jamii forums

You are heavenly sent Mangaline kwani umenena mambo ambayo ni ya msingi sana na sijawahi kwenda deep nayo... limekuja katika wakati muafaka kwangu...! Asante sana hili somo nalitaka kwa urefu wake hata kama kuna ada ntalipa please usine uvivu kusaidia sisi vijana jinsi nilivyo nikielemika najua ntasaidia wengi kama ulivyo yusaidia hapa!
G
Nakushukuru kwa kuona hili linafaa, Naahidi kuendelea kusaidia na kutoa ushauri wa bure, bila hata karo ya senti moja, hasa kwa wale watakao ona inafaa. Wapo wanao ona ni upuuzi, na hao hao ndio kila siku wanajuta na ndoa zao. Ndoa ni uvumilivu, na sio amani na raha kama wengi wanavyodhani. Walio nje ya ndoa wanatamani kuingia, wakati walio ndani ya ndoa wanatamani kutoka. Mtangulize Mungu katika kuchagua mwenzi, ili baada ya kuingia, majuto yasiwe makubwa sana. bwana akubariki!!!!
 
Shukrani sana usiache kuni-tag katika post zako za namna hii!
Be blessed!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom