Jangwani imejaa tena maji jamani uwiiiiiiiii apawomi??

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,903
10,534
Wananchi wenzetu waliokumbwa na mafuriko ya hivi majuzi mjini DSM wameamua kurejea huko mabondeni na kukaidi amri ya serikali kuwakataza kuendelea kuishi huko.Wengi wao hasa wapangaji wanadai kwenda kumalizia kodi zao za pango. Na wenye nyumba wanaendelea kuzikarabati.

Chanzo:Magazeti ya leo.

===============

Kama kawaida utabiri wa mvua uliotolewa na TMA sasa umetimia mvua imeshaanza na ni nyingi.
Tumwombe Mungu japo yeye ndiye mtoa mvua, inyeshe lakini isilete madhara kwa wenzetu, tuvuke salama mwaka bila kuwapoteza wenzetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....AMEN!!

-------------------------------------
Wapendwa napita jangwani hapa naona maji yameanza tena na mvua inaendeelea kama kawa na habari zaidi zinasema
kuna walioamua kurudi jana jioni serikali mmjiandaje kuwaokoa wah wetu hawa ama mpaka tv ituonyeshe wako kwenye maji??
 
Baadhi ya wakazi walio kumbwa na mafuriko hivi karibuni wameonekana tena wakilejea ktk makazi yao ya awali licha ya vyombo vya usalama na uongozi wa mkoa kuwazuia wasilejee tena ktk makazi yao ya mabondeni

Baada ya kubanwa zaidikwanini wanalazimika kurudi tena mabondeni wengi wao walidai kuwa ni kutaka kuweka ulinzi wa vifaa vilivyobaki baada ya mafuriko

lakini baadhi yao walitoboa siri na kusema kuwa wanalazimika kurudi tena ktk makazi hayo ya mabondeni ili kuweza kumalizia kodi zao zilizobaki,ingawaje baadhi ya nyumba zilionekana kuharibika kabisa lakini moja ya mpangaji alidai kuwa bado ana miezi 3 ya kuishi hapo na hana uwezo kwa sasa kwenda kulipa kodi sehemu nyingine ambako ni gharama zaidi ukilinganisha na gharama anazolipa hapo ktk makazi yake ya bondeni

kazi ipoo jamani,uhai na kumalizia kodi kipi bora?
 
Tuwaombeeni kwa kuwa maisha kwa ujumla ni magumu sana!

ni kweli maisha ni magumu,nadhani wangekaa pale walipotengewa hadi hapo hali itakapo tulia,kama wangefukuzwa ktk makambi yaliyotengwa hapo lingekuwa ni swala jingine,lakini hawa baadhi wanaona ni vyema kurudi pasipo hata kuogopa ushauri na utabiri unaotolewa
 
what alternative do these guys have? To be "housed" in schools where there is no help forthcoming from anybody except occasional visits by Politicians accompanied by photographers?

It is said plots have been earmarked in some bushy areas of DSM where there are no roads, water or electricity where it is planned to dump them in sum old tents brought back by our soldiers from Dafour. Even this move is still in mchakato stage and is yet to be finalised.

For three days, victims were left to save themselves, no police, soldier or red cross were on the scene. Now soldiers are busy collecting the dead after the event.

The govt is blaming residents of marshy areas. What about the faulty roads, bridges and drainage system? We need more serious govt to handle crises in this country.

Meanwhile, let us wait for the farther death of those who have gone back to there "houses" as the govt has now disowned them

macinkus
 
Kama kawaida utabiri wa mvua uliotolewa na TMA sasa umetimia mvua imeshaanza na ni nyingi.
Tumwombe Mungu japo yeye ndiye mtoa mvua, inyeshe lakini isilete madhara kwa wenzetu, tuvuke salama mwaka bila kuwapoteza wenzetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....AMEN!!
 
wapendwa napita kajangwa hapa naona maji yameanza tena na mvua inaendeelea kama kawa na habari zaidi zinasema
kuna walioamua kurudi jana jioni serikali mmjiandaje kuwaokoa wah wetu hawa ama mpaka tv ituonyeshe wako kwenye maji??
 
Picha Tafadhari hii News hata mie Niliisikia na Mida ya Mchana Kilinyesha kijimvua
 
Kama kawaida utabiri wa mvua uliotolewa na TMA sasa umetimia mvua imeshaanza na ni nyingi.
Tumwombe Mungu japo yeye ndiye mtoa mvua, inyeshe lakini isilete madhara kwa wenzetu, tuvuke salama mwaka bila kuwapoteza wenzetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....AMEN!!
Na wamesema kuanzia Feb mpaka Mei itakuwa ya kutisha zaidi.
 
Mzee wa Upako kwa macho makavu kabisa alirusha mahubiri kupitia Ch.10 akadai anao uweo wa kusimamisha mvua na akadai amisimamisha mpk atakapoamua tena,kumbe alidhani Mungu ni Juma Nature?
 
Unaitwa Utabiri wa Hali ya Hewa! so kutabiri kinaweza kutokea au kisitokee.....
 
Mzee wa Upako kwa macho makavu kabisa alirusha mahubiri kupitia Ch.10 akadai anao uweo wa kusimamisha mvua na akadai amisimamisha mpk atakapoamua tena,kumbe alidhani Mungu ni Juma Nature?

Ngoja tuone kama ya Kakobe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom