JamiiForums: Tanzania's leader in Local Digital Media

Mkuu Mwita Maranya, akili ni nywele . . . .

JF imekuwa Mwiba siku zote kwa Vodacom kwa sababu ambazo ziko wazi hadi kuna watu wengi walitupa SIMM card za Voda . . . . Sasa iweje leo mbaya wako anakupongeza?

It is interesting yule jamaa anayekutukana kila siku huyo huyo unaenda kwa watu ukiwaambia Jamaa anayenitukana ni mtu mzuri. Unless kama unataka kumfunga mdomo kwa njia za kistaarabu of which Vodacom wanaelekea kufanikiwa kwa "likes" wanazopewa hapa.

Respect sana.

QED

Mkuu Superman hawa jamaa hawawezi kutughiribu. Wacha waipongeze JF lakini wakijichanganya watapata haki yao without fear or favour!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi tusherehekee. Lini JF inakabidhiwa nishani yake ili tuungane kuipokea kisha tule na kunywa huku tukiruka ruka kama ndani kwa kushangilia? Mkuu Invisible tunasherehekeaje?

Mimi: Idumu JF
Wote: Idumu

Mimi: Zidumu fikira za mwanzilishi wa JF
Wote: Zidumu!
Mimi siku zote najua Invisible ni mchangiaji tu kwani naye mbia wa JF?..
 
attachment.php


Hongera sana Wana JF na Waanzilishi wa Jamvi hili.

Source: Welcome to Facebook
 

Attachments

  • 625464_458826920808362_2133598858_n.jpg
    625464_458826920808362_2133598858_n.jpg
    28.7 KB · Views: 315
Halafu anatokea mbunge mmoja wa chama cha magamba anasema jamii forum ifungwe, ni akili za kuku hizo. VIVA makamanda wa JAMII FORUM, VIVA makamanda na wanachama wa JF. If God is with us no one will be against us. Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.
 
quote_icon.png
By cement
attachment.php


Huyu kwenye picha ndiye Invisible or??? Ok na iwe hivyo mm naona ni Mike Mushy (Mike Mckee) lakini jana mmetuondolea thread yetu tuliyoelezea tofauti ya Mmiliki na Member wa JF
Yote ni mema km tunapata huduma, habari vituko na Elimu
 
Back
Top Bottom