Jana uso kwa uso na mwana JF kwenye basi

Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access mtandao wa JF ingawa user name yake sikuiona. Kilichonishangaza sana ni kuwa kabla ya kujua kuwa ni mwan JF wote wawili (mimi na yeye) tulijitolea kumsaidia jamaa mmoja aliyekuwa ameibiwa pesa hivyo kukosa nauli. Bahati mbaya sana sikutaka kureveal my true identity mbele yake kutokana na nafasi yangu katika JMT. Pamoja na kuwa tulisalimiana hakuna majadiliano zaidi yaliyofanyika kuhusu JF.

Hayo ndiyo yaliyotokea saa 12.30 jioni wakati naelekea Moro kwa basi la Hood.

Mkuu unajuaje kama alikuwa member, anaweza kuwa alikuwa msomaji tuu, wa jukwaa la michezo Barca Vs Madrid

Jana ilikuwa soo aisee.

BNN
 
That is so interesting . . . . .

I know I couple of JF guys wengine nimbahatika kuonana nao na wengine tunawasiliana kama Watanzania Wazalendo.

Inafurahisha kujua kuwa hapa JF kuna vichwa si mchezo. Wakiamua kufanya makubwa wanaweza. Ukisikia majina mengine huwezi kuamini.

Nice post.
 
Napenda sana the way wana JF wanavyoishi humu ndani ya Nyumba hii! Real i'm proud with u JF Member!
 
Nimejifunza kitu - wanaJF WA UKWELI wana upendo. Asanteni sana kwa kumsaidia huyo aliyeibiwa. Nimeona hata misaada na michango ya hali na mali inayotolewa hapa inaonyesha upendo wa dhati walionao wana JF. Mungu akubarikini.

Hapa tu ndio ninapoipendea JF........ni zaidi ya undugu.
 
Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access mtandao wa JF ingawa user name yake sikuiona. Kilichonishangaza sana ni kuwa kabla ya kujua kuwa ni mwan JF wote wawili (mimi na yeye) tulijitolea kumsaidia jamaa mmoja aliyekuwa ameibiwa pesa hivyo kukosa nauli. Bahati mbaya sana sikutaka kureveal my true identity mbele yake kutokana na nafasi yangu katika JMT. Pamoja na kuwa tulisalimiana hakuna majadiliano zaidi yaliyofanyika kuhusu JF.

Hayo ndiyo yaliyotokea saa 12.30 jioni wakati naelekea Moro kwa basi la Hood.

kama hadithi ya kutunga vile!!!!!!!, yani ana access mtandao kwa laptop ndani ya bas?????. Bado sijashawishika.
 
Dah mi nilikaa na kaka yangu bila kujua kua wote wana JF nilishangaa nilipomuona analogin JF,tena kwa username ambayo huwa 2nachangiana mada humu kila siku mimi na yeye bila kujua,amazing
 
kama hadithi ya kutunga vile!!!!!!!, yani ana access mtandao kwa laptop ndani ya bas?????. Bado sijashawishika.

dah, wewe upo katika karne gani ndugu yangu, kwani ukiwa kwenye bus huwezi pata acces ya internet, these days kuna moderm u can acces internet popote pale penye access ya 3G. Upo hapo
 
Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access mtandao wa JF ingawa user name yake sikuiona. Kilichonishangaza sana ni kuwa kabla ya kujua kuwa ni mwan JF wote wawili (mimi na yeye) tulijitolea kumsaidia jamaa mmoja aliyekuwa ameibiwa pesa hivyo kukosa nauli. Bahati mbaya sana sikutaka kureveal my true identity mbele yake kutokana na nafasi yangu katika JMT. Pamoja na kuwa tulisalimiana hakuna majadiliano zaidi yaliyofanyika kuhusu JF.

Hayo ndiyo yaliyotokea saa 12.30 jioni wakati naelekea Moro kwa basi la Hood.

mmenibariki sana kwa kitendo mlichofanya.
halafu na mie nilikuwepo kwenye hilo basi lkn sikujua kuwa niko na ndugu zangu,yaani ningewatambua ningewakumbatia kwa furaha.basi tena.
 
itabidi tuondoe huu unyanyapaa wa wanaJF na kujifichaficha... ukiona mwenzako jitambulishe tu mkuu
 
ss uliwezaje kuona thanks ambazo ni herufi ndogo ushindwe kuona id ambayo ni herufi kubwa na bold kwa sana ila si kitu next time ucjifiche umwonapa mwana jf mwenzako me nimewai kuonana na 2 tu mpaka ss ninahamu ya kuonana na kufahamiana na wengi humu

Mwezi uliopita nilikua natokea TANGA nikiwa kweny basi la RAHA LEO nilibahatika na mimi but the same thing, :hakuna alijirambulisha, yy alinigundua baada ya kuona nimefungua through my mobilephone, alikula chabo!! aliisifia JF
 
Mwezi uliopita nilikua natokea TANGA nikiwa kweny basi la RAHA LEO nilibahatika na mimi but the same thing, :hakuna alijiTambulisha, yy alinigundua baada ya kuona nimefungua through my mobilephone, alikula chabo!! aliisifia JF ilionekana jamaa alikua muoga sana na wakati tukiendelea na mijadala ya JF mara nyingi alichangia kwa kunitega, yaani kujua kwanza msimamo wangu ndo mada itanoga, ndo ilikua siku ya kuchaguliwa SPEAKER. Ni vyema na inapendeza kukutana na member bt sio MS a.k.a DAR ES SALAAM
 
Back
Top Bottom