Jana uso kwa uso na mwana JF kwenye basi

kama hadithi ya kutunga vile!!!!!!!, yani ana access mtandao kwa laptop ndani ya bas?????. Bado sijashawishika.

Mambo ya mnaita modem za mobile phone internet ni kila maali kwa mitandao iliyoenea sehemu kubwa
 
Mimi nilimfuma jamaa yangu ofisini kwake ni mtu ninayemwaminia sana kwa mambo ya kimaendeleo na kuona mbali nikamjulisha kuwa nami ni member ila siyo wa muda mrefu akaniuliza la namna ya kuanzisha topic yake nikamwelekza tukajiona ni wanafamilia fulani nalipenda hili jukwaa halina rika tuko kama ndg. Vile na huu ndiyo utanzania siyo watu na wanasiasa wanaotuletea mambo ya udini kutaka kutenganisha ustaarabu

TULITUNZE JUKWAA KWA MADA ZENYE MAANA ZIWASADIE WENGINE WAJIUNGE WASIONE NI LA KIHUNI TU.
 
Back
Top Bottom