Janja mpya itakayotumiwa na wauza mafuta

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,605
154,916
wauza mafuta wamepanga yafuatayo:-
1. Stock yao ya kituoni ikiisha, hatanunua tena mafuta kutoka depot.
2. Depot wakimaliza stock hawata IMPORT hadi serikali ikubali kupandisha bei ya mafuta kwani wao wanadai running cost zimekuwa juu kutokana na wao kutumia umeme wa jenereta kipindi hiki cha mgao.
MY TAKE:
kwa namna yoyote hakikisha una mafuta mengi sana, kwani hawa wahindi na waarabu nia yao ni kutuangamiza.

• Thanks
Reactions: Aza
Nimeona Maafisa wa EWURA wakirandaranda kwenye vituo vya mafuta! You wonder hawa EWURA wanaweza kuchukua hatua gani kama vituo vitabaki vimefungwa? Interest ya Chama tawala kwenye biashara ya mafuta ni kubwa sana!

No beating around the bush,serikali na idara zake zipunguze tozo zao kwenye mafuta.

nimeona maafisa wa ewura wakirandaranda kwenye vituo vya mafuta! You wonder hawa ewura wanaweza kuchukua hatua gani kama vituo vitabaki vimefungwa? Interest ya chama tawala kwenye biashara ya mafuta ni kubwa sana!

ndugu na nikueleze tu hao wamenapitia kwenye vituo kuchukua fedha zao wakurugenzi wote wa ewura wako kwenye payroll za wenye mafuta unahisi kuna atakaepiga kelele nakuhakikishia yule mbwa alietoa masaa 24 kwa serikali alafu walivyo wapumbavu wakamomba wakae nae chini angesema hivyo rwanda kagame angemweka ndani miezi 3 na baada ya hapo anachukuliwa amefungwa na sura mpaka kwenye ndege anaingizwa na anakuwa na wasaidizi wanaompeleka akihakikisha ametoka anga ya rwanda ndipo wanamfungua sura...sisi serikali ya kiumbwa mawaziri wamejaa ujinga yaani tumejaza wapaumbavu pumbavu tu kuanzia magogoni mpaka sokoni

Lets wait and see! Kuna tatizo kubwa ingawa kama kawaida tumeshapata jibu rahisi kwamba tutafuta leseni za mafuta

nchi yetu bwana aghhh matatizo magumu masuluhisho mepesi

Serikali imelikoroga, meli zenye shehena ya mafuta zimeondoka bandarini na shehena ya mafuta na kuelekea nchi nyingine. Kuanzia leo kama ulipanga kusafiri, bora uhairishe safari yako, wakazi wa jiji jitayarisheni kwa gwaride mitaani mkienda makazini. Hali ni mbaya sana.

Kama hali imefikia hatua hii basi tutangaziwe kuwa mafuta ni janga la kitaifa.

Serikali imelikoroga, meli zenye shehena ya mafuta zimeondoka bandarini na shehena ya mafuta na kuelekea nchi nyingine. Kuanzia leo kama ulipanga kusafiri, bora uhairishe safari yako, wakazi wa jiji jitayarisheni kwa gwaride mitaani mkienda makazini. Hali ni mbaya sana.

Hawa reptilia wenye magamba ni wapi wanakoipeleka nchi?
Kikwete umeshindwa kuongoza nchi its your time now to quit. Kama hutaki kumuachia nchi Dr. Slaa basi mpe hata Mtikila au Mrema kabisaaa

wauza mafuta wamepanga yafuatayo:-
1. Stock yao ya kituoni ikiisha, hatanunua tena mafuta kutoka depot.
2. Depot wakimaliza stock hawata IMPORT hadi serikali ikubali kupandisha bei ya mafuta kwani wao wanadai running cost zimekuwa juu kutokana na wao kutumia umeme wa jenereta kipindi hiki cha mgao.
MY TAKE:
kwa namna yoyote hakikisha una mafuta mengi sana, kwani hawa wahindi na waarabu nia yao ni kutuangamiza.

Tumeyataka sie wenyewe hawo Wahindi au Waarabu si makosa yao ni mimi na wewe ndio wenye makosa kwa nini usijiulize TPDC na TIPPER ziko wapi?

Hawo waliopewa kazi za kuendeleza mashirika ya umma hayo wamefanya nini? zaidi ya kuyauwa?
....tusiwe na nidhamu tu ya kulaumu watu na kutafuta wanyonge wakati makosa ni yetu kuweka serikali LEGELEGE madarakani.

• Thanks
Reactions: BAK
What would you expect from an irresponsible government which is characterized by fraud, deceit and excessive bureaucracy? Kikwete has to re-energise his team or else face the prospect of coup. Surprisingly, he remain impassively indolent as nothing serious going on.

Serikali imelikoroga, meli zenye shehena ya mafuta zimeondoka bandarini na shehena ya mafuta na kuelekea nchi nyingine. Kuanzia leo kama ulipanga kusafiri, bora uhairishe safari yako, wakazi wa jiji jitayarisheni kwa gwaride mitaani mkienda makazini. Hali ni mbaya sana.

you are trying to win attention by delusion. The government has a buffer stock enough for three months to come. Stop daunting people with your prejudices and cynicism

wauza mafuta wamepanga yafuatayo:-
1. Stock yao ya kituoni ikiisha, hatanunua tena mafuta kutoka depot.
2. Depot wakimaliza stock hawata IMPORT hadi serikali ikubali kupandisha bei ya mafuta kwani wao wanadai running cost zimekuwa juu kutokana na wao kutumia umeme wa jenereta kipindi hiki cha mgao.
MY TAKE:
kwa namna yoyote hakikisha una mafuta mengi sana, kwani hawa wahindi na waarabu nia yao ni kutuangamiza.

Kwanini ungoje wahindi na waarabu waagize, kwa nini usiagize wewe mwenyewe? Unanshangaza!

Serikali imelikoroga, meli zenye shehena ya mafuta zimeondoka bandarini na shehena ya mafuta na kuelekea nchi nyingine. Kuanzia leo kama ulipanga kusafiri, bora uhairishe safari yako, wakazi wa jiji jitayarisheni kwa gwaride mitaani mkienda makazini. Hali ni mbaya sana.
Kama ni kweli mbona itakuwa balaa.....

Serikali imelikoroga, meli zenye shehena ya mafuta zimeondoka bandarini na shehena ya mafuta na kuelekea nchi nyingine. Kuanzia leo kama ulipanga kusafiri, bora uhairishe safari yako, wakazi wa jiji jitayarisheni kwa gwaride mitaani mkienda makazini. Hali ni mbaya sana.

Kama hali imefikia hivi basi inatisha sana maana kila kitu nchini kitasimama mpaka Serikali isalimu amri kwa wauza mafuta.

you are trying to win attention by delusion. The government has a buffer stock enough for three months to come. Stop daunting people with your prejudices and cynicism

Hili Mwita nalo ni gamba manake linapingana na ukweli.Depot wamegoma kuuza mafuta na wenye vituo wanasema stock waliyonayo ikiisha ndo kwishnehi

Tunayataka wenyewe tunalalamika sana kwenye keybords zetu na hakuna cha maana tunchofanya utadhani tumelishwa limbwata ya kisiasa!! Kwanza natamani waendelee na mgomo kabisa na umeme uishe kabisa na wasafirishaji wote nao wagome na vyakula vipande bei ndipo tutapata akili ya kujua maana ya kudai haki

Back
Top Bottom