JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

Status
Not open for further replies.
Sawa nisiwakatishe tamaa mawakili wenyewe wa JF ni akina nani Pasco, MsandoAlberto na Gurudumu au nimekosea, angalizo tu adui mnayemwendea msim underestimate ana uwezo hata wa kuwaazima silaha bila nyie kutambua siku mkitaka kufyatua zikawa hazina risasi nafikiri umenielewa.

Kama na Pasco nae ni miongoni mwa mawakili basi hii kesi tumeshashindwa kabla haijaanza.
 
Kamanda Q;

Kama hao watajoin forces Kudo's JF. Msando Alberto umesoma post yake. Pia kuna wengine zaidi ya uliowataja wako kazini.

Respect.
 
I beg to differ, kama JF iliweza 'kumtoa Lowassa madarakani', iweje kutoa tamko kwa CCM iwe issue zaidi ya uwezo wa JF.
Maana kuna wengine kama Super man hapo anasema kuna mipango nyuma ya pazia, may be kupelekana mahakamani. Je hili nalo litakuwa kubwa zaidi ya lipi?

Nadhani kuna mixed feelings zinadrived hadi kushindwa kujua kipi wasimamie kipi waache, kipi kikubwa kipi kidogo.

Kudos JF.

Peace!

Peace & Love FA

100% Supported.

Respect.
 
Superman and the team, acheni kumpotosha mwenzenu. Mnamsakizia halafu mtapotea na kumuacha anasota kutafuta consultancy fee ya mawakili na mahakamani atajikuta mwenyewe akifuatilia kesi. Huku nyuma mnalalamika kitufe cha thanks kimetolewa, mtalalamika JF iko down.

Hebu na ajitolee mtu kushtaki sio kusend messages tu bila kuonyesha how to go about it, annhh, easy said than done.

It looks like the same pattern. Wow!
 
Mkuu MWKJJ;

I confirm tayari kuna Wakuu Ma-Advocates wako kazini. Ngoja tuwasubiri.

Nimependa mfano wako wa D V/s G.

Dont give up the fight brother. We can do it!

I like your courage SM....I believe we need to take some legal action against ccm. Keep it up!

Last edited by a moderator:
Taarifa imetolewa lakini kuna mambo kadhaa ambayo yamenishangaza na Jamii Media team au huyo mhusika na PR wa JF

- Why imechukua muda mrefu kutoa taarifa hii?

- How come haina heading? (maana inaonekana kuna parapgraph nzima then chini yake kuna tarehe

-Hii taarofa hakuna aliyeitia sign sasa imetolewa na nani? na nafasi yake huko Jamii media ni nani?

Surely Max na wenzio you should have done proof reading kabla hamjatoa hii release

eitherway hayo ndio maoni yangu lakini maybe italeta mwangaza kiasi on mambo ya transparency ndani ya JF
 
Mkuu; at least hapa JF wako 3 ninowajua. We can Mkuu. Tupe go ahead tu tutengeneze kama Billion 100 za damages.

Mkuu;

Wacha Wanasheria wafanye kazi yao kwanza.

Freedom has a Price Tag kama JF itataka kujenga muhimili wake.

Zama za woga zimekwisha sasa; hivi upepo wa Kisiasa umebadilika.

Respect.

SM

Mkuu FA

Punguza Munkari! Kuna mambo yanaendelea tayari nyuma ya pazia. Hakuna mtu anacheza Kiduku hapa. Stay tuned. Utayasikia na utafurahi.

Hayo mambo yanayokutia shaka ni madogo sana na tayari kuna wakuu wameshajipanga wanayafanyia kazi.

Respect.

Mkuu MWKJJ;

I confirm tayari kuna Wakuu Ma-Advocates wako kazini. Ngoja tuwasubiri.

Nimependa mfano wako wa D V/s G.

Dont give up the fight brother. We can do it!

Mkuu;

Moja kati ya Maadvocates amesema kuwa last year or so Cyber Law ilipitishwa. Nafuatilia then nitakuja kuconfirm.

Respect.
Hii spidi ni kubwa kuliko in less than 20 min tayari umepata maadvocates mmekubaliana terms? mwanzo ulisema inategemea JF admini wakiafiki tayari wameshaafiki, that is great.
 
Taarifa imetolewa lakini kuna mambo kadhaa ambayo yamenishangaza na Jamii Media team au huyo mhusika na PR wa JF

- Why imechukua muda mrefu kutoa taarifa hii?

- How come haina heading? (maana inaonekana kuna parapgraph nzima then chini yake kuna tarehe

-Hii taarofa hakuna aliyeitia sign sasa imetolewa na nani? na nafasi yake huko Jamii media ni nani?

Surely Max na wenzio you should have done proof reading kabla hamjatoa hii release

eitherway hayo ndio maoni yangu lakini maybe italeta mwangaza kiasi on mambo ya transparency ndani ya JF
Nafikiri hujaisoma taarifa vizuri, heading ipo, kuna mwandishi tena amejitaja na cheo chake, barua iliyo kwenye 'letter head' haina haja ya sahihi mradi iwe na jina la mwandishi. Kuhusu kuchelewa hiyo si issue kubwa, kasoma tena vyote ulivyouliza viko kwenye barua.
 
Hii spidi ni kubwa kuliko in less than 20 min tayari umepata maadvocates mmekubaliana terms? mwanzo ulisema inategemea JF admini wakiafiki tayari wameshaafiki, that is great.

hehehe.. utafkiri wale jamaa a mzalendo.net !! wanaspiidi.. tufanye maandamo.. toa anuani za michango... ndani ya siku moja jamaa wanakamlisha kila kitu! "Kwa maneno tu" alafu utelkelezaji sifuri!...

JF DAIMA!
 
Quinine, respect kwa kuiangalia issue ya kwenda mahakamani kwa jicho la tatu. Hakuna kitu kizuri kama kusema ukweli hata kama utapigana na wale unaowapenda.

Again, Respect.
 
Kama na Pasco nae ni miongoni mwa mawakili basi hii kesi tumeshashindwa kabla haijaanza.
Ndiyo maana nikasema mpinzani tunayetaka kumwendea anauwezo wa kutuazima silaha, silaha yenyewe ikaja kutoa maji kama ya kinjekitile.
 
From Fikra Pevu - Political Paranoia? Tanzania’s Ruling Party threatens online social media | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

The following is the statement issued earlier today by JamiiForums - the most prominent Tanzanian online social gathering. The popular political forum played a crucial role in a lead up to the General Elections in October 2010 by being the most authoritative source of politica news, discussion and debate. However, few days ago JamiiForums came under a well calculated and targeted attack by the ruling party - Chama cha Mapinduzi - which accused the forum for being "anti-CCM" and "anti-government".

The statement was distributed to a variety of media outlets in the country and abroad as well as to a number of interested parties.

Kama Msekwa kakosea mbona husemi juu ya kuchukua hatua za kisheria?
 
Quinine, respect kwa kuiangalia issue ya kwenda mahakamani kwa jicho la tatu. Hakuna kitu kizuri kama kusema ukweli hata kama utapigana na wale unaowapenda.

Again, Respect.
FA

Unajua hapa sote tu watu wazima tukiendelea na ushabiki bila kuangalia reality tutakuwa tunadanganyana, kwenye facts tuseme facts, mambo ya mahakamani si masihara yana protocali zake, kwanza jenga case then kusanya evidence, hata kama una evidence zote angalia faida na hasara utakayopata (the aftermath) then tafuta mawakili wa uhakika uongee nao si kwa ku-PM lazima ujue kama wako royal vinginevyo kesi inaweza kukugeuka badala yakuwa mshtaka ukawa mshitakiwa.
 
HAWA WANATAFUTA WA KUFA NAYE TU, MIMI HATA WAKIANZISHA FORUM ZA SIASA KWENYE WEBSITE YAO YA CCM, NITAKWENDA HUKO KUWACHAKACHUA NA TENA JINA LANGU NITATUMIA AINT-CCM LABDA WASILIWEKE KWENYE REGISTRA,
wao ni mafisadi ni sawa kuitetea ccm na sisi tunaonyonywa tutateteaje ufisadi
 
Hii spidi ni kubwa kuliko in less than 20 min tayari umepata maadvocates mmekubaliana terms? mwanzo ulisema inategemea JF admini wakiafiki tayari wameshaafiki, that is great.

Yaani wee acha tu! Sijawahi kuona potential lawsuit ikiwa discussed na potential plaintiffs publicly namna hii. I am going to go out on a limb and say this 'potential lawsuit' being spearheaded by Superman will not see the light of day. Quote me!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom