jamii forum ni zaidi ya x ray.

masewa

Member
Jan 16, 2012
35
4
Hi wanajf nimekuwa nikifuatilia mambo mengi sana ya nchi yetu yawe ya kisiasa kijamii uchumi na michezo kupitia jf hadi naamua kuwa mwanajf ni jinsi gani wanajf wamekuwa ni msingi muhimu katika maisha yangu ya kila siku hasa katika tasnia ya habari naweza kusema nimekuwa naiamini jamii hii kuliko baadh ya vyombo vyetu vya habari jf imekuwa ikitenda haki kwa kila mmoja bila kujari jinsia umri na hata kipato ambalo limekuwa tatizo kubwa kwa wanahabari wengi nichukue nafasi hii kumshukuru mwenyezi mungu mana naamin kwa msaada wake kunamtu alipata wazo la kutengeneza jamii hii ya wanajf ambayo kwa mtazamo wangu ni mkombozi halisi wa fikra nyingi ambazo bado zimelala kabisa na walio madarakani wanazidi kuziongezea usingizi kwa slogan za eti kisiwa cha amani miaka hamsini ya uhuru tumethubutu tumeweza na tunazidi kusonga mbele bila kusahau ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi jf nakuombea uzidi kuish miaka mingi mana kazi yako ni ngumu sana unatuonyesha ambavyo macho yetu hayawezi mwisho niombe radh kwa uandish mbovu ahsanten wanajf.
 
mkuu mimi nikiikosa jf najiona mpweke sana hata kama demu wangu yupo hii ndo jf never boring
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom