Janga la kitaifa: wakati akina kaka wanalalamikia nguvu akina dada 'mheuko' unazidi!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ndugu zangu,
Staili ya maisha ya sasa inatupeleka pabaya wanaume na kutishia ndoa nyingi. Ajabu wakati wanaume wengi wanakabiliwa na upungufu wa nguvu ya kiume, hamu ya wanawake kuwataka wanaume inashika kasi ajabu. Sasa hivi ni jambo la kawaida kuona wanawake wanaingia kwenye migogoro kwa sababu ya kugombea mwanaume. Hata ukisoma magazeti utakumbana na matangazo kibao ya dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hali hii naitafsiri kama janga la kitaifa. Ni kama mazao yapo tayari shambani kwa mavuno lakini wavunaji wameishiwa nguvu.
 
Mkuu tatizo mavuno mengi yanakimbilia kwa wavunaji waloishiwa nguvu sababu ya kula chips badala ya ugali :coffee: !!!!
 
Kwa kweli wanaume tukiendekeza vyakula vya kijingajinga kama chips, tomato na mayai ya kisasa seriously tutaangamiza ndoa zetu. Anachoeleza Dumelambegu inaonekana kama mzaha lakini huo ndiyo ukweli. Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wengi siku hizi wanasingizia malaria, mara oohh mwili umechoka kwa kazi za ofisini, mara bosi wangu amenitibua, n.k. Kumbe yote hiyo ni kukwepa wajibu baada ya 'mzee' kugoma kusimama. Kuna haja ya kuanza kula vyakula vyetu vya asili ili turejeshe heshima zetu.
 
mwanaume wala sijui baga lunch hiyo ili mademu wakuone unazo kumbe unajiua mwenyewe chips kuku/mishkaki km manzi daily hufanyi mazoezi unategemea uta perfom kweli
 
ndiyo maana wanaokula kwa mama ntilie ndiyo wachapaji wazuri wa wake za watu. Wanaokula movernpick na mahoteli makubwamakubwa ya kitalii si lolote si chochote! Kazi kuchomekea tu!
 
thank God bado niko gado kinoma ... na sasa ndo kwanza viepe navikimbia kabisaaa (jitahidini kutumia bitter leaf changanya na mchicha)
pia waambieni wake zenu wawatengenezee dozi ya juice ya machungwa piga glass mbili kila siku mbona atapata raha tu kitu mwake mwake full, na akikubania kwa siku mbili baada ya dozi ujue utachafua shuka tu ...
pia kuna mti mmoja unaitwa mlinga huu mti una dawa nyingi sana na inatumika kama mboga ..jitahidini jamani
 
aisee nitalia siku niishiwe nguvu za kiume.tafadhali wenye uelewa wa hili jambo nini sababu ya huu ukosefu sitaki kabisa initokee.na kweli kabisa matangazo mengi nilidhani ni biashara tu wanatangaza hawana wateja lukuki
Ndugu zangu,
Staili ya maisha ya sasa inatupeleka pabaya wanaume na kutishia ndoa nyingi. Ajabu wakati wanaume wengi wanakabiliwa na upungufu wa nguvu ya kiume, hamu ya wanawake kuwataka wanaume inashika kasi ajabu. Sasa hivi ni jambo la kawaida kuona wanawake wanaingia kwenye migogoro kwa sababu ya kugombea mwanaume. Hata ukisoma magazeti utakumbana na matangazo kibao ya dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hali hii naitafsiri kama janga la kitaifa. Ni kama mazao yapo tayari shambani kwa mavuno lakini wavunaji wameishiwa nguvu.
 
Vile vile wakuu wa kaya punguzeni ulabu nao ukizidi unapunguza performance ya kazi!!!!
 
Heri mie niliyeamua kujibakilia na menu yangu ya ugali kila mchana,kinachobadilika ni mboga tu.......................
 
Kwa kweli wanaume tukiendekeza vyakula vya kijingajinga kama chips, tomato na mayai ya kisasa seriously tutaangamiza ndoa zetu. Anachoeleza Dumelambegu inaonekana kama mzaha lakini huo ndiyo ukweli. Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wengi siku hizi wanasingizia malaria, mara oohh mwili umechoka kwa kazi za ofisini, mara bosi wangu amenitibua, n.k. Kumbe yote hiyo ni kukwepa wajibu baada ya 'mzee' kugoma kusimama. Kuna haja ya kuanza kula vyakula vyetu vya asili ili turejeshe heshima zetu.

Au kuhakikisha kila siku unagombana ili ukilala macho yanashuhudia ukuta
 
ndiyo maana wanaokula kwa mama ntilie ndiyo wachapaji wazuri wa wake za watu. Wanaokula movernpick na mahoteli makubwamakubwa ya kitalii si lolote si chochote! Kazi kuchomekea tu!

Mbona mimi ni mfanyakazi wa holiday in na nakula mapochopocho na performance yangu super sana? sema labda mazoezi watu hawafanyi
 
Niliaswa na mzee mmoja niwe nakunywa juice ya ndimu/limao mara 2 kwa siku,vikombe kadhaa vya tangawizi na maziwa ya moto yalochanganywa na asali wakati wa kulala na huwezi pata mapungufu ya nguvu za bed.
 
Namna nzuri ya kuhakikisha unadumu vizuri kwenye tendo la ndoa ni kuhakikisha unastrengthen cardiovascular na respitory system. Hii inawezekana kwa kuzingatia mambo makuu mawili
  1. Mazoezi --- haya yanastrengthen respiratory system yako na kukupa pumzi zaidi na kukuwezesha kuwa na stamina ya ajabu kwenye business. Haya ni pamoja na yale ya viungo kwa jumla na pumzi lakini pia mazoezi yanayohusisha mishipa ya PC yako (PC muscles)
  2. Chakula ---kula sosi la kazi sio la kulegeza. Kwa wale waliooa ni muhimu ukamwambia mama ahakikishe hata kama msosi ni wala sana kwa kuwa watoto wako jamii ya vindege, awe anakuandalia wakati mwingine diet yako special ya kukupa stamina zaidi. Alivyoataja kaka Uporoto1 hapo juu ni muhimu sana na pia ongezea kupiga kikombe cha maji ya moto yanayokaribia kuwa vuguvugu si chini ya nusu lita kila jioni kiasi hata kama uko maeneo ya baridi uone kajasho kembamba kanachuruzika
 
Kwa kweli wanaume tukiendekeza vyakula vya kijingajinga kama chips, tomato na mayai ya kisasa seriously tutaangamiza ndoa zetu. Anachoeleza Dumelambegu inaonekana kama mzaha lakini huo ndiyo ukweli. Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wengi siku hizi wanasingizia malaria, mara oohh mwili umechoka kwa kazi za ofisini, mara bosi wangu amenitibua, n.k. Kumbe yote hiyo ni kukwepa wajibu baada ya 'mzee' kugoma kusimama. Kuna haja ya kuanza kula vyakula vyetu vya asili ili turejeshe heshima zetu.

Mkuu naona hujaelewa kitu inayosababisha hii. Wanaume wa sasa wanachovya huko na kule. Wakirudi home wako hao so wanashindwa kumshughulikia Bi Mkubwa
 
Back
Top Bottom