Jana nienda saloon kunyoa.....

We unafikiri hao wako kwaajili ya kukuosha kichwa na kukufanyia scrub tu, wako kazini pia, kutafuta mabuzi na wala sio boyfriend au husband hasa, kuna salon moja ya kiume mitaa ya home, hao wadada wanaoajiriwa kuosha wateja vichwa, scrub, wana mawowowo mpaka basi, na hizi sehemu za massage siku hizi ndio usisema, nasikia ni kama madanguro tu humo ndani!

Doreen22
wewe umenisoma vizuri and congrats. Nililenga hii iwe ndo mada kuu ya mjadala wetu. Nitarudi kwako baadaye.
 
Last week nilikuwa Arusha kuna salon nikapelekwa maeneo ya sakina!kuna kabinti kanafanya massage hako watu wanajipigia mumo kwa mumo!katoto keupe kamelainika keupe ila huyo man alinialert kama katoto kameumia halafu ndo kanagawa kama pipi!..na kile kichumba huwezi zama na ndomu labda uwe mwenyeji sana!
Unaona sasa?!
 
Wewe mfungua thread wewe,umetumwa? Kwa nini unamwaga kuku kwenye mchele mwingi?
Siri za jando hazitolewi hadharani bana.
 
Achana na mtoa mada bana,wala asikutishe,we mwache tu mzee akanyoe saloon,au na nyie tuwakataze kwenda gym,au mnadhani hatujui kinachoendelea huko?

teteteteh au wale wanaotupaka rangi na kutufanyia scrub za miguuni....abiria chunga mzigo wako
 
Siku ya kwanza mimi nilikutana nayo keko hiyo mambo karibu na kituo cha polisi alafu jamaa ni wajanja wanaweka vidada fulani hivi vizuri hata vikikupa ushauri unashindwa kabisa kukataa, mimi nilikuwa na fedha pungufu kwa ule ushauri ikabidi nikope kwa mshikaji kwanza nilipapaswa na kuponyenza sura nikaambiwa sura yako nzuri sana ila mafuta yamezidi.
 
Baby uwe unajitahidi jamani,utazidiwa,huwa naenjoy nikienda kunyoa ila kukusaliti roho inauma

Nami kesho ntaenda kuosha miguu kwa wale vijana wa pale Papaa saloon chocho, usilete tu mzugu4.
 
Hapo ndo mnapokosea....share this with ur gurlfriend utashangaa atakavyokufanyia hayo na zaidi...mnaishia kuvitafuta sehemu zisizo na kujipalia makaa...ukimwambia patner wako kuwa una-enjoy mambo km hayo nakwambia hatakubali mtu mwibgine akufanyie,atafanya mwenyewe...for example wa ubani wangu aliniambia anapenda kufanyiwa pedicure and manicure so nikanunua vifaa nikafunzia kwa miguu na mikono yake...na sasa nimeshahitimu and he looks forward for those sessions....

Umenena
 
sikumbuki videmu vya Saloon nimeshapitia, lakini kuna mchezo hua unaendelea pale Mwenge wakina Mama na dada wanako paka kucha rangi, hua wanafanyiwa kitu ya ovyo sana nakumbuka demu wa mshikaji wangu alikua anakaa mbezi mwisho kila jumamosi alikua anakuja Mwenge kupaka kucha rangi na jamaa baadae akawa anamtafuna mtoto
 
Siku ya kwanza mimi nilikutana nayo keko hiyo mambo karibu na kituo cha polisi alafu jamaa ni wajanja wanaweka vidada fulani hivi vizuri hata vikikupa ushauri unashindwa kabisa kukataa, mimi nilikuwa na fedha pungufu kwa ule ushauri ikabidi nikope kwa mshikaji kwanza nilipapaswa na kuponyenza sura nikaambiwa sura yako nzuri sana ila mafuta yamezidi.
Mjini mipango kaka nao wameona mipango yao waiweke kwenye scrub kama kaka zetu wengine walivyoweka mipango yao kwa dada zetu kwa kuwaosha miguu na kukata kucha. Ukilemaa imekula kwako
 
Back
Top Bottom