JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

Status
Not open for further replies.
Kaka mzima kuna majambaz kawe darajan mlalakuwa wanavamia Magyar nakupora wajulishe wakuu wapite speed
 
Mkuu, ni kuwa tumeongeza viunganishi vya JF katika iPad na iPhone/iPod Touch ambavyo vinamrahisishia mtumiaji wa vifaa hivi kuifikia JF kirahisi zaidi.

Palipoandikwa 'Click here' na pana rangi ya bluu, pana kiunganishi (link) cha kukupeleka ambapo utaweza kupakua viunganishi hivi ambavyo ni vya BURE.

Nimeeleweka?

Big up guyz,
Hii latest update ya JF kwenye iphone ni excellent! ni rahisi kunavigate around all forums.
Nimeipenda mkuu and thanks kwa kuifanya iphone iwe nathani zaidi.
 
Hivi we jamaa kwanini huwa unang'ang'ania kujieleza kwa lugha ambayo inakushinda mwanzo mwisho. Yaani umeshindwa kuandika ''JF releases Ipad and Iphone touch apps for its members,'' badala yake unajikanyaga hadi unaandika vitu visivyosomeka. Ukiulizwa hiyo verb phrase yako ''is now released'' iko kwenye kundi gani la tenses utajibu nini? Halafu hiyo habari yenyewe ndiyo inaweza ikamfanya mtu akaugua kabisa akimaliza kukisoma hicho kiingereza mvurugano.

One doesn't need to be a grammar savvy to point out a countless number of glaring syntax flaws in the Invisible's writing. You have asked me to put forth the correction for his group of nauseous fractured English phrases and irritating faulty clauses. Here I go: JF is pleased to announce it has launched the long-awaited iPad and iPhone touch apps. The apps, expected to ease the accessibility of JF to the Forum members, can now be downloaded for free at www.jamiiforums.com. It is our hope that you would find them enjoyable and useful. Should you have any positive or negative feedback, feel free at any time to let us know.
Thank you!

HAKUSOMEA HIYO LUGHA,YEYE ALISOMA LUGHA AMBAZO UKOO WAKO WOTE HAUJUI KUSOMA--- mfano; C++,pascal,Java,Html,Php" swali, ni je unazijua hizo lugha?
 
Great!we thank u.we wer abt to run mental jus for dt action of temporary being not in service for a while. Otherwise we ar happy for new service.
 
Angalia sentings alafu uende configaration alafu uchague personal configuration au tuma nene INTERNET NOKIA 6030 KWENDA 15300. alafu uta pokea konfiguratio setting kutoka VODACOM . AU TUMIA emal. johnbosco851@gmail.com. kwa mawasiliano
 
Angalia sentings alafu uende configaration alafu uchague personal configuration au tuma nene INTERNET NOKIA 6030 KWENDA 15300. alafu uta pokea konfiguratio setting kutoka VODACOM . AU TUMIA emal. johnbosco851@gmail.com. kwa mawasiliano

nice things
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom