Jamii Forums hatujui matumizi mazuri ya lugha

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.
 
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.

Kwanini unaibia lugha? ni vyema ungeandika "mstari mmoja wa maneno kuna lugha......"
 
Hapa ukisoma ukaelewa tambaa ukitaka kuanzisha darasa mwambie mods aanzishe jukwaa lakujifunzia lugha.
 
Muhimu ujumbe kufika...wengi hapa Kiswahili na Kiingereza ni lugha za pili....tuanfikiri zaidi katika lugha ya kwanza
 
wengine kuna maneno hatujui kwa kingereza (kama Kutonesha mfano, nisemeje?) na mengine hatujui kwa kiswahili (frustrated, nasemaje?) basi tunaandika kote kote, muhimu ni kufikisha ujumbe.
 
Back
Top Bottom