Janet Jackson Avaa Hijabu, Aolewa na Tajiri wa Kiarabu

muache ajichumie na uzuri wenzetu kule 'pasu kwa pasu' ni kitu cha kawaida

Mh kule hakufai Mkuu.. Yaani ukigombana na mke wako wewe ndio unaondoka home..! Halafu nakumbuka aliekuwa mke wa Tyson bondia.. Alivyom-clean Tyson kwenye divorce..! Hiyo sheria ingekuwa bongo yaani talaka zingekuwa kwa masikini tu.. Matajiri wangeogopa kufilisiwa...
 
Back
Top Bottom