Jamni mkiskia kuna nafasi ya kazi naombeni mnistue

NDIMU

Member
Oct 11, 2011
5
0
Mimi nimesomea mambo ya secretary na nimeshafanya kaz katika taasisi ya fedha nikawa kama cashier kwa miaka 3 na miaka 2 nilikuwa secretar so naujuzi wa miaka 5 katika kazi, computer naijua vizuri sana.
 
sawa ndio maana umeweza kujiunga na jf sasa nenda google kaandike recruitment utaona makampuni kibao ya udalali wa kazi..
pia karibu sana jamvini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom