Jangwani area leased to developer for 99 years

I agree mkuu!
Hebu tufanye mkakati tunyakue ile bustani iliypo mbele ya karemjee hall/nyuma ya former southern sun!, pale si panafaa sana kupageuza pombe place! Nyama choma ya twiga, siku hizi si tunakamata twiga tunavyotaka?

hapa ni break point - biya, soccer na makikao ya harusi.
you are right mkuu

lakini kwenye zama za kila kingunge kulamba open space, what do u expect??

BTW, bia wapi aisee.. nimepigwa nne bila na spurs nahitaji bia

I support that development, the current occupants si hao kila kukicha wanahamishwa na mafuriko, its good if the land is used for some good use and pay taxes to govt

Doesn't matter inaenda dini gani, what matters ni kuwa developers wana pesa na plan jadidi.

Mkuu nakubaliana na wewe lakini kumbuka tunakubali open space ichukuliwe angalao na watu serious coz serikali imeshindwa kudhibiti haya maeneo, au kujigawia wenyewe.

I support that development, the current occupants si hao kila kukicha wanahamishwa na mafuriko, its good if the land is used for some good use and pay taxes to govt

Doesn't matter inaenda dini gani, what matters ni kuwa developers wana pesa na plan jadidi.

Napenda Shia Isthnaasher Jamaat projects .... zinafaida sana kwa wa tanzania... mfano mzuri angalia Al-muntazir schools ... kuanzia nursery mpaka high school ... hazichagui kabila wala Dini even though ni wao wapo kwa ajili ya waislam wa dhehebu la shia ithna asher... aim sure project watakayofanya hapo itakuwa ni nzuri... na faida kwa wa tnz kwa ujumla AL-muntazir kila mwaka inachukuwa idadi flani ya yatima kuwasomesha katika shule zao... faida ipo kubwa tu

Al Muntazir Schools

Serikali haiwezi ikawaondoa hao watu bila kuwapa altenative btw hayo maeneo yalipigwa marufuku watu kuishi...

Wala hatuna tabu na hawa jamaa, ila swala ni lini tutakua na open spaces za kutosha mjini? Na kwa mahesabu ya ghafla ziko ngapi mjini? Wakuu humu wengi wao wametembea duniani, city centre sio lazima kila kipande cha ardhi kijengwe?!
Utapiga debe kwamba hawa watu wamefanya mazuri haya na yale, hatukatai, ila ni lazima waendelee kufanya hayo mazuri, bila kujaribu na ku take advantage na sifa zao!

Mama Tiba uko wapi?

Juzi hapa umetangaza kuwa Bonde la Msimbazi/jangwani unataka liwe bustani za watu kupumzikia, vipi tena? Kwa Tz kila kitu kinawezekana.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom