Jangwani kesho hapatoshi

Ukabila umekufanya uwe mwehu.......!

Dhambi unayo tenda ni mbaya sana.....!!

Kesho utaona......wazaramo wakwere watajaa Jangwani!

Sasa nani mwenye ukabila mie au CDM ambayo inataka kujitenga upande wa kaskazini wawe na Rais wao ? Na dhambi yakuwatenga wasukuma mnaisemeaje hiyo?:bange:
 
Wewee! nani kakwambia hivo? bado tupo ! tumejaa tele kwa taarifa yako! pale Kariakoo bado tunamiliki maghorofa kibao! na tumejaa ukanda wote wa Pwani! labda nyie mmejaza kuanzia Ubungo kwenda mbele huko ulipopataja ambapo kulikuwa porini simba wanalia! Dar ina wenyewe ! sisi tunakunywa kikombe cha kahawa nyie nendeni mkavuje jasho huko Jangwani! mwisho wa siku CCm inachukuwa nchi Tanzania!

Mkuu hawa jamaa hawajui Dar ina wenyewe, ndio tatizo la watu wamekuja toka vijijini huko , amesomea udsm na kupata ajira , na kupanga sinza basi na yeye anasema eti ni mkazi wa dar, kumbe wengi ni wakuja.
 
Watu wa Arusha a.k.a Beghazi wameonyesha kwa vitendo njia ya M4C na tumejaribu kurudia mara nyingi sasa tunafanya mtihani wa kwanza Dar tuone kama hawa wanafunzi wetu wameelewa Somo. Je watafeli au watatoka with flying colours. Dar tuonyesheni mpo pamoja nasi plse ili Arusha tukiimba nyie mtupokee kwenye kibwagizo

Dar sio Arusha, kama huijui dar soma historia yake. Dar wengi wenu ni wakuja sio wakazi
 
Mkuu hawa jamaa hawajui Dar ina wenyewe, ndio tatizo la watu wamekuja toka vijijini huko , amesomea udsm na kupata ajira , na kupanga sinza basi na yeye anasema eti ni mkazi wa dar, kumbe wengi ni wakuja.

Halafu wanadai eti wametusukuma, waloondoka darisalama nadhani ndio hao wageni ! walikuja pia, sasa hapawafai wameuza nyumba zao wamehama ! uliza kina Abdulwahid Sykes, kina Commoriam, Tambaza aaaah! sikutajii wengine bado tupo mkuu ! tunawaangalia tu !
 
hao wanafunzi wameshamaliza homework zao lakini...wana exams karibuni wakae chuo wasome waache siasa

ebwana homework haifanywi siku nzima ni masaa tu na chuo homework si kivile sana sana ni presentations na tests,na maandalizi ya mtihani sio siku moja tu wala masaa machache
 
Watu wa Arusha a.k.a Beghazi wameonyesha kwa vitendo njia ya M4C na tumejaribu kurudia mara nyingi sasa tunafanya mtihani wa kwanza Dar tuone kama hawa wanafunzi wetu wameelewa Somo. Je watafeli au watatoka with flying colours. Dar tuonyesheni mpo pamoja nasi plse ili Arusha tukiimba nyie mtupokee kwenye kibwagizo

Hao ni wanafunzi walokuja kwa mabasi kwahiyo hawana hadhi ya kuitwa watu wa darisalama, ...
 
Jamaani kumbukeni pia timu ye2 ya soka ya taifa inacheza kesho na malawi ktk mechi ya kirafiki ya kimataifa wengine tuwe kule tukiwapa sùppúrt mastaaz wa2

haina faida hata kidogo ktk ukombozi wa tz yetu!
 
Kama baadhi ya tv zetu zitaonyesha hu¨² mtiti, naandaa petroli ya kutosha kuanzia leo! Jenereta iko standby, magamba lazima wafanye hujuma kwa kukata umeme!
 
Jamaani kumbukeni pia timu ye2 ya soka ya taifa inacheza kesho na malawi ktk mechi ya kirafiki ya kimataifa wengine tuwe kule tukiwapa sùppúrt mastaaz wa2

wabaki wenyewe na ujinga wao nani antaka presha zao hao kina kaseja hawachelewi pigwa 12
 
mbon hueleweki wewe!!!!!! mara dar sio arusha, mara arusha haina mwenyewe!!! kwa taarifa yako cdm ni kila kona......
 
Asante MANI naona itakuwa na impac kubwa sana kwao ambao tutakuwa hatupo apo!
 
Wasomi wa Tanzania wanachekesha sana badala kujikita kwenye masomo yao wanajikita kuandika mabango ya CDM.
 
Yaani kesho ni siku ya ukombozi kwa wana D'Salaam wote kukataa magamba na kuunga mkono ukombozi.

CCM imetunyonya sana, imetudhalilisha sana watanzania nje ya nchi kwa kutufanya tushindwe kujitegemea tangu uhuru licha ya kuhurubiri siasa ya ujamaa na kujitegemea.

Napatwa uchungu sana naposikia CCM ina wafuasi.
 
Back
Top Bottom