Jamiiforums league

Nipange kabla sijampigia simu Babu/Bibi yangu wala sina haja ya kumfuta kijijini nikimpigia simu umekwisha au unabisha teh teh...
 
Nipange kabla sijampigia simu Babu/Bibi yangu wala sina haja ya kumfuta kijijini nikimpigia simu umekwisha au unabisha teh teh...

Hebu mshushe busha huyo na ndugu zake wooote hadi masufuria na mitungi ya gesi pale kwake ajue bongo kila kitu ni unajimu aisee

Halafu woote waje uwanjani kushangilia tuwajambishe!!
 
Miye nawshangaa munahangaika bure bingwa tayari anajulikana ni team H yaani super sub nikiingia nabadilisha matokeo kama drogba hakuna beki wa kunikaba mlie tu
 
Jamani, hizi mechi zinachezwa saa ngapi mbona sioni TV yoyote ikitangaza??? kwenye soka mie hucheza kama winga wa kushoto... lakini kama beki mtemi huwa naugua goti au kichwa!!:p
 
Nipange kabla sijampigia simu Babu/Bibi yangu wala sina haja ya kumfuta kijijini nikimpigia simu umekwisha au unabisha teh teh...

Mi nashangaa sijapangwa, nimejiangalia timu zote sijioni; au wengine tumepangwa timu ya mashabiki????
 
Back
Top Bottom