JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Katika thread hii, utabaini mabadiliko ya Mwonekano kwa ujumla, Logo, Majina ya Majukwaa na hata ukuaji wa JF.

NB: Mabadiliko mengi yalichochewa na: Mabadiliko ya Teknolojia na Mabadiliko ya Jamii inayoshiriki kwenye mijadala (maombi ya wadau kutaka badiliko flani). Data zilizokusanywa ndizo zilipelekea uamuzi wa mwisho.

Wanaotaka kujua historia ya kuanzishwa kwa JamiiForums na namna inavyondeshwa wanaweza kusoma mahojiano yaliyofanywa hapa: Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

=======

Hii (chini) ilichukuliwa Januari 13, 2007

Screen Shot 2017-09-03 at 18.41.35.png

Screen Shot 2017-09-03 at 18.42.01.png

Screen Shot 2017-09-03 at 18.42.44.png



Hiii (chini) ilichukuliwa Oktoba 12, 2007

Screen Shot 2017-09-03 at 18.48.22.png
Screen Shot 2017-09-03 at 18.49.47.png
Screen Shot 2017-09-03 at 18.51.49.png
 
Mwaka 2010 ilichukua zaidi ya wiki moja JF ikiwa offline.................... na iliporudi online...................tulipiga kelele sanaaa......................... oooh, mbaya.............. haivutii,...................... maandishi madogo............. lakini baadaye sote tumeishaizoea....................... na tunasonga mbele............................

hongereni sana wahusika wote......................
 
Duuh! safari ya JF ilianzia mbali.....hii ya jambo forum nilikuwa nasikia jina tu
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom