Elections 2010 Jana ndo ilikuwa deadline kwa upinzani kuendelea kuchukua viti vya ubunge

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
 
ilo nalo neno.. Ccm imeshamwagiza agent wake majimbo waliyopata upinzani yametosha yani saizi ni kutangaza majibu kwa nguvu tu
 
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM

That's right. After Kinana's report yesterday everything seems to go green!!!
 
Back
Top Bottom