Janja ya NYani - TANZANITE ONE

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Ndio Tanzanite One ilitakiwa ifungashe Virago ifikapo March 2012. Hii ni kutokana na sheria ya mabadiliko ya madini iliyotokana na Tume ya Jaji Mark Bomani na Zitto.

Sasa Tanzanite oNe wanauza hisa asilimia 20% kwa watanzania. Bila shaka watakaoweza kununua ni matajiri kama mawaziri, wabunge, wakurugenzi, makamishna na vigogo wengine.

Watanzania waliokuwa wanategemea kwamba Kitalu C kingegawanya kwa Watanzania wameumia. Kitalu C ndo chenye madini mengi na kinamilikiwa na Tanzanite one.

hapa kuna mchongo wa kifisadi umefanya, watu tayari wamepiga 10% zao wako kimya.

Makaburu waendelee kuinyonya Tanzania.

Mh Mnyika na Zitto Mmeona Hii, au mmezidiwaaaa???

Au Mh. January Makamba unaweza kusaidia??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom