JAMIIFORUMS ina mchango gani katika jamii ya KITANZANIA?

  • JF emeleta uchochezi baina ya Member na member, viongozi na JF Member?

    Votes: 0 0.0%
  • JF emeweza kuabalisha habari kwa watanzania kwa uharaka?

    Votes: 0 0.0%
  • JF emeleta mapinduzi katika serikali?

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jamiiforums imekuwa social network iliyowavutia na inawavutia vijana wengi wakubwa kwa wadogo
Jf imekuwa tofauti na social network nyingine hapa tanzania maana ina mlengo tofauti.

Jf imeweza kubadili fikra za wasomaji wakubwa kwa wadogo, mpka naleta hii thread nilitaka kujua kama JF
ina madhara gani kwa jamii inayolegwa
 
haina faida yoyote labda kueneza majungu, na uchochezi watu waiasi serikali yao, na ndio hasa malengo ya hii mitandao hata tunisia, egypt na kwingineko kwingi mitandao hii imehusika kwa kiasi kikubwa sana.
 
Inamchango sana tu. hata malaria sugu ameisifu sana tu katika mtandao wake
 
haina faida yoyote labda kueneza majungu, na uchochezi watu waiasi serikali yao, na ndio hasa malengo ya hii mitandao hata tunisia, egypt na kwingineko kwingi mitandao hii imehusika kwa kiasi kikubwa sana.
<br />
<br />
propagandist........... Propaganda zimekijaa kichwa chako ndio maana una malaria sugu
 
rekebisha lugha kwenye hivyo voting boeard
emeweza
kuabalisha
 
haina faida yoyote labda kueneza majungu, na uchochezi watu waiasi serikali yao, na ndio hasa malengo ya hii mitandao hata tunisia, egypt na kwingineko kwingi mitandao hii imehusika kwa kiasi kikubwa sana.
<br />
<br />
Virus mwingine huyu.
 
Jamiiforums imekuwa social network iliyowavutia na inawavutia vijana wengi wakubwa kwa wadogo
Jf imekuwa tofauti na social network nyingine hapa tanzania maana ina mlengo tofauti.

Jf imeweza kubadili fikra za wasomaji wakubwa kwa wadogo, mpka naleta hii thread nilitaka kujua kama JF
ina madhara gani kwa jamii inayolegwa

Sina hakika kama hilo neno (kwenye red) ni sahihi hapo..
 
Back
Top Bottom