Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

RIP Jane,marafiki zako tunakulilia! umati uliokuwepo jana nyumbani unaonyesha kwa kiasi gani ulikuwa kipenzi cha watu wengi. Mwili wa marehemu utaagwa kesho kabla ya kusafirishwa kwenda Iringa-Tosamaganga kwa mazishi.

Naamini watu wa karibu watatupa updates za kila hatua na muda wa Ibada ya kuaga itakavyokuwa.
 
duuh, i used to see this lady wakati bado vodacom wako PPF tower, she was so sweet and lovely, talk to anybody that she met in th lift! dah its really sad.
 
ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....

Would you please shut up and respect the dead!

Umeanza kutaka kujua yeye ni nani and why the special treatment, then amejitakia kifo do you know her background and the surrounding circumstances that lead to her death?

RIP Jane
 
apart from kufanya kazi vodacom.....hayati jane alikuwa nani? why so spaecial bna huyu dada..rip jane

jane was one of very unique friends one would ever have, professional as well and kila alipopipta aliacha a pool of friends. she was one of a few ladies who would drive na ile mipikap ya voda through out the country, talk to anyone and with her big body, she wasnt looking lazy at all

I WILL REMEMBER HER FOR AS LONG AS I CAN, SHE WAS ONE PERSON WHO WOULD LISTEN AND ADVICE, SHARE HER STORIES/ISSUES AND READY FOR ADVICE

JANE NI MTU WA WATU

[i did change my signature for her... i hope to keep for at least seven days]
 
Jamani!! why Jane? ah Mwenyezi MUNGU unatuasa tushukuru kwa kila jambo lakini kuna mengine katika hali ya kibinadamu inakuwa ngumu kusema kweli.

RIP Jane, pumzika kwa amani wifi yangu, kamsalimie kaka Henry huko uendeko. Tutakumiss sana
 
KWENYE MISIBA MINGI NENO ...."kama"..... LINAPOTUMIKA IT SADDENS ME A LOT....WHAT SHOULD WE DO WITH DEATH AROUND. TAKE CARE IN EVERYTHING YOU DO.[ kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....[/QUOTE]
 
KWENYE MISIBA MINGI NENO ...."kama"..... LINAPOTUMIKA IT SADDENS ME A LOT....WHAT SHOULD WE DO WITH DEATH AROUND. TAKE CARE IN EVERYTHING YOU DO.[ kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....
[/QUOTE]

Mh! ikiandi
 
RIP the deceased much as this is my first time to hear of you. I'm also curious about knowing what is behind your fame to an extent of prompting the starting of thread concerning your death information.
 
ni wakati sasa wa wabongo kuacha kula vyakula vya barabarani chips,kuku na mafuta mengine....pia kuanza mazoezi sio kushinda bar na kunywa pombe.....imagine dada kama huyu kafa kifo cha kujitakia naweza kusema.......kama angefuata kanuani za mlo ulio bora na kushiriki mazoezi inawezekana kabisa leo hii engekuwa bado yu hai.....heart attack nyingine sisi wanadamu tunazitafuta......

Watz mpunguze altitude yenu ya kuwa mwenye kitambi ndio mwenye afya....ati ukiwa mnene ndio una afya....rip dada jane....
Altitude inahusikaje hapo mkubwa?.....Halafu hiyo RIP yako ni kejeli tupu!

al·ti·tude
   [al-ti-tood, -tyood] Show IPA
noun 1. the height of anything above a given planetary reference plane, especially above sea level on earth.

2. extent or distance upward; height.

3. Astronomy . the angular distance of a heavenly body above the horizon.

4. Geometry . a. the perpendicular distance from the vertex of a figure to the side opposite the vertex.

b. the line through the vertex of a figure perpendicular to the base.

5. Usually, altitudes. a high place or region: mountain altitudes.
 
The last respect and funeral service will take place tommorrow on 6th March 2012 at the Mponzi's residence in Oysterbay starting 12 noon and church services at St. Peters. The burial will take place at Ipamba-Tosamaganga,Iringa on wednesday 7th March 2012.

For any further inquiries on the burial ceremony program. You may contact the Organizing Commitee Chairman, Dr. Ponziano Mponzi 0767600604
 
R.I.P dada Jane . 64301_10150651518727692_691812691_9279406_1006470591_n.jpg
 
Dada yetu Mpendwa Jane Mponzi aliyewahi kufanya kazi VODACOM amefariki dunia ghafla jana asubuhi,Ndugu wa karibu wamesema alipatwa na "Heart attack" Jane aliolewa na Herry Makange (Marehemu) aliyekuwa Channel 10 na alifariki kwa ajali ya Boda boda Tegeta. Msiba upo Oysterbay Barabara ya Msasani Baada ya Jackies Bar unaingia mtaa wa kulia
kabla ya kile kilima maarufu
. MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN!

Natumaini naye aliwahi kuwa MwanaJF kwani alikuwa mtu wa Mtandao.

Kilima hiko kinaitwa Kilima Nyege
 
Back
Top Bottom