aah wapi,kashachuja huyo kwa kale ka barmaid ndio maana mzito sijui kamawatamsajili labda kwa mkopo na wakimpanga wameumia.Nashangaa kwanini Chrispin aweki wazi kuwa yeye ni majeruhi kwa maana hiyo kiwango kimeshuka baada ya kuongezeka uzito. Au naongopa binamu-Chrispin? Ulikuwa kipa mzuri sana kama alivyosema Ziondaughter lakini uzito kaka, punguza mwili huo mjomba utasajiliwa na Abdulhalim maana kikosi chake bado kina mapungufu
The pretentious, if not licentiously banter-like, mischaracterization of the prowess of some senior stalwarts, however subtly, cannot pass without the most vehement of protests and pronouncements of displeasure.
The reduction of thinking men, reasoning individuals, into some fantasy league -as if the conduct of sportsmanlike barbarism itself wasn't despicable enough- says more about the intellectual level of the original poster than anything this enterprise wishes to accomplish.
The criteria for assignment of positions is fraudulently irresponsible and represent the views of those who are not familiar with any sport, fantasy or otherwise.
Finally, any attempt to recruit or use the name of that sacristan sage who goes by "Bluray" (get it right, this is a copyrighted trademark) must go through recognized agents and reputable bodies, completely with the requisite fees, insurances, contracts, policies, indemnities, annuities, stipulations, documentation and a whole lot more on that same Vogon kaleidoscope of behemoths of bulgeoning bureaucratic scales.
Kwani nimekosa nini tena Bw. Geoff? Viwango tu vimetofautiana ndio maana inabidi timu yenu na akina MTN, Chrispin, Nguli, n.k inabidi iingie round ya pili. Pigeni jaramba ligi ni ngumu sana na itabidi mtokeze sana hapa kutetea timu yenu.
aah wapi,kashachuja huyo kwa kale ka barmaid ndio maana mzito sijui kamawatamsajili labda kwa mkopo na wakimpanga wameumia.
maadam mimi pia na mpwa wetu geoff hatumo, hii ligi itakuwa ya kucheza karata. Hahahaha! Mabinamu fidel na masa watatuwakilisha vema wakati sisi tunahenyea kitimoto mitaa ya baruti.
thanks and be blessed SirThe reduction of thinking men, reasoning individuals, into some fantasy league -as if the conduct of sportsmanlike barbarism itself wasn't despicable enough- says more about the intellectual level of the original poster than anything this enterprise wishes to accomplish.
Hii ligi inahusisha kujua vipaji vya wanaJF kwenye nyanja zote za michezo yote ambayo wadau wa JF wamewahi kucheza au bado wanaendelea kucheza kwasasa. Ila sasa ili kuthibitisha kuwa wanaJF ni wana michezo na sio wenye vijitambi (wanaume) na mijitumbo (wanawake) ligi hapa inachezwa kwa kupitia vidole vyetu lakini sio kumchokonoa mwingine ila tunaonyesha uwezo wetu. Ndio maana wadau waliokaa kimya unakuwa na wasiwasi nao kama ni ndani ya wale asilimia 50 ya wenye vitambi na mijitumbo au wasiojua michezo ya aina yoyote ile, watoto wa flats ambao hata chandimu kwao ilikuwa ni hadithiJamani bado sielewi elewi hivi tunazungumzia league ya mchezo gani vile?Kwa wana michezo tusisahau kufanya mazoezi kabla ya kuingia uwanjani.
Hii ligi inahusisha kujua vipaji vya wanaJF kwenye nyanja zote za michezo yote ambayo wadau wa JF wamewahi kucheza au bado wanaendelea kucheza kwasasa. Ila sasa ili kuthibitisha kuwa wanaJF ni wana michezo na sio wenye vijitambi (wanaume) na mijitumbo (wanawake) ligi hapa inachezwa kwa kupitia vidole vyetu lakini sio kumchokonoa mwingine ila tunaonyesha uwezo wetu. Ndio maana wadau waliokaa kimya unakuwa na wasiwasi nao kama ni ndani ya wale asilimia 50 ya wenye vitambi na mijitumbo au wasiojua michezo ya aina yoyote ile, watoto wa flats ambao hata chandimu kwao ilikuwa ni hadithi
Mkuu Mkitoka hapo mje ZERO PUB jirani sana mtatukuta tunapata supu baada ya mazoezi hapo uwanja wa Tegeta High School. Mpate angalau chui mmoja na kuonyesha machoMkishamaliza kucheza karata zenu, Karibuni Tegeta By Night kwenye ligi ya kukandamiza kanywaji na kushindilia na manyama ya aina zote.
The pretentious, if not licentiously banter-like, mischaracterization of the prowess of some senior stalwarts, however subtly, cannot pass without the most vehement of protests and pronouncements of displeasure.
The reduction of thinking men, reasoning individuals, into some fantasy league -as if the conduct of sportsmanlike barbarism itself wasn't despicable enough- says more about the intellectual level of the original poster than anything this enterprise wishes to accomplish.
The criteria for assignment of positions is fraudulently irresponsible and represent the views of those who are not familiar with any sport, fantasy or otherwise.
Finally, any attempt to recruit or use the name of that sacristan sage who goes by "Bluray" (get it right, this is a copyrighted trademark) must go through recognized agents and reputable bodies, completely with the requisite fees, insurances, contracts, policies, indemnities, annuities, stipulations, documentation and a whole lot more on that same Vogon kaleidoscope of behemoths of bulgeoning bureaucratic scales.
kaka vidole kwenye keyboard kwenye kompyuta zetu. Sikumaanisha yale mambo mengine ambayo nina wasiwasi yataongezeka maradufu ikiwa hiyo chanjo ya UKIMWI ikipatikana. Sipati picha watu watakavyoraruana na kutafunana kama Chui na Simba, maanake sasa hivi tu watu wanakulana kama vile hako kaugonjwa kana dawaWe mtoto acha visa. Otherwise nifafanulie hiyo red.
Mkuu Mkitoka hapo mje ZERO PUB jirani sana mtatukuta tunapata supu baada ya mazoezi hapo uwanja wa Tegeta High School. Mpate angalau chui mmoja na kuonyesha macho