Jamii forums contacts!!!

bebii,,,
hebu anza kuangalia kuazia Afrodenzi, Preta, Lizzy..
nakushangaa wewe umeka picha ya kababy!! au ndio unapotray ubebii?

mkuu ningependa kukushukuru sana
kwa kupenda avatar zetu ......


Huyu Bebii bado Yumo si alishaga wana jf?

Bebii Nitambulishe kwa Afrodenzi nimemuhusudu.

mwehhh jamnai AD hang'ati waweza
kumsalimu tu .. anashukuru sana ...

na anauliza utamualika huo msosi
mmmhhhh
 
mkuu ningependa kukushukuru sana
kwa kupenda avatar zetu ......




mwehhh jamnai AD hang'ati waweza
kumsalimu tu .. anashukuru sana ...

na anauliza utamualika huo msosi
mmmhhhh
Nakusalimu AfroDenzi Natumai u Mzima Wa Afya Maana nakuona Ulivyo Mchangamfu,
Nimekuona Kwa Picha Nikakuhusudu natumai ki ualisia mpole kama Pichani ''Panafuka Moshi chini kuna Moto''
Hebu ni PM tuwe tunapashana zaidi wenye husda wasijekutuingilia maongezi yetu Nakupa siri yako tu Usimuambia Mwingine Naimekuhusudu.
Mpende akupendae asiyekupenda Mfikirie Pia..
First Lady Mtarajiwa wewe
 
Kwani ww na hicho ki-bastola chako unaitwa colt? tupe jina lako
 
Back
Top Bottom