JamiiForums: Tanzania's leader in Local Digital Media

Speaker realy uko hapa kila siku? nilidhani umebanwa na masomo!!

Nipo humu kila siku,masomo nime maliza week chache zilizo pita.
Saivi naandaa Ada ya mtoto wangu,maana imesha fika milioni 2 kwa term 1 out of 3 haha.

Hivi kumbe hadi u-premium member wangu umesha expire? lol
 
Last edited by a moderator:
Mmiliki Mkuu wa Hiyo Kampuni hapa Tanzania ni Rostam Aziz.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
mheshimiwa supika uko sawa lakini kuna baadhi ya watu wameikimbia JF kabisa hawataki kurudi.
Wengine ukiwakuta huko fb wanaiponda sana JF lakini utashangaa hao hao ndio wanachukua habari toka JF na kuzipeleka fb.

Watarudi tu,hapa ndo home.
 
JF Inatia akili hata wale wanaojifanya wana akili DHAIFU.Big Up JF!!!!!!!!!
 
eheheee wewe mchokozi sana rafiki yangu...ahahaaa

Smile,
Siku moja nilikuwa kwenye ofisi moja mtaa wa Azikiwe nikawasikia wafanyakazi wa pale wanaulizana umepita leo JF Ritz anasemaje? mwenzake akajibu sijaona comment yake yeyote, akajibu basi tapita baadae...mie apo nimekaa kimya tu.
 
Last edited by a moderator:
Nipo humu kila siku,masomo nime maliza week chache zilizo pita. Saivi naandaa Ada ya mtoto wangu,maana imesha fika milioni 2 kwa term 1 out of 3 haha. Hivi kumbe hadi u-premium member wangu umesha expire? lol
My God ukishanikumbusha mambo ya Ada hata Appetite ya kubonyeza keyboard inakwisha, i pay 1.5 every term times 3.
Huo Upremium angalia hapo chini kulia utakuta Link Support Jamiiforums and Become a JF Member.
 
Smile,
Siku moja nilikuwa kwenye ofisi moja mtaa wa Azikiwe nikawasikia wafanyakazi wa pale wanaulizana umepita leo JF Ritz anasemaje? mwenzake akajibu sijaona comment yake yeyote, akajibu basi tapita baadae...mie apo nimekaa kimya tu.
khaaa!aisee!ahahaaa mimi hawajaniulizia?
 
Matola neno Appetite linatumika kwenye chakula peke yake....

1. Appetite hamu ya chakula, kinywaji, uchu.

2. Appetizer kiamsha hamu, kinywaji kinachoongeza hamu ya chakula.

3. Appetizing kutamanisha.
 
Last edited by a moderator:
Hongera dada mwamvita makamba :A S 465: na uongozi wa vodacom kwa kuitambua JF
 
wapi zomba? ile mechi yenu iliishia wapi Matola maana mtani wako aliniharibia siku bana..

Copy & paste za magazeti ya Daily News haziwezi kuwa kwenye viwango vya kuitwa mdahalo, nitawasiliana na Roulette kumshauri namna nzuri ya kuwa na midahalo yenye tija.
Anyway by the way sijatulia bado naingia JF kwa timming.
 
Back
Top Bottom