Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Jane ni binadamu kama ulivyo wewe. Tuna kila haki ya kusikia au kupata taarifa za binadamu mwenzetu. Kaka wewe umekuwa ni mtu wa kupata taarifa za watu maarufu tu, basi huna haja ya kuchangia kama unaona sio mtu anayekupendezesha wewe. RIP JANE.

safi sana! mijitu mingine inamaswali ya ajabu sana.
 
MPONZI.JPG


khaaaa ..kwa unene huu lazima apate shambulio la moyo..Pumzika kwa amani Jane wangu...ntamiss sana mambo ya MPESA personal help mtandao ukizingua..tutakutana paradiso
 
Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Akupumzishe mahali pema Jane. Tulikupenda sana lakini Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi.
 
Kuna watu humu nawasiwasi na roho zao!kama c mapaka ni machui kabisa.
Anyways,
R.I.P My Jane,.we use 2chat on Fb mara nyingi nikiwa online.
 
Altitude inahusikaje hapo mkubwa?.....Halafu hiyo RIP yako ni kejeli tupu!

al·ti·tude
   [al-ti-tood, -tyood] Show IPA
noun 1. the height of anything above a given planetary reference plane, especially above sea level on earth.

2. extent or distance upward; height.

3. Astronomy . the angular distance of a heavenly body above the horizon.

4. Geometry . a. the perpendicular distance from the vertex of a figure to the side opposite the vertex.

b. the line through the vertex of a figure perpendicular to the base.

5. Usually, altitudes. a high place or region: mountain altitudes.

kazi ipo!
 
Miss you a lot Jane,nntakukumbuka Daima kwani ulikuwa wa kwanza kunipokea siku ya kwanza kuanza kazi pale Voda.as my supervisor was happy working with you.RIP jane
 
OmG!Herry alikuwa kaka wa rafiki yangu,nlihudhuria harusi yao pale diamond jubilee na pia mazishi ya herry mwaka 2008!
Gone too soon Jane!rip Jane.
 
Would you please shut up and respect the dead!

Umeanza kutaka kujua yeye ni nani and why the special treatment, then amejitakia kifo do you know her background and the surrounding circumstances that lead to her death?

RIP Jane

Bora umesema ndugu yangu.Mimi nimeshikwa butwaa kumsoma huyo mwenzetu alivyoshindwa kuwa na utu!
Marehemu hayupo tena nasi, ya nini kumshushia maneno yote yale? Istoshe, toka namfahamu huyu mdada ni mnene toka utoto/usichana wake.Sijui huyu nani kamwambia kafa kwa sababu ya chipsi n.k.!
R.I.P Jane.
 
Back
Top Bottom