Januari makamba acha purukushani za Urais, huziwezi Baba!

Status
Not open for further replies.
Slaa hafai hajasoma...

Elimu yake ni kuungaunga...

PhD church management (anafaa sawa awe rais wa TEC)

Kuna watu wakisikia tu DR.Slaa katajwa ufahamu unawatoroka ghafla, lakini ndiyo hivyo hakuna kitakachomzuia DR. Slaa asiwe rais wa TZ 2015
 
Haa ha ha haaaaa, Nyani Ngabu msaidie huyu ndugu yetu. Kwa kweli TROPICAL huwezi amini, kila ninapoona jina lako mahala kwamba umetuma posti huwa naweza kuelezea kwamba maudhui yako kuwa ama ni udini au kuiponda CDM pamoja na Dr Slaa.

Karibu jamvini mkuu.

Slaa hafai hajasoma...

Elimu yake ni kuungaunga...

PhD church management (anafaa sawa awe rais wa TEC)
 
Kuna watu wamejipofusha na hawataki tena kutibu upofu wao. Ni jambo la hatari kuona watu walio katika system/mfumo wa nchi wanang'ang'ania kuishi katika historia badala ya kuishi katika uhalisia
Wanajiandaa kwa mambo mengi yajayo lakini hawaangalii nyakati wala mazingira, uwezo walio na wala wa wapinzano wao, wanategemea historia, as if wanajiandaa kupasua mawe.
Nimeipenda hii naunga mkono mkuu na sina cha kucomment maana umemaliza kabsa
 
Mbona Mwammy alimwambia shemegi kuwa awekeze kwa shem wake kwania hapo baadaye atakuwa waziri wa Nsihati na Madini nilisoma humuhumu hiyo email ya Mwammy,sasa TZ imekuwa nchi ya kisultani /kifalme ni watoto wa wateule kurithi nyadhifa za baba zao hata wakiwa hawana uwezo ni kubebwa kwa kwenda mbele
 
pilika za uraisi ni zipi?
ili tujue ndo tuchangie

Only in JF hapa Mbunge akiisimamia Serikali yake ili itimize wajibu wake inavyopasa basi anaonekana kwamba aidha anataka Uwaziri au yupo kwenye purukushani za Urais! Ni wazi kwamba huyu jamaa anawanyima usingizi vigogo fulani ambao wanamuona uchapakazi wake na umakini wake unampa "mileage" mbele ya umma na unatishia mipango yao ya kufika Magogoni. Kwahiyo wanamzushia email za uwongo kumpaka matope. Hawa eti ndio "wapambanaji wa ufisadi".
 
Pirika pirika za January Makamba zimejikiti zaidi katika harakati zinazofanana na zile za kikwete alipokuwa anawinda urais. Hali hii inachagizwa na Watendaji wengi wa ccm hasa makatibu wa wilaya kupatikana kwa influence ya baba yake. Baada ya Baba yake kuenguliwa kwa aibu. amenyamaza kimya [huenda kuto-draw attention kwa jamii] ili mtoto aendelee kujiimarisha. Je haya ni maandalizi ya kugombea ile ofisi ya magogoni?
wewe huna akili hata kidogo,, unaleta mada hapa halafu unatuuliza siye? acheni wivu wa kike ninyi mapimbi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom