Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 564
- 273
Nyie ndio mnaoifanya hii nchi iwe hapa ilipo.....gama na mwenzie komba wako kwenye hatari ya kufa any time kwa mujibu wa afya zao.....mimi siko kama wao..and i'll never be like em..never.....siwezi kuwa mlafi mpaka nikafikia huko....najali afya yangu..nakula mlo kamili..sibugii bugii hovyo arifu......suala la kufa mapema sio ishu....kuna mambo mengi ya kidunia lakini siwezi kufa kifo cha kujitakia cha kuwa mlafi kama kitakachowatokea komba na gama......
Obesity ipo sana tz.....style ya maisha ya nyie wasomi mnaiga ya majuu....
--chakula mna shoop shoprite kilichokaa kwebnye friji mwezi mzima....ukishakuwa msomi huwezi kununua chakula sokoni bana....hautaeleweka kwa level yako..lazima uvae buktaa kubwaa ya puma raba ya adidas na tshirt ya sean john unaingia mlimani city ku shop kwa madaa huku umening'iniza funguo za Verossa kwenye ruksi ya kaptula yako......
na ukiwa hapo vitu kama ice cream,pop corn lazima uwe unakula kidogo uku ukishop bana......mwisho unamalizia samaki samaki kupoza koo na bia.....
siku hizi kijana under 30 kibao wanene kupita maelezo....pole sana arifu.....
ndugu yangu waweza kuwa sahihi kabisa ila 'do a right thing at a right time and place'hakuna mtu anayejitakia kufa rafiki,huenda ata uo unene wake ni wakurithi na alikuwa anafanya mazoezi.usijudge kifo cha mtu maana wote hatujui kwa nini alipata iyo heart attack,ungekuwa sio 'yo yo' ungeanzisha uzi wako ukielimisha watu wote khs umuhimu wa kufanya mazoezi,kuliko huu uchekechea unaoandika usio kuwa na mbele wala nyuma,usipende kuwatabiria watu kifo,waweza kufa uwaache,hapa sio sehemu ya kuelezea uzinzi wa komba!! Andika uzi wako uelezee,apa tunapeana pole khs kifo cha dada yetu jane na kumuombea thats all