mle ndani and also because they live in a sealed world - like astronauts on an alien planet, moving along airlocked passages between a series of domes: party machines: "think-tanks"; Parliament; government; MAGOGONI bureaucracy; lobbying; consultancies; media, all within the giant dome of IKULU. iTS also a known fact kuwa form a self-admiring, self-promoting coterie and although they can plot viciously against each other they protect each other equally fiercely from
 
Last edited:
Interesting lakini usisahau kuwa Tanzania used to be governed by the Establishment, a network of people who knew each other (often through family) and largely shared the same social background, education and values. These values were pre-eminently colonial: their best qualities were public service and incorruptibility, their worst were amateurism and snobbery. Their values were very strongly enforced - the former PM bwana SOKOINE who rejected them, was left to dry at the Establishment's behest na hilo halna ubishi hata kidogo.

Pua tunajua kuwa for about a 30 years tangu tupate uhuru this Establishment and its values dominated the governance of Tanzania through its grip on its major institutions, the home and overseas civil service, the armed forces, the judiciary and the Dar es salaam city (before deregulation). They were buttressed by the Nyerere's presidency, the churches, and most of the state owned media.

Although they dominated the political system, they regarded politics as a duty, rather than a career: indeed kila mmoja wetu anajua kuwa for most of the twentieth century it was almost impossible to make a living out of politics alone. People went into politics to represent their class or their locality, and they kept strong personal links with the interests in civil society which they represented....they are many the Mwinyi's, The SYKES,the KARUMES, the MALECELAS and so on...so its not January's fault to be born a Makamba and i am sure January is a million times better than Salva and the other mediocre bunch ambao wako pale lakini wanachokifanya hakieleweki.

He has the academic credentials even though he didn't go to those red brick institutions. Can you enlight what you really mean by allright schools..and certainly January doesn't have a MICKEY MOUSE DEGREE like the other lot at Magogoni.

Interesting...but surely katika Ikulu iliyojaa watu wanao damage presidency ya JK na zaidi by certain top figures who i can rightly state are the most most stupid government officials ever to breathe, In fact i am talking about Luhanjo who is a Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character.

so its its obvious the main glimmer of HOME mle ndani ni January Makamba

At least January had some guts. Hell, to me January thinks like Leo Mc Garry, decides like Sam Seaborne,acts like Tobby Ziegler,sharp as Will Bailey and could probably hoop like Charlie Young and actually fits well with Jakaya Kikwete as his chief of staff.

Mpaka inafikia January Kusema aliyosema its because of those DINOSAURS waliojazana mle ndani and also because they live in a sealed world - like astronauts on an alien planet, moving along airlocked passages between a series of domes: party machines: "think-tanks"; Parliament; government; MAGOGONI bureaucracy; lobbying; consultancies; media, all within the giant dome of IKULU. iTS also a known fact kuwa form a self-admiring, self-promoting coterie and although they can plot viciously against each other they protect each other equally fiercely from any attack or criticism from the outside world.

Like all inhabitants of a sealed world, the hawa wazee from certain Political Class behave very oddly mle ikulu. Ohhh how can we forget how they routinely abuse power, lie and suppress and manipulate the truth...kutuambia everything was fine while we all knew nothing was fine when WAZEE wa EAST AFRICA were not paid. Yes those mediocre wonks mle ndani never admit error or failure, they always shuffle responsibility onto someone else....jiuliza kwa nini mpaka leo rais hana website? And no January isnt part of this lot I am talking about. Wenyewe wanajijua kwani this is one of their favorite hang out.

2wpjwc1.jpg

Thanks GT, you nailed it brother!
 
Ulimsikia Obama akimsifia Makamba au yeye kakuimbisha sera ukanunua tu kwa huruma?

Makamba ataonewa wivu kwa kitu gani, kazi ya Ikulu ya mapande au shahada ya Marekani za usomi wa kuiba makala za NY Times na kuziweka kama zake kwenye blogu?

Hii njemba haina uongozi wowote na haistahili kushika nafasi yoyote ya uongozi katika nchi yetu na hata hizo hotuba anazomwandikia Kikwete ni shakala baghala tu hazina mbele wala nyuma!!!! Wakati anasoma US alikuwa kwenye forum moja ya Wabongo basi akichangia mada halafu akipingwa alikuwa anakasirika sana. Kwa maoni yangu hii ilikuwa inaonyesha immaturity ya huyu jamaa na mwishowe akaamua kujitoa katika forum hiyo na hata hii leo hiyo attitude ya kwamba anachodhani yeye ndiyo sawa sawa bado anayo sana tu.
 
January has the stars aligned, which could be a blessing and a curse.

1. To start with he has the "right" surname, not to tarnish his brightness, lakini tuna watu bright wangapi Tanzania na hawapati hata nafasi za kutoa michango yao? Let's face it, January is relatively bright, some would even say brilliant by Tanzanian standards, lakini kuna personal connection kati ya Kikwete na Makamba ina play part. Undoubtedly rais anataka ku appoint aides atakao waamini, kwa hiyo mara nyingine ni vigumu kuchukua watu wa mbali. Kikwete na Yusuf Makamba wanajuana tangu siku zao za propaganda za chama katika jeshi. Sitashangaa kama January anaandaliwa kwa ubalozi au ataenda kugombea ubunge sometimes and pull a "Mizengo Pinda" of sorts.

Interesting lakini usisahau kuwa Tanzania used to be governed by the Establishment, a network of people who knew each other (often through family) and largely shared the same social background, education and values. These values were pre-eminently colonial: their best qualities were public service and incorruptibility, their worst were amateurism and snobbery. Their values were very strongly enforced - the former PM bwana SOKOINE who rejected them, was left to dry at the Establishment's behest na hilo halna ubishi hata kidogo.

Pua tunajua kuwa for about a 30 years tangu tupate uhuru this Establishment and its values dominated the governance of Tanzania through its grip on its major institutions, the home and overseas civil service, the armed forces, the judiciary and the Dar es salaam city (before deregulation). They were buttressed by the Nyerere's presidency, the churches, and most of the state owned media.

Although they dominated the political system, they regarded politics as a duty, rather than a career: indeed kila mmoja wetu anajua kuwa for most of the twentieth century it was almost impossible to make a living out of politics alone. People went into politics to represent their class or their locality, and they kept strong personal links with the interests in civil society which they represented....they are many the Mwinyi's, The SYKES,the KARUMES, the MALECELAS and so on...so its not January's fault to be born a Makamba and i am sure January is a million times better than Salva and the other mediocre bunch ambao wako pale lakini wanachokifanya hakieleweki.

2. January has academic credentials, he went to some allright schools - I believe Minnesota and George Mason. So no one can say he is unqualified, which is a good thing. It is one thing to show favoritism to a qualified candidate, and quite another to do the same to an unqualified candidate. Although favoritism is still favoritism by any tother name.His conflict resolution training, stints with refugees (UNHCR?) in Kigoma and fellowship at the Carter Presidential Center should have equipped him with a much needed global outlook, especially in the Kikwete Ikulu.

He has the academic credentials even though he didn't go to those red brick institutions. Can you enlight what you really mean by allright schools..and certainly January doesn't have a MICKEY MOUSE DEGREE like the other lot at Magogoni.

3. This guy used to be very progressive in his outlook, but as with all "revolutionaries" who start out with a brilliant vision to implement, he has cooled off and is continually surrendering his passion to the status quo. Indeed he is becoming part of the status quo. In any case I believe JK is better off with a young mind like January's if only to utilize his voracious leadership and hence benefit from sound advise on current affairs and international relations. JK is an airhead and just as he needed Dim to show him the ropes at MOFA, he needs January to advice him in this internet age at Ikulu.
Interesting...but surely katika Ikulu iliyojaa watu wanao damage presidency ya JK na zaidi by certain top figures who i can rightly state are the most most stupid government officials ever to breathe, In fact i am talking about Luhanjo who is a Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character.

so its its obvious the main glimmer of HOME mle ndani ni January Makamba
4. The one downside of January is that he fancy himself a policy wonk and as a result he comes off as arrogant. Just recently when he was with JK he almost created a diplomatic row by badmouthing Nigeria's export of oil while Nigerians lack oil, in an attempt to caution Kikwete and say openly that however the deal will unfold Tanzania will not tolerate leaving it's people hungry while exporting food. This statement is both good and bad, it is good to know that at least he was thinking this way and he got to air this concern at a time where Kikwete was probably giggling and smiling ready to sign all documents without laying down serious policy positions.It is bad because it was very undiplomatic and had it been made in an environment where the press was active it could have escalated matters to the level of a public apology.Apart from his experience January showed that he is still a rookie by trusting a "journalist friend" with his private views, only to read them on the papers the next day. A simple "Tanzania will not export food while it's people are lacking" without badmouthing Nigeria and creating a potential row would have sufficed.

At least January had some guts. Hell, to me January thinks like Leo Mc Garry, decides like Sam Seaborne,acts like Tobby Ziegler,sharp as Will Bailey and could probably hoop like Charlie Young and actually fits well with Jakaya Kikwete as his chief of staff.

Mpaka inafikia January Kusema aliyosema its because of those DINOSAURS waliojazana mle ndani and also because they live in a sealed world - like astronauts on an alien planet, moving along airlocked passages between a series of domes: party machines: "think-tanks"; Parliament; government; MAGOGONI bureaucracy; lobbying; consultancies; media, all within the giant dome of IKULU. iTS also a known fact kuwa form a self-admiring, self-promoting coterie and although they can plot viciously against each other they protect each other equally fiercely from any attack or criticism from the outside world.

Like all inhabitants of a sealed world, the hawa wazee from certain Political Class behave very oddly mle ikulu. Ohhh how can we forget how they routinely abuse power, lie and suppress and manipulate the truth...kutuambia everything was fine while we all knew nothing was fine when WAZEE wa EAST AFRICA were not paid. Yes those mediocre wonks mle ndani never admit error or failure, they always shuffle responsibility onto someone else....jiuliza kwa nini mpaka leo rais hana website? And no January isnt part of this lot I am talking about. Wenyewe wanajijua kwani this is one of their favorite hang out.

5. There are some concerns about his drinking habit and his newly minted marriage that borders on the ethics of leadership, but I would deem some of these rather private for now.The guy is just an aide, presidential or not.

1187041700_l.jpg

Dont hate the playa, hate the game
 
Jamaa ni mwandishi wa hotuba/mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aka Jon Favreu wa Tanzania.

Naomba kusaidiwa maelezo zaidi, mwandishi wa hotuba huwa anafanya kazi ya ushauri as well? Kwa hiyo anakuwa mshauri wa rais kwenye mambo gani hasa? Manake what I know huwa kuna mshauri wa rais kwenye mambo ya uchumi, mshauri wa rais kwenye......etc etc..

Na kwa mtazamo wangu, kwenye suala la uchaguzi wa viongozi wetu, angalau tuwe tunawaona ona wakijifarangua huku nyumbani basi, sasa mpaka wakasemee kwa Obama jamani? How do you convince a poor Tanzanian kuwa JM is the right candidate? Am sure atapiga kura kumchagua kwa kuwa atakuwa under the umbrella of CCM, akipitia upinzani, kalas! Kingine kitakachompa kura labda ni wale wa nyumbani kwa kuwa ni kijana wa mzee Makamba, so one get elected through mgongo wa baba!
 
Mkuu Icadon,
Nakuunga mkono kabisa. Kitila Mkumbo ni kichwa kizuri sana. Nafikiri sasa atakuwa amemaliza PhD yake kama hayuko kwenye hatua za mwisho huko UK. Huyu jamaa nakumbuka akiwa rais wa DARUSO miaka ya 90 uongozi wake ulikuwa ni wa mfano. Ana misimamo katika mambo ya msingi na hayumbishwi na mtu. Naomba asijekuwa kama mzee wa Dowans (Zitto). Aendelee na huo msimamo hope oneday anatakuwa rais wa hii yetu iliyobarikiwa sana na MUNGU.

Umenena mkuu rmashauri. Kitila Mkumbo ni mfano wa kiongozi asiyetetereka wala kuhongeka. Kipindi cha miaka ya 90 alikuwa anasoma our last born na ndipo kulikuwa na ule mgomo. Kitila alisimama kidete na alifuatwa sana apewe fungu ili a-betray wanafunzi na uongozi lakini alikataaa kata kata na akabaki na msimamo wake. Kitila ni kiongozi ambaye ni mfano na hajawahi kutokea kiongozi shupavu pale mlimani namna ile tena. Kuna mijitu kama Mtungurehi ambaye alipinduliwa na DARUSO kwa kuwa alikuwa befriended na Elimu ya juu na kwenda kinyume na wanafunzi mwishowe alipigwa chini kwa aibu. Eti sasa yuko kwa TLP anategemewa!!! Huyo si mpinzani ni traitor tu. Samahani wakuu thread ni ya JMakamba ila nimeamua niwadokezee hilo kuwa wapo vijana imara na wenye akili ambao wako revolunationary kama K. Mkumbo.
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt

Ridhwani yupi? Mtoto wa Rais? Kama ni huyo, hicho kichwa atakitoa wapi?
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
i

Kaka/dada u cant compare January na Ridhwani point of correction kama unampima sawa na RIM then January hafai and he is not of that callibber,Rizy we all know tuliomaliza UD kuwa ni faliure,na alipokuwa HULL kwa ajili ya Masters inafahamika amefeli,kwahaiyo unless una withdraw msimamo wako kuwa January ni kichwa kama Ridhwani basi he is not the type of leadership we expect in future.

Commenting on January alone he is good na nina mfahamu kuwa ni kijana Bright na ana msimamo anweza kusimamia anacho amini no wonder alipotowa comment abt Nigeria Oil issue,that is January,but its wrong technically,ethically,na morally kumuweka kundi mmoja na Ridhwani kikwete.
 
Hii njemba haina uongozi wowote na haistahili kushika nafasi yoyote ya uongozi katika nchi yetu na hata hizo hotuba anazomwandikia Kikwete ni shakala baghala tu hazina mbele wala nyuma!!!! Wakati anasoma US alikuwa kwenye forum moja ya Wabongo basi akichangia mada halafu akipingwa alikuwa anakasirika sana. Kwa maoni yangu hii ilikuwa inaonyesha immaturity ya huyu jamaa na mwishowe akaamua kujitoa katika forum hiyo na hata hii leo hiyo attitude ya kwamba anachodhani yeye ndiyo sawa sawa bado anayo sana tu.
BAK, Duh
Kamanda yaani wewe upo against na kila kitu! Well kule YA alikuwa anakwenda kwa jina la Curtis na Kelly kipindi hicho macho yake yote yalikuwa Bill Powers kabla ya MMJ kuja kumbadili upepo kwa mashairi ya haja, mwishoe kwa mshangao wa wengi wakawa ni mabinamu...

Kipindi kile NN alikuwa akichungulia YA na kutolewa mkuku na N. Dumisane, ilikuwa raha ya aina yake!
 
Wacheni kampeni zenu, Hakuna cha Makamba wala Makatani hapa Rais Jk ataendela mpaka pale atakapo maliza kipindi chake cha pili , kwa hiyo hakuna haja ya kuleta ngonjera ,subirini mpka 2015.
 
Kipindi kile NN alikuwa akichungulia YA na kutolewa mkuku na N. Dumisane, ilikuwa raha ya aina yake!

Acha wewe...Nshimi hakufua dafu hapa. Enzi hizo mimi nilikuwa bize kumfantizia Raj Patel kule bcstimes.com na Tanzatl.org...

Ila namiss kusoma posts za Katya-Irina....yule shori alikuwa na mdomo mchafu sana.

Halafu mbona Yo Yo Tell 'em ana sound sound kama Nshimi vile? Ni yeye nini?
 
Back
Top Bottom