Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

Ili mwanamke aweze kufika kileleni lazima awe ameandaliwa kisaikolojia kabla ya kufanya hilo tendo. Mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumuandaa mwanamke huyo, anawajibu wa kumhakikishia kuwa anachokitegemea ndani ya hayo mahusiano ni kweli na bayana ili asiwe na hofu kuwa unamdanganya au unamtumia then baada ya hapo wewe unashika ustarabu wako. Kumbuka kujamiiayana ni kitu chenye thamani kubwa kwa mwanamke,ni sawa na kutoa utu wake kwako, kwahiyo kama bado hajiami na hayo uliyo muahidi mawazo yake hayatokuwa kwenye hilo tendo bali atakuwa anawaza madhara endapo hutotimiza uliyo muahidi. Kwahiyo wanawake kutofika kileleni wanaume tunaweza kuwa tunachangia kwa kiasi kikubwa kwasababu wengi wetu tunawadanganya mambo ambayo ndani ya mioyo yetu hayapo kabisa.
Hii dhambi ya kuwatupia wanaume kila mzigo itaisha lini? Kwani bila mwanaume mwanamke hawezi kuwa na hamu ya kijamiiana? ini hasa kinachomfanya mwanamke asiwe na hamu ya ngono? Mbona huwa inafika wakati mwanamke akaonyesha dalili za wazi za kumtaka mwanaume kingono? Wasijilegeze kiivyo kiasi cha kusubiri kuchajiwa. Eti nyie wanawake mmekuwa mabetri hadi mchajiwe? Hisia za mwanamke anazo yeye mwenyewe.
 
Na ukitaka apate Mutiple Orgasm;

Do this:

What to do

In summary, here's what to do if you want to bring your partner to orgasm regularly:
  1. don't be in a rush.
  2. don't be too demanding – it's not an Olympic event.
  3. talk to your partner, and ask her what she wants you to do to her.
  4. always create a romantic atmosphere.
  5. make sure that everything is comfortable and nice for her.
  6. give her lots of kisses and cuddles before you even think about making any approach to her sexual area.
  7. when you do start to stroke, rub or kiss her genitals, don't rush into 'attacking' her clitoris. Take things gently, and see what she wants.
  8. use her own natural lubrication to moisten her clitoris. (If she is over 40, it may be a good idea to use some additional lubrication from a chemist or a sex shop).
  9. remember that stimulation of the clitoris is the key to female orgasm.
  10. sometimes encourage her to 'run' your sex sessions. You can learn a lot by watching how she stimulates herself or by really listening to her when she suggests a sex position, or a particular caress.

Hizi zote theory ila ukiingia mchezoni ndo utajua kama ni always applicable.

Hizi ni general advice lakini nataka niseme tu kwamba experience za sex za wanawake hazifanani. Jinsi ambavyo kuna wanawake wengi na tabi mbalimbali ndivyo ilivyo na sexual satisfaction zao. Technique fulani utakayo apply kwa mwanamke fulani akafika orgasm siyo mara zote ita apply kwa mwanamke mwingine. Hamna ushauri wowote wa kumsaidia mwanamke kufika orgasm inayoweza ku cut across na ikawa applicable kwa wanawake wote.

Hizi ni basic guidelines tu wana JF ila cha muhimu ni kumsoma na kumjua mwenzio zaidi na baada ya kumjua vema huku mkishirikiana very close, then hapo unaweza uka mmaster. Kila mwanamke ana somo lake la kupitia kama unataka umfikishe orgasm na hii inatokana na maumbile ya via za uzazi na viwango vya homoni.

Kuna mwanamke mpaka afike orgasm kitanda kitavunjika na kutokana na kutumia mda mwingi na nguvu pindi mwanaume ukimaliza mchezo unakuwa hoi bin taabani.

Some time kumfikisha mwanamke orgasm ni sawa na vita na hapa ndo maana wanaume wengi wanajifikisha wenyewe wanaachana huko otherwise kama hujapiga msosi sawasawa unaweza kukata network.
 
Vumbi umeongea ukweli.
Ukiachana na wadada wanaojamiiana kwa sababu ya pesa, wanawake wengi hili tendo ni muhimu sana kwetu. na kama hujamzoea huyo mwanaume, naweza kusema hili tendo ni la aibu. sasa kama unafanya kitu ukiwa una aibu, sidhani kama unaweza ukawa free kiasi cha kufurahia kitu unachokifanya. kutokufika kileleni kwa mahusiano machanga, kwa mtazamo wangu, naona ni kawaida tu

inategemea na mwanaume anakujengea mazingira gani
 
Natamani nichangie mada hapa na kuwapa majibu ya kutosha lakini siwez labda mjadala uhamie kwa wakubwa kwani mara ya mwisho nlipoongea mambo mazito nkawa burned 4 a wk damn.
 
I know the reasons,its all about GOD,unajua kuna misingi fulani ukikulia,haikutoki na ukienda kinyume unakosa raha sana,mi waga nashindwa hata kuomba,na ile kutubu then kurudia ndo kabisaaa inaninyima amani na Mungu wangu......naona kama nampa nafasi ya Mungu mwanaume ambaye siujui moyo wake na kesho aweza asiwepo nami tena.....its pschological with me.....it has never bn easy kwakweli......

Kadi ya harusi nitakupitishia,niombee kwanza awepo huyo mume mtarajiwa,manake bf si mume......L.O.L

Together as Team We can!

Well Written.

Respect sana.

See u soon Private Intelligent Club.

A.
 
Hii dhambi ya kuwatupia wanaume kila mzigo itaisha lini? Kwani bila mwanaume mwanamke hawezi kuwa na hamu ya kijamiiana? ini hasa kinachomfanya mwanamke asiwe na hamu ya ngono? Mbona huwa inafika wakati mwanamke akaonyesha dalili za wazi za kumtaka mwanaume kingono? Wasijilegeze kiivyo kiasi cha kusubiri kuchajiwa. Eti nyie wanawake mmekuwa mabetri hadi mchajiwe? Hisia za mwanamke anazo yeye mwenyewe.

Duh! Mkuu, punguza ukali. ukweli ni Ukweli tu. ingawa kwa kiasi fulani wana wajibu, mume ndo kichwa.

Kwani Mkuu alikutongoza?

You see . . .

Respect.
 
Hizi zote theory ila ukiingia mchezoni ndo utajua kama ni always applicable.

Hizi ni general advice lakini nataka niseme tu kwamba experience za sex za wanawake hazifanani. Jinsi ambavyo kuna wanawake wengi na tabi mbalimbali ndivyo ilivyo na sexual satisfaction zao. Technique fulani utakayo apply kwa mwanamke fulani akafika orgasm siyo mara zote ita apply kwa mwanamke mwingine. Hamna ushauri wowote wa kumsaidia mwanamke kufika orgasm inayoweza ku cut across na ikawa applicable kwa wanawake wote.

Hizi ni basic guidelines tu wana JF ila cha muhimu ni kumsoma na kumjua mwenzio zaidi na baada ya kumjua vema huku mkishirikiana very close, then hapo unaweza uka mmaster. Kila mwanamke ana somo lake la kupitia kama unataka umfikishe orgasm na hii inatokana na maumbile ya via za uzazi na viwango vya homoni.

Kuna mwanamke mpaka afike orgasm kitanda kitavunjika na kutokana na kutumia mda mwingi na nguvu pindi mwanaume ukimaliza mchezo unakuwa hoi bin taabani.

Some time kumfikisha mwanamke orgasm ni sawa na vita na hapa ndo maana wanaume wengi wanajifikisha wenyewe wanaachana huko otherwise kama hujapiga msosi sawasawa unaweza kukata network.

Kamanda respect sana.

Kufanya mapenzi haitakiwii kuwa vita. Kuna wanao orgasm kwa masterbation tu. Wengine hata ukiwapigia simu ukawahamasisha wanamaliza geme vizuri.

Believe me Mkuu wangu pamoja na hoja unazosema ni theory (In fact ni facts za reserach kwa wanadamu wengi) bado kuna ukweli kuwa kumwandaa mwenzi kisaikolojia ni muhimu. Sex pekee ina asilimia ndogo sana ya kumfikisha mwanamke kileleni. Mwandae. anza naye asubuhi au day before, kuwa mpole, mpende, kuwa romantic, mpige surprises, gifts nk ona siku ikifika kama si yeye atakayekurarua . . .

jamani wanawake wakiwezeshwa Wanaweza . . . LOL
 
Natamani nichangie mada hapa na kuwapa majibu ya kutosha lakini siwez labda mjadala uhamie kwa wakubwa kwani mara ya mwisho nlipoongea mambo mazito nkawa burned 4 a wk damn.

Tumia tafsida. LOL
 
Hii dhambi ya kuwatupia wanaume kila mzigo itaisha lini? Kwani bila mwanaume mwanamke hawezi kuwa na hamu ya kijamiiana? ini hasa kinachomfanya mwanamke asiwe na hamu ya ngono? Mbona huwa inafika wakati mwanamke akaonyesha dalili za wazi za kumtaka mwanaume kingono? Wasijilegeze kiivyo kiasi cha kusubiri kuchajiwa. Eti nyie wanawake mmekuwa mabetri hadi mchajiwe? Hisia za mwanamke anazo yeye mwenyewe.

Mkuu hapo umeongea.
Fikiria umetoka kazini umechoka na stress za kazi, traffic, ndugu etc, then unarudi home unategemea mamaa akuliwaze eti tena mimi ndio nitumie juhudi za kuanza kulichaji hilo betri lake? That's so selfish!!
Wengine ukiwauliza ok basi wapi ama nini nifanye ili hiyo btetri ichaji upesi utasikia oooh ni kazi yako kuwa mbunifu na sikwambii.!! This is bull crap!! ndio maana tusio na simile tukikasirishwa basi wazee wa express tunaishia strip club kujiliwaza
 
kweli mkuu. Naona pia umekwenda extra mile kufafanua. Halafu huu mtindo wa kusema eti gundua mwenyewe ni wapi pananipa raha...nawapenda sana wanawake hawa. Huwa naanzaga na ukaguzi wa furushi la nyuma. Ila wengi wanaopenda kusema gundua mwenyewe hupenda sana kuzamiwa chumvini ila wanaogopa kusema
 
Nafikiri hujanielewa Allien kufika tunafika ila sio kama unavyosema mara kumi for 30 mnts hii haipo pampja na vithibitishi vyako hivyo tupige kura humu nani kaexperience kitu cha namna hiyo. Unaweza ukawa unacome kila tendo na unaridhika hivyohivyo. na siku ingine ukabahatika mara tatu siku nyingine ukakosa kabisa. pamoja na evidence yako sasa tuje kinadharia zaidi nani humu jf kapata kitu kama hicho???????? wanawake tu naomba wanijibu, nani hajawahi kufake orgasm??????? nijibuni. hao maresercher wenyewe wanaweza wakapigwa changa la macho wakati wanafanya research zao

Sina ubishi na wewe Gaga ni kweli kabisa ktk wanawake 100 ni 2 tu ndio wanao weza kuexperience multiorgasm kwa nini? sababu kubwa ni sisi wanaume, kwanza wengi hatujijui sisi wenyewe, yaani hata zakali zetu hatuzijui vizuri ingawaje tunazo toka kuzaliwa, pili hatujui female anatomy ili ni tatizo kubwa hata kujua ni sehemu gani ni sensitive kwa mwanamke hatujui, kila mwanaume anadhani maziwa na tunda ndio maeneo ya kukimbilia kuyashika ktk game wakati hilo ni kosa la kiufundi, kuna technic za kunyonya breast na cha muhimu chuchu ni kitu cha mwisho kabisa lakini asilimia 90% ya wanaume wanaanza na chuchu. ASEMACHO ALLIEN kinaukweli asilimia 100% maana kuna tofauti kati ya ejaculation na orgasm hata mwanaume anaweza kutofautisha ejaculation na orgasm thats why kuna wanaume wanakuambia nimeunganisha mabao mawili au matatu bila kukatiza tendo, suala hili lahitaji mafunzo na mazoezi. zoezi rahisi kwa wanawake na wanaume ni kuimarisha misuli ya kegel. kingine kuna mazoezi ya jinsi ya kupumua how to breath in and out ktk tendo. kuna mambo mengi sana ya kufanya, jaribu kuonana na wahaya/waganda au watusi wakikupa mbinu ya kachabali/katerero au kunyanza ukaimaster halafu ukajua kucheza na Gspot wakati huo jogoo yupo imara baada ya mazoezi ya kegel na uwezo wako wa kupumua vizuri kwa baada ya mazoezi ya tai chi. Na mwanamke uwe mmezoeana hakuna suala la kuoneana haya yupo free kwako nawe upo free kwake ku come mara 10 for 30mins inawezekana kabisa.
 
kweli mkuu. Naona pia umekwenda extra mile kufafanua. Halafu huu mtindo wa kusema eti gundua mwenyewe ni wapi pananipa raha...nawapenda sana wanawake hawa. Huwa naanzaga na ukaguzi wa furushi la nyuma. Ila wengi wanaopenda kusema gundua mwenyewe hupenda sana kuzamiwa chumvini ila wanaogopa kusema

Inakera sana wakati mwingine esp. demu akiwa selfish!
Kazi na juhudi za kuridhiana inatakiwa ifanywe na pande zote
 
Why me Papa Diana jamani??? anyway,mi napenda kuwa sehemu ya research ili tuelimishane,watu wajue ukweli!!!

Michelle mimi nakuamini...kwani unaonekana ni mkweli na makini sana.......halafu pia imetokea tu nimekukubali
 
kwh hiyo ile milio na manjonjo ni kutuzuga au?tujulisjane hivi mwanamke akikojoa ni kama sisi njemba ua?mbona huwa sioni zaidi ya ilio ya mahaba.?
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

Wadau wa malavidavi mpooooooo?
 
Kamanda respect sana.

Kufanya mapenzi haitakiwii kuwa vita. Kuna wanao orgasm kwa masterbation tu. Wengine hata ukiwapigia simu ukawahamasisha wanamaliza geme vizuri.

Believe me Mkuu wangu pamoja na hoja unazosema ni theory (In fact ni facts za reserach kwa wanadamu wengi) bado kuna ukweli kuwa kumwandaa mwenzi kisaikolojia ni muhimu. Sex pekee ina asilimia ndogo sana ya kumfikisha mwanamke kileleni. Mwandae. anza naye asubuhi au day before, kuwa mpole, mpende, kuwa romantic, mpige surprises, gifts nk ona siku ikifika kama si yeye atakayekurarua . . .

jamani wanawake wakiwezeshwa Wanaweza . . . LOL

ALLIEN usemacho nikweli kabisa, tatizo ni kuwa wanaume wengi ni wavivu wa kujifunza. Yaani wanasahau kuwa dokta inamchukua miaka 18 kuwa dokta, injinia miaka 17. hata udereva wa gari watu wanasoma mwezi mzima. kumbuka kuwa robo tatu ya wanaume hata siku moja hawajawai kufundishwa kufanya ngono, ni stori za vijana wenzao na picha za ngono ndio waalimu wao. mpaka leo kunawatu wanadhani zakali ndefu ndio suluhisho la kumfikisha mwanamke kwa hilo tu wanaume wengi wenye zakali fupi na za wastani wanahofu kuwa hawawezi kuwafikisha wanawake. sasa uwezi kuingia ktk game huku ujiamini halafu ukaweza kumfikisha mwanamke. Pili wanawake nao wanaamini kuwa zakali ndefu na nene ndio zinawafikisha sasa haiwezekani kukutana na mwanamke wa aina hii ukamfikisha pale anapomuona tu jogoo wako na kubaini si mrefu na mnene hamu yote inamuhisha huyo uwezi kumfikisha.
Lakini ni ukweli ulio bayana kuwa sensitive area kwa wanawake ni inch mbili hadi tatu kutoka nje, hivyo hata mwanaume mwenye jogoo wa inch 3 akiwa ni makini na anaiweza vizuri shughuli mwanamke anafika kileleni. Hivyo tatizo la mindsets za watu kuwa ukubwa na urefu wa jogoo ndio suluhisho la kufika kileleni likiondoka namba kubwa ya wanawake watafika kileleni.

Na msingi wa mafanikio ni kumuandaa mwenzi wako, hadi awe tayari.kuna 4 steps unapitia ili kumfanya mwezi awe tayari na kila step ina sign zake na wewe muandaaji unaweza kabisa kuzisoma hizo sign yaani ukipitia steps zote nne bila kukurupuka lazima dada aje tu si chini ya mara tatu kwa game. Lakini ukisha kuwa fundi unampigisha mult orgasm bila shaka

Kuna mambo mengi sana ya kuelimishana kuhusu ili swala lakini cha muhimu ni kuwa mult orgasm ni jambo linalowezekana
 
Back
Top Bottom