Jamii Forums yastahili tuzo ya TAMWA

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakuu leo nimeona kwenye habari Tamwa wakitoa tuzo kwa badhi ya vyomba vya habari na magazeti inclusive, kama appreciation kwa kazi nzuri ya upigaji vita dhidi ya ufisadi.
Mara moja lilikuja wazo kwa nini sisi hapa jf hatukupewa? Maana hata kabla ya vyombo vya habari mimi nimeshuhudia vita ikianzia hapa na kwenda hadi magazetini.
Naomba Tamwa wawe fair kwa jambo hili na watoe tuzo kwa jf kwa kuongoza vita kubwa hii ya ufisadi katika nchi hii. Au tuzo hiyo kapewa Invisible kimya kimya?
Nawakalisha.
 
Seconded!!!!

Ni kweli kuwa breaking news zote zinaanzia hapa kabla hata ya kuwafikia vyombo vya habari. May tatizo ni kwamba hawa jamaa wanatoa awards kwa vyombo vya habari na JF siyo chombo cha habari bali ni discussion forum.
 
THISDAY wins top investigative journalism award

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

MEDIA Solutions Limited, publishers of THISDAY and KULIKONI daily newspapers, has dominated this year's investigative journalism awards, winning both first and second place prizes respectively.

For the second year running, THISDAY emerged as the leading investigative newspaper in the country after being named the first overall winner of the awards organized by the Tanzania Media Women's Association (TAMWA).

KULIKONI came joint second with Tanzania Daima and The Citizen newspapers.

THISDAY was presented with a cash prize of 5m/- plus a certificate of recognition for its pioneering work in investigative journalism.

All the three joint second place winners (including KULIKONI) were awarded a 3m/- cash prize plus certificates.

According to an independent assessment commissioned by TAMWA, THISDAY published more than 2,095 articles on corruption in the past year, with KULIKONI coming second with 1,716 articles.

At last year's award, THISDAY was also named the top investigative newspaper in Tanzania based on both the quantity of investigative reports as well as the accuracy and impact of the stories in the fight against corruption.

The Managing Editor of Media Solutions Ltd, Evarist Mwitumba, accepted the prestigious award on behalf of THISDAY.

On the other hand, Independent Television Limited (ITV) was picked as this year's winner of the special TV category, receiving an honourable mention and a cash prize of 2m/- for its special report that exposed corruption among traffic policemen.

Speaking at the award ceremony in Dar es Salaam yesterday, the Executive Director of TAMWA, Ms Ananilea Nkya, said her association had decided to recognize local journalists for their contribution to the fight against corruption.

''We wish to applaud journalists for their brave work in exposing and reporting various corruption scandals and embezzlement of public funds,'' she said.

TAMWA urged journalists to ''keep up the good work'' and stay the course in the fight against corruption.


Nkya encouraged the media to expose all individuals implicated in corruption regardless of their positions in government or society.

''If we start to fear, then perpetrators of corruption and other evils in society will use this loophole to impose a culture of fear on the public,'' she said.

The TAMWA boss noted that journalists in the country were in the forefront in the fight against corruption and were instrumental in exposing the Bank of Tanzania's external payment arrears (EPA) account scandal and other scams.

In his vote of thanks, a veteran journalist from New Habari Media Group, Balinangwe Mwambungu, praised TAMWA for recognizing independent newspapers at the front line in the nation's battle against graft.

''I have been a journalist for the past 25 years, but never have I seen such a huge impact being made by newspapers in society,'' he said.

Mwambungu explained that investigative journalism has ''ignited a fire in the fight against corruption.''


''I am confident that the entire population of 40 million Tanzanians is behind us (journalists) in this noble task. We can now see some tangible fruits from what is being reported by the media,'' he said.
 
Thanks very much TAMWA...... Thanks very much Thisday and Kulikoni for a job well done. Thanks very much IPP media and Reginald Mengi. Now, let's get back to work and give 'em mafisadi boys - Rostam Azizi, Manji, Chenge, Lowassa, Mgonja, and .....you know who..... a big run for their ufisadi.
 
imekuaje mwanahalisi hakuambulia chochote? au kwa sababu wamefungiwa na muheshimiwa?

macinkus
 
imekuaje mwanahalisi hakuambulia chochote? au kwa sababu wamefungiwa na muheshimiwa?

macinkus
Ni kweli Mwanahalisi hakupewa hadharani maybe watampa behind the news media ili yule waziri aliyemfungia asikasirike.
Lakini kama sisi JF Mwanahalisi alisitahili tuzo.
 
Seconded!!!!

Ni kweli kuwa breaking news zote zinaanzia hapa kabla hata ya kuwafikia vyombo vya habari. May tatizo ni kwamba hawa jamaa wanatoa awards kwa vyombo vya habari na JF siyo chombo cha habari bali ni discussion forum.

Zero, hivi discusion forum hakiwezi kuwa chombo cha habari? Kwangu mbona naona ni kama zaidi ya chombo cha habari? Ndio sababu naweza nisisome gazeti lakini nikashinda hapa Jf.
Kukuweka up todate ni kwamba JF ni one wing katika Jamii inc. ambacho ni chombo cha habari...........
 
MEDIA Solutions Limited, publishers of THISDAY and KULIKONI daily newspapers, has dominated this year’s investigative journalism awards, winning both first and second place prizes respectively

- Bravo! Wakulu wangu wote huko heshima mbele sana, I mean this is wasup, wembe ni ule ule wakuu huko hakuna suluhu mpaka kieleweke! Na hasa Mkulu flani nitakutwangia kesho, this is one for you, maana you deserve it, bravo!
 
HATUTAKI tuzo zao

we are better than them anyway

yaani mnataka kutulinganisha na MEDIOCRE journalists ambao wanakuja humu kunyonya vitu halafu wanashindwa ku acknowledge role ya JF?
 
Magazeti ya chama na siri kali (Daily Noise, Sunday Noise, Uhuru na Mzalendo) yameambulia patupu!
 
Seconded!!!!

Ni kweli kuwa breaking news zote zinaanzia hapa kabla hata ya kuwafikia vyombo vya habari.

Mr Zero, wakati mwingine wale wanaotoa breaking news hapa ndio hao hao wanaoandika kwenye magazeti. Wakiandika hapa tunasoma saa hiyo hiyo lakini gazeti mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom