Jane Tu Ze Hat of Jf

Halafu wewe,hivi inakuwaje hako kangedere kako kila kakitoka kivingeni na wewe huyo unadandia treni,huwa unajuaje?

Hahahah. . .Bishanga we siku ukishindwa kumtambua E wa T au ukishindwa kuwepo sehemu alipo si itakua aibu?
 
Nadhani nina indicator zote kuwa mi mgeni huku,
hata hivyo nina kauzoefu ila katika safari yangu nimeona mengi machache ni kuhusu baadhi tu ya members;
PAKA JIMMY -siju ndugu yake pakashume? anyway mi naona limekaa kiwiziwizi(respect mkuu m jst thinking loud)..THE BOSS - huyu jamaa avatar na jina vina
sura ya kazi kiasi kwamba nikiona tu napata picha ya bosi akisema."Is this what I am paying you for? get back to work!!"nafunga jf fasta!
Babu DC - Na hivi gharama za umeme zilivyopanda, Ze citi iz getingi darker. Are you really that fat?
MTAMBUZI - huyu jamaa kwa kusomasoma post zake
naona ni mwanasheria anyway mkuu nomba msaada wako kisheria kwa sababu nataka nimshtaki Rose1980 nna ushahidi kwamba kanikonyeza na c mara moja, kila nikija humu.
Ndyoko-huyu jamaa alikuwa na avatar ambayo nikisoma post zake nascroll niifiche coz napata hisia mi ndo nakunywa hiyo makitu...
Kipipi-nna wasiwasi kuwa ni mwanaharakati (I ddnt say anything!)
Catalisia- Canta what?
Mwali- ushaposwa bibie?
Kongosho - is he a she or is she a he?
Mimi ni PetCash nikimaanisha cash ndogondogo kama nauli za daladala(siyo za mwenge posta buku lakini), vocha za jero, Ice cream za azam, maji ya uhai na azam cola, kwenda
coco/kawe beach kujipumzisha hazinipigi chenga...ila najitahidi kuiga maujanja toka kwa MPAMBANAJI.COM ili niwe na hela ndefu kama za kina maprosoo

NA wengineo bado nasafiri. SAFARI YAKO IKOJE?
Hahahah hahahaha hahahah,
Haya bana ila habari zangu muuliza Papa Rejao mutu ya pesa mingi na mapenzi ya milele kwangu atakwambia lol1

BTW;hujafika safari yako tu lol!
 
Ngoja niwaulize na wengine!!
 
Hahahah hahahaha hahahah,
Haya bana ila habari zangu muuliza Papa Rejao mutu ya pesa mingi na mapenzi ya milele kwangu atakwambia lol1

BTW;hujafika safari yako tu lol!

Safari bado inaendelea, na nikifika huko mbelembele ntamuuliza kuhusu wewe mkewe wa milele kwa adabu coz kama kawaida najaribu kuwa good to people on ma way up
 
PetCash usinitafutie uhasama na watu wenye vyama vyao tasavali, mi sijawahi hata kuwa mwanaharakati!

Haya bibie, mi nlikuwa nakubip tu kujua ndiye au siye. si unajua ukiingia kichwakichwa waweza ukarudishwa mabwepande..
 
Safari bado inaendelea, na nikifika huko mbelembele ntamuuliza kuhusu wewe mkewe wa milele kwa adabu coz kama kawaida najaribu kuwa good to people on ma way up
Hahaha hahahah hahhha,
Umetisha Pet Cash lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom