NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,063
- 288
oNGERENI WANA jf woteeeeee.Bila nyie hii zawadi isingepatikana.
Mmiliki Mkuu wa Hiyo Kampuni hapa Tanzania ni Rostam Aziz.
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Hapo penye red ndicho hunifanya niichukie Vodacom, nikija kuchanganya na juzi juzi wamenipiga One Kilo kwenye M-pesa yao na hawataki kunipa maelezo yanayoeleweka ndio kabisaaa kila ninapoona bango la Vodacom nazidi kupata nausea kama mama mwenye mimba
Great...:drum::tea::typing::violin::israel: