Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,791
Rangi ya bluu!
wewe lazima tunafahamiana kwa sababu ilifika kipindi tukawa tunaingia na nyie session moja....duh ngoja nikuPM
Rangi ya bluu!
Shikamoo Mr. Msomali.
hahaah, bana ! Hivi yuko siku hizi mrs Johnson. ! Nataka nikiwa Tanzania nimtafute. !
Sa mwalim mbona unanitisha tena??? Kushika chaki 17 yrz sio mchezo!ishia hapo hapo ! Hahaah.
Mi pia ntakuPM bana. Nasign out kdgo bt ntarud mda c mrefu.wewe lazima tunafahamiana kwa sababu ilifika kipindi tukawa tunaingia na nyie session moja....duh ngoja nikuPM
Mi pia ntakuPM bana. Nasign out kdgo bt ntarud mda c mrefu.
Sa mwalim mbona unanitisha tena??? Kushika chaki 17 yrz sio mchezo!
nadhani atakuwepo, niliwahi kumuona siku za karibuni....bado yupo kigoli
maisha ni mambo mengi ! Miaka 17 ya chaki, ilinifundisha somo moja. Kua Mwalimu ni zaidi ya Kazi. !
Dats gud! Ulikuwa mwalim wa nini vile? Uliacha kufundisha mwaka gani?maisha ni mambo mengi ! Miaka 17 ya chaki, ilinifundisha somo moja. Kua Mwalimu ni zaidi ya Kazi. !
Mzima weye? Uctuonee wivu bana ni bahati yetu.Nyie jukwaa la elimu mnakumbushana walimu wenu. Lol!
Ngoja na mimi nikawatafute niliosoma nao st kayumba.
Mzima weye? Uctuonee wivu bana ni bahati yetu.
Mi Rambo nilimuacha, amechukua soksi zangu nyingi sana! Maskin kumbe Mr. Juma alikufwaga?! RIP Mr. Juma.
Mrs Johnson kabla ya kuolewa aliwahi kuwa mpenzi wangu. . . !
I was thre in the 1960s. I believe ours was the fourth cohort to complete O levels in Arusha Seconday School in 1967. The first cohort of Theobald Mushi etc finished the Form 4 or O levels in 1964.
I was thre in the 1960s. I believe ours was the fourth cohort to complete O levels in Arusha Seconday School in 1967. The first cohort of Theobald Mushi etc finished the Form 4 or O levels in 1964.