January Makamba: A New Generation Leader!

Ooops...najua wewe ni mtu makini sana. Niwie radhi faza...

Sasa kule chemba video vipi, mbona hujaweka toka wiki ilopita?
haina kweeeere......ningekuwa ni mie kelly01 cup wangu ningesaha sighn out kwa aibu....unaona madudu anayoandika kwenye thread hii?
...aaah mavideo yaja hapan'shaka
 
Au ww Kelly01 ndiye Januari Makamba halafu unatumia JF kujifanyia self-promotion ya kisiasa?

Advice: Acha hizo cheap politics mazee.

Just an advice. Not worth further discussion.

Naona sasa unanitusi kwa kuniita mimi dume...which profile yangu inaonyesha kabisa kwamba mimi ni female...na pia ni unamtusi cuppy wangu kumfanya yeye anatoka na men...i think you need to apologize on this one,,,,
 
January has the stars aligned, which could be a blessing and a curse.

1.To start with he has the "right" surname, not to tarnish his brightness, lakini tuna watu bright wangapi Tanzania na hawapati hata nafasi za kutoa michango yao? Let's face it, January is relatively bright, some would even say brilliant by Tanzanian standards, lakini kuna personal connection kati ya Kikwete na Makamba ina play part.Undoubtedly rais anataka ku appoint aides atakao waamini, kwa hiyo mara nyingine ni vigumu kuchukua watu wa mbali.Kikwete na Yusuf Makamba wanajuana tangu siku zao za propaganda za chama katika jeshi. Sitashangaa kama January anaandaliwa kwa ubalozi au ataenda kugombea ubunge sometimes and pull a "Mizengo Pinda" of sorts.

2.January has academic credentials, he went to some allright schools -I believe Minnesota and George Mason.So no one can say he is unqualified, which is a good thing.It is one thing to show favoritism to a qualified candidate, and quite another to do the same to an unqualified candidate. Although favoritism is still favoritism by any tother name.His conflict resolution training, stints with refugees (UNHCR?) in Kigoma and fellowship at the Carter Presidential Center should have equipped him with a much needed global outlook, especially in the Kikwete Ikulu.

3.This guy used to be very progressive in his outlook, but as with all "revolutionaries" who start out with a brilliant vision to implement, he has cooled off and is continually surrendering his passion to the status quo.Indeed he is becoming part of the status quo.In any case I believe JK is better off with a young mind like January's if only to utilize his voracious readeship and hence benefit from sound advise on current affairs and international relations.JK is an airhead and just as he needed Dim to show him the ropes at MOFA, he needs January to advice him in this internet age at Ikulu.

4.The one downside of January is that he fancy himself a policy wonk and as a result he comes off as arrogant.Just recently when he was with JK he almost created a diplomatic row by badmouthing Nigeria's export of oil while Nigeriaans lack oil, in an attempt to caution Kikwete and say openly that however the deal will unfold Tanzania will not tolerate leaving it's people hungry while exporting food.This statement is both good and bad, it is good to know that at least he was thinking this way and he got to air this concern at a time where Kikwete was probably giggling and smiling ready to sign all documents without laying down serious policy positions.It is bad because it was very undiplomatic and had it been made in an environment where the press was active it could have escalated matters to the level of a public apology.Apart from his experience January showed that he is still a rookie by trusting a "journalist friend" with his private views, only to read them on the papers the next day. A simple "Tanzania will not export food while it's people are lacking" without badmouthing Nigeria and creating a potential row would have sufficed.

5. there are some concerns about his drinking habit and his newly minted marriage that borders on the ethics of leadership, but I would deem some of these rather private for now.The guy is just an aide, presidential or not.
Wewe ni Al- Watan kweli kweli!
 
Wa kwanza ni Mwanakijiji wa wa kumi ni mimi Madela Wa- Madilu.

Pamoja na ukweli kwamba muda wangu wote nimetumia kukokotoa namba ili kupata kacheti ka Engineering na siyo shahada nzito ya Uchumi Siasa Biashara au Sheria bwana mdogo January atanifuatia kwa mbali huku ulimi ukiwa nje.
mambo mengi niandikayo hapa naandika kwa hobby zaidi na kutumia less than 10% ya muda wangu wa kula mawe, kama yanaliwa.
Lakini nikiamua kuzama ili kutoa article au comments katia nyanja kibao ikiwa ni pamoja na Uhandisi na maendeleo ya viwanda, huyu dogo ataingilia wapi.
Kweli Kuna mambo kibao atanishinda, kwa mfano yeye atakuwa more informed na pengine kuwa na latest data na hata mvuto wa jina and no more.

Sasa my dear bro Madilu mbona umetoa list ya watu wawili tuu...of course mwanakijiji namfagiliya....cuz wangu ni kichwa utani pembeni kwa kweli,,,,

unaona sasa madilu...mwenzenu JM ameweka seriousnessy kwenye kila kitu anachofanya lakini you all take it as a joke....Si unajua ukiwa unafanya kila kitu kama joke na watu watakuchukulia hivyohivyo...you might be smart sikatai na kuwa smart siyo lazima uwe book smart inabidi uwe both...book and street smart...i think JM has both!.....

And that is what i am talkign about right now JM yupo more exposed....kuna vitu vingi ana learn na anapata experience...so ni wakati mzuri sana wa yeye JM kujijenga.....
 
Nawe mwenzako si ameuliza tu ni kiasi cha kumuelewesha? Kwani amekosea kujua Makamba ni nani? Mimi pia sijasikia kama vijana wenzake wanambania, imekuwaje? Haya huyo hapo:
TUPE YA OBAMA
 
Attachments

  • January Makamba.pdf
    127.3 KB · Views: 169
Lakini imefika wakati watanzania tuanze kuachana na mambo ya style na eloquence na tuwapime watu kwenye performance na Substance.

Hivi huyu jamaa ameshawahi kusimamia hata watu kumi tu na kuwa na mafanikio?
 
True that na kujaribu kuwapa moyo wale wenye uwezo wa kufanya kitu fulani na tusiwakandamize kwa kuwafanya they can't do while they can....
 
Bibie unahitajika kwenye jukwaa lenye heading hii Imagination - My Encounter with Super Lady in JF.
 
Jamani kina kaka, you need to hit the gym kama mnavitambi muwe kama january makamba au Obama (lol)!
 
Mkuu Kelly, heshima yako na tupo pamoja sana,

- Ninamfahamu sana huyu kijana Januari, amesoma Boston na kumaliza Masters kule tena akiwa na grades nzuri sana, ingawa grades au ukali wa shule, au kuandika haujawahi kuwa ni nyenzo ya umahiri katika kupima uwezo wa mtu kuwa kiongozi mzuri wa taifa au wananchi kwa ujumla, Mwalimu alikuwa na kichwa kizuri sana, maneno mazito sana, matendo mazuri sana kama kiongozi, pia aliweza kuandika vizuri sana hoja, lakini to this day bado tunataka kutoana macho kila wakati hapa JF, as of what was his achievements na accomplishments, meaning kwamba haya yote yanayosemwa kama mapungufu ya Januari sio tija kabisa katika kutabiria mwananchi anayeweza kua kiongozi bora kwa standards zetu hapa JF.

- Januari baada ya kumaliza Boston, kwa kifupi ninajua aliomba kazi Foreign ambako alipata kazi hiyo baada ya kupitia a very nasty test ya huko ambayo huwatoa nje watoto wengi wa vigogo wanaotafuta mteremko huko. Januari ameingia huko kipindi ambacho maofisa wengi wa muda mrefu huko walikuwa wanastaafu, kukawa na vacuum kubwa sana iliyompa nafasi kung'ara sana kwa kipindi kifupi sana yeye na kijana mmoja anayeitwa Togolane, mpaka kupata attention ya the then waziri wa nje, rais wa sasa Mh. Kikwete, aliyemchukua na kumfanya muandishi wake, au personal aide to the minister, kazi ambayo in the past imewahi kufanywa na some great Tanzanians kama Sam Mdee RIP, Godfrey Nkulu, Ben Mkapa, Ole Kambaine, Athur Mwakapugi na wengineo, hakuna aliyeweza kutabiri kama hawa niliowataja wanaweza kuishia kuyafanya waliyoyafanya walipopewa uongozi wa juu wa taifa na hawa wote hakuna aliyejua uwezo wao kiuongozi isipokuwa mabosi wao tu, na ndio fate ya Januari kiuongozi ilipo sasa.

- Kazi yake sasa hivi ni msaidizi wa rais, inaitwa msaidizi kwa sababu anatakiwa kufanya mambo mengi sana kila siku ya Mungu, licha tu ya kupangilia uandishi wa hotuba za rais, sasa hivi kwa lugha za kitaalamu ni messenger, kazi yake ni kutumwa shughuli za rais tena mbali mbali, sasa katika state ya kutumwa tena na rais, knowing kwamba msingi wa kazi yake ni uaminifu kwa rais sio rahisi kumuhukumu kwamba anafaa au hafai katika state ya kikazi aliyonayo sasa hivi, kwa sababu ni mara chache sana au almost zero chance kwamba anaweza kufafanya kazi kwa maamuzi yake binafsi kama msaidizi wa rais, kwa hiyo hoja kwamba hafai siioni inatokea wapi hapa!

- Halafu hili la kuandika vizuri au kupangilia hoja vizuri, sijui ni wapi limewahi kuwa proved kama ni important quality kuwa nayo ili uweze kua kiongozi mahiri , ninasema hivi tufike mahali tuwe waangalifu na hizi hizi tathmini zetu na kujali ukweli zaidi kuliko ubinafsi, chuki na wivu, kwa sababu sisi JF ni kioo cha taifa, na ni wengi sana wanaokuja hapa kutafuta ideas na hata elimu kwa ujumla, sasa tukianza kutokuwa makini na tunayoyasema kama hukumu kwa viongozi wetu na hasa watarajiwa, tunaweza kuishia kuonekana kama wananchi tusiokuwa na muelekeo mbele ya jamii ambayo tunajaribu sana kuiamusha kutoka usingizini, maana sio siri kwamba jamii yetu Tanzania imekua kwenye usingizi wa ajabu sana, sasa tusiwaongezee usingizi mzito zaidi na hukumu zisizojali facts.

- Sio rahisi kujua uwezo wa kikazi au uongozi kwa Januari, kwa position aliyonayo sasa hivi, kuongea tu maneno mazuri au hoja is not enough, labda bosi wake ndiye anayeweza kutoa hukumu, ingawa na sisi wananchi tunaweza kuichambua kazi ya uongozi wa bosi wake kwa taifa letu atakapomaliza rasmi kazi yake kwa taifa na kuweza ksuema kama Januari aanao uwezo wa uongozi au hana, maana wanasema show me your friends tu inatosha kujua wewe ni nani, otherwise kwa sasa kuanza kumhukumu kwamba hafai au anafaa kua kiongozi, kwa maoni yangu ninasema hakuna enough facts za kuzitumia kumhukumu.

Ahsante Sana Wakuu.

William.
 
William:

Unasema alisoma Boston wakati kuna Pdf hapa inaonyesha kuwa alisoma MN na George Mason. Au jamaa ana evil twin.
 
William acha ujuaji wa usivyovijua!

Boston imekujaje? Jamaa amesoma (CSB St. John's) Minnesota na George Mason (Virginia). Soma hapa. Kwa nini unapenda kujikaribisha kwa kila asiyekujua, huoni unajiabisha?

Halafu usiseme Foreign wanafuata merits kwenye ajira. UN office ya hapo New York, kwa mfano, wamejaa Malecela's na relations wa Mongella. Na unajua, ukibisha ni kwa sababu inakugusa.
 
- Nimesema Januari amesoma Boston US,

- Kujibu swali ninasema binafsi nimesoma Chekechea, Primary, Sekondari zote mbili, Kidatu Elec. Institute, JKT, Maritime Institute - Bongo,

- Maritime engeneering Antwerpen Belgium, na College New york US.

Ahsante Sana.

William.
 
Back
Top Bottom