Jamii ya Arusha Secondari

Nafurah kuona skulmates tuko wengi sana. Aisee huyu mbaba nlikuwa namwogopa balaa, kwenye kipindi chake nilikuwa hata sikohoi, kalamu ikidondoka siokoti mpaka kipindi kiishe!..lol.

mimi nilichukua biashara so Gidasaida, Msomali na Marehemu Juma walikuwa hawanipati.......
 
Teachers in Arusha Secondary School then included Mr. Streets [an Afro American Peace Corp] Mr. McNickle; Mr. Harding; Mr. Pathan; Mr. Bhogal; Mr. & Mrs. Ahmed. The first African Headmaster was Mr. Mabele followed by Mr. Kabati and then Mrs. Materu came in from 1966 until the early 1970s. Other African teachers included Mr. Kilimba; Mr. Magembe etc.
Mh hyo ni zamani sana. Hapa mamangu alikuwa Mtakuja primary school!..lol.
 
Preta!! Itabidi tutaftane zaidi manake mi pia hmaster niliyemuacha alikuwa Mr. Shayo. Isijekuwa wewe ni clasmate pia.

Inawezekana, duh itabidi tufanye hivyo......vipi kuhusu mambo ya Elite na pale petrol station kwa Patel saa hiyo umechelewa inabidi ujifiche huko.......nilikuwa naona afternoon session ndio bora kwangu kwa kweli
 
Mi mwenyewe afernoon session ilikuwa bora sana! Ha kujifcha Elite na sheli havijasahaulika!..am happy kuyakumbuka haya. Ulimaliza na masweta ya rangi gani?..
 
Rangi nyeusi.....Ulimkuta Hoyce Temu?
 
mnamkumbuka munga now ni h/master kaloleni na yule mama wa commerce ni h/mistress ngarenaro na mama kawala alienda kuwa mkuu mringa wengi wengi waliojiendeleza kielimu wamekuwa wakuu wa shule ile sheli now haifanyi kazi. Ila a- level ya ars sec ndo kiboko wanajitahidi kimtindo
 
Mrs Johnson kabla ya kuolewa aliwahi kuwa mpenzi wangu. . . !

Basi utakuwa ulikuwa unafaidi sana.....maana alikuwa anajua kupika huyo...na kutufunza mambo ya good manners na good grooming......he he DS bana
 
watoto wa Arusha mkifikiri kwakina mtaelewa mimi nilikua nani pale , miaka 17 nimeshika chaki hapo.

he he....usikute wewe ulikuwa yule ticha mnoko ambaye tulikuwa tunakupigia cross kule nyuma ya hostel
 
Basi utakuwa ulikuwa unafaidi sana.....maana alikuwa anajua kupika huyo...na kutufunza mambo ya good manners na good grooming......he he DS bana
Yalaaaaaa! Good manners, ckumbuki hata moja.
 
mnamkumbuka munga now ni h/master kaloleni na yule mama wa commerce ni h/mistress ngarenaro na mama kawala alienda kuwa mkuu mringa wengi wengi waliojiendeleza kielimu wamekuwa wakuu wa shule ile sheli now haifanyi kazi. Ila a- level ya ars sec ndo kiboko wanajitahidi kimtindo

Huyu Munga huwa hazeeki yuko vile vile....jamaa mrefu kama mstimu wa umeme.....Umetaja Mringa nikakumbuka kuna siku tulienda cheza mechi pale.....sijui ilikuwaje bana.....tulichezea kichapo wacha kabisa
 
Unakikumbuka na kile ki BITO chake?? Nilikuwa nampenda cz alikuwa mpole sana, hachapi hovyo. Ila kweli hazeeki sijui amemezaga nini huyu mzee.
 
Yalaaaaaa! Good manners, ckumbuki hata moja.

ilikuwa inasaidia saidia lakini....japo inafika mahali unaziweka pembeni.....mambo ya needle work na pin cushion.....nilikuwa naboeka sio kidogo
 
Basi utakuwa ulikuwa unafaidi sana.....maana alikuwa anajua kupika huyo...na kutufunza mambo ya good manners na good grooming......he he DS bana

hahaah, bana ! Hivi yuko siku hizi mrs Johnson. ! Nataka nikiwa Tanzania nimtafute. !
 
Back
Top Bottom