JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

Status
Not open for further replies.
Hongera Admins of JF. Binafsi nimependa ufafanuzi wenu juu ya CHADEMA ni akina nani hapa:

*Chadema is the leading opposition party in Tanzania Mainland and they form the official opposition in the Parliament of the United Republic of Tanzania including the Shadow Cabinet. Their Presidential Candidate, Dr. Willibrod Slaa ran a very competitive contest in the last October 2010 General Election and refused to accept the finals results due to electoral irregularities.

Well said Gentlemen. Perhaps in 2015 itakuwa jambo gumu sana kufanya citation ya namna hii next time kwa kuwa neno "very competitive" ni ishara kuwa CHADEMA itashinda uchaguzi 2015.
 
Nsiande, kina Kabwe na Slaa hawakukaribishwa; kwanini tuwape huo umuhimu hao watu wa sekretariati ya CCM? kwa ujiko gani walionao. Wanajua anuani ya JF - https://www.jamiiforums.com kuna mahali pale juu panasema register
hahaha, kaaazi kweli kweli! Wamezoea vya kunyonga, sasa inabidi watafute visu tu. JF hamna wa kufunga barabara wapite,na wakipita hakuna wa kusimama pembezoni mwa barabara kuwapungia na kupiga makofi.

Khabari ndo hiyo!
 
Correctly worded statement!
Waendelee na mambo yao ya kujivua "Makamba" sorry, "Magamba", waache wanaoitakia mema nchi hii waendelee kutumia uhuru wao kuhabarishana na kukosoa wanaopeleka mambo hovyo.
 
Mwanakijiji / Maxence / Wanasheria wanachama wa JF / Wana JF

Je; Inawezekana kuiburuza CCM mahakamani na kudai Damages / Fidia kwa habari za:

1. Uongo
2. Kuivunjia Heshima na Hadhi JF
3. Kuwasababishia wanachama usumbufu, kuwapa wasiwasi na kuwaumiza kisaikolojia?

We dare to talk openly and we can also dare to DO openly.

JF should not take any "Bullshit" from CCM nor any Party nor the Government. We are simply a social network.

Why dont we give them a lesson? Tunaogopa nini au tunamwogopa nani?
 
Mbona hatulalamiki wao kutumia Bunge? Sasa sisi tukitumia bunge letu kwa gharama zetu wao inawauma nini? Hapa taarifa zote zinasomwa, zinajibiwa na kuhojiwa. Hapa sheria zote zinachambuliwa kupingwa, bajeti zinasomwa na kupembuliwa, matumizi ya fedha za umma yanajadiliwa nk. Sasa hiyo ni kuwa anti-ccm na anti-government?

Huu upuuzi wao wakawaelezane wenyewe. JF is the right place where all dare speak their hearts out.

Kwa taarifa, JF isipokuwepo tutaenda kuongelea msitu wa pande kuelekea Dar katikati kupitia pembezoni kitongoji hadi kitongoji!
 
Mwanakijiji / Maxence / Wanasheria wanachama wa JF / Wana JF

Je; Inawezekana kuiburuza CCM mahakamani na kudai Damages / Fidia kwa habari za:

1. Uongo
2. Kuivunjia Heshima na Hadhi JF
3. Kuwasababishia wanachama usumbufu, kuwapa wasiwasi na kuwaumiza kisaikolojia?

We dare to talk openly and we can also dare to DO openly.

JF should not take any "Bullshit" from CCM nor any Party nor the Government. We are simply a social network.

Why dont we give them a lesson? Tunaogopa nini au tunamwogopa nani?

Nakubaliana kabisa na wewe muheshimiwa. JF ifungue kesi mahakamani. In Slaa's voice "Kama wanabisha mbona hawaendi mahakamani?"
 
Kikwete concept zake zisizokuwa na mbele wala nyuma .... alianza na concept ya mbayuwayu, na sasa hii ya gamba ..
 
Utaweza kweli kuyathibitisha hayo? That's just frivolous.

NN upo? Ulikuwa wapi Mkuu? JF Man of the Year 2010? Una TZS 50,000 yako, tunakutumia vipi?

Well sehemu ya statement inasema hivi:

"Madai hayo kwamba JamiiForums, inafanya kazi hatarishi dhidi ya CCM na serikali ni madai ambayo yana lengo la kuchafua mtandao huu, kuuvunjia hadhi ambayo JF imejijengea kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu; na yana lengo la kuwatisha Watanzania ambao aidha ni wanachama au wasomaji wa mtandao wetu na mitandao mingine ya kijamii kama Twitter, Facebook na Youtube ili waweze kujiona kuwa wanafanya kitu kinyume cha sheria. Ni jaribio dhaifu la Chama Cha Mapinduzi kuubebesha lawama mitandao ya intaneti kwa mapungufu na migongano iliyojitokeza ndani ya chama chao katika miaka michache iliyopita na siku za karibuni"

Out of 40,000 members, napenda kuamini kuwa kutakuwa na volunteers.
 
NN upo? Ulikuwa wapi Mkuu? JF Man of the Year 2010? Una TZS 50,000 yako, tunakutumia vipi?

Daah ebana eeeeh.....hebu itabidi twende chemba babu. Kwa jinsi nilivyofulia siwezi kukiachia hicho kitita kipotee hivi hivi....
 
Mwanakijiji / Maxence / Wanasheria wanachama wa JF / Wana JF

Je; Inawezekana kuiburuza CCM mahakamani na kudai Damages / Fidia kwa habari za:

1. Uongo
2. Kuivunjia Heshima na Hadhi JF
3. Kuwasababishia wanachama usumbufu, kuwapa wasiwasi na kuwaumiza kisaikolojia?

We dare to talk openly and we can also dare to DO openly.

JF should not take any "Bullshit" from CCM nor any Party nor the Government. We are simply a social network.

Why dont we give them a lesson? Tunaogopa nini au tunamwogopa nani?
Mimi siungi mkono hoja ya kwenda mahakamani kwa ninavyozijua mahakama zetu CCM wataona ni nafasi ya kujipatia credit. Hii ya JF admini kukanusha inatosha sana, Msekwa na washauri wake walidhani wanaichafua JF kumbe ndiyo wanaitangaza.
 
Nyani Ngabu,

Sasa kama huwezi kuacha kitita kwa sababu umefulia hawa jamaa wakikutangulizia ankara ya kutosha kupitia RA si utatoa ushahidi dhidi ya JF mpwa? Si unaona sasa hata wale wanachama wa JF walipopokea taarifa ya mikopo ya bunge ghafla wakaingia chemba hatujawasikia tena!

Kufulia si mchezo na hasa adui akijua njaa imekamata lazima akuwekee mtego mpwa!
 
Mkuu Q;

Madai ya UONGO na KUIVUNJIA HESHIMA JF yako obvious na hata mahakama ikienda against ukweli huu itakuwa kituko. Tufanye Umafia tu Makomandoo wailete report ya hao Maconsultant wa CCM hapa.

Akina Ruta; Advocate Jasha nk, watupe tu inputs. Wanaweza kuwamaliza CCM Mahakamani bila hata JF kurundikana mahakamani.

Kama JF ikifanya hivyo na kushinda, itakuwa imejijenga kama Muhimili unaojitegemea.

Hatua hii itahitaji baraka za Uongozi wa JF.

Respect

SM
 
Mwanakijiji / Maxence / Wanasheria wanachama wa JF / Wana JF

Je; Inawezekana kuiburuza CCM mahakamani na kudai Damages / Fidia kwa habari za:

1. Uongo
2. Kuivunjia Heshima na Hadhi JF
3. Kuwasababishia wanachama usumbufu, kuwapa wasiwasi na kuwaumiza kisaikolojia?

We dare to talk openly and we can also dare to DO openly.

JF should not take any "Bullshit" from CCM nor any Party nor the Government. We are simply a social network.

Why dont we give them a lesson? Tunaogopa nini au tunamwogopa nani?

Kuna wakati mwingine ni vizuri tu kuweka rekodi straight. Wao kama serikali na chama tawala wana mambo mengi ambayo wanaweza kuyafanya dhidi ya JF. Mojawapo ni hili la kuutangaza mtandao kama ni anti-government. This is a prelude to what I would refer as a calculated crackdown ya social media.

Sasa hivi kuna woga wa aina fulani wa serikali zetu linapokuja suala la mawasiliano ya online activism. Wamejifunza kuwa huwezi kuupuzia tena kwani yamegharimu tawala za Misri na Tunisia na yanasumbua Iran, Syria na hata nchi kama China. Mwanzoni JF na wale tunaoitwa "online activists" tumekuwa ni watu wa kupuuzwa kwa sababu ya kuwa "hatuko on the ground".

Imani hii imewatoka sasa na wameelewa kuwa you don't have to be on the ground kusababisha uchokozi wa kifikra na hata kusababisha mwamko mkubwa wa kisiasa. Baada ya kuelewa hili CCM na taasisi zake wanajipanga vilivyo tu kuhakikisha kuwa nguvu za mitandao hii zinakuwa muted.

Kuna hatua kadhaa ambazo zinapikwa ambazo zinalengo la kusababisha mabadiliko makubwa ya mambo haya ya mawasiliano ili kuweza kuhakikisha kuwa serikali inakuwa na upper hand katika kudhibiti "vurugu, uchochezi n.k". Hili lililofanywa na kina Msekwa ni utangulizi tu wa yale yaliyomo.
 
Nyani Ngabu,

Sasa kama huwezi kuacha kitita kwa sababu umefulia hawa jamaa wakikutangulizia ankara ya kutosha kupitia RA si utatoa ushahidi dhidi ya JF mpwa? Si unaona sasa hata wale wanachama wa JF walipopokea taarifa ya mikopo ya bunge ghafla wakaingia chemba hatujawasikia tena!

Kufulia si mchezo na hasa adui akijua njaa imekamata lazima akuwekee mtego mpwa!

Umeona Eeeh . . .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom