jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 990
kuna katuni moja huoneshwa kwenye tv huwa inafurahisha kwa kusema ukweli khs tanzania...kuna ng'ombe halafu mzungu anakuja anakuta hana majani, anamletea, kisha ng'ombe anakula na kunenepa fresh...kinachofuata, huku ng'ombe akizidi kula majani aliyoletewa, huku mzungu anakamua maziwa na anajaza mavyombo kibao, akishajaza huyoooooooo anasepa na kumuacha ng'ombe njaa kali hadi mbavu zinahesabika...HIYO NDIO ISHU YETU HAPA TANZANIA...!inatia uchungu sana kwani mali tunazo ila kuna wachache wanajimneemesha bila kujali maslahi ya watz wote.